Namba inafaa sana na zaidi ya yote; Kaburi hilo la halaiki liko wapi??Walionusurika walikuwapo na hili suala la mauaji linafahamika kuwa watu waliuwawa baada ya mapinduzi yale na waliuwawa wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta mkuu,unaweza kusaidia kuongezea nyama kuhusu yaliyojiri baada ya yale mapinduzi japo kwa muktasari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibu kama kwamba mimi ndiye nilihitaji kujua. Elezea kile unachokijua kuhusu hayo mapinduzi na hiyo clip iliyowekwa hapo. Mambo ya Nyerer na Sultani hayatuhusu kwani wao hawapo kwenye picha hii. Tunacho bishania hapa ni huyo aliyeiweka hii clip kuwa ati ni watu wa Zanzibar walikuwa wanauliwa. Halafu kaweka clip ambayo ilikuwa inachukuliwa na mtu aliyekuwa kwenye chopa. Jamani, hebu tuambieni; Alikuwa mwandishi wa habari wa channel gani huyo ambaye mwaka 1964 alikuwa na uwezo wa kuchukua hizo picha kwa kutumia chopa??
Acheni kuwaharibu watoto wetu kihivyo. Malkia alipokuja Kenya unajua alikuja kwa ndege gani?? Iwezekaneje mwandishi wa habari atembelee chopa?? Acheni uongo huu. Historia ya Zenj mmeshaiharibu vya kutosha wala hakuna tena awezaye kujielewa ni lipi lilitokea.
Mtoto wako hajaharibiwa, Mkuu wewe ndie ulieharibiwa akili.
jaribu itafute uipitie documentary hii Africa Addio. Hii documentntry ipo tokea 1965. siyaleo mkuu. Na imerokodiwa na Wazungu nasio CUF au Waarabu mkasema kwamba wanapinga matunda ya Chama Tawala.
Unajibu kama kwamba mimi ndiye nilihitaji kujua. Elezea kile unachokijua . Halafu kaweka clip ambayo ilikuwa inachukuliwa na mtu aliyekuwa kwenye chopa. Jamani, hebu tuambieni; Alikuwa mwandishi wa habari wa channel gani huyo ambaye mwaka 1964 alikuwa na uwezo wa kuchukua hizo picha kwa kutumia chopa??
.
Kwanini umemuita masiha mjinga mkuuKitabu Cha mwalimu Nyerere (the influence of Nyerere ), cha mwaka 1995 (uk-172) kina sema .. uhuru wa Zanzibar ulipatikana alhamisi ya December 10 .1963.sultan akiwa mkuu wa nchi ya Zanzibar nakupewa mamlaka ya kumteua mrithi wake "..
Mapema mwaka huo huo Mwalimu Julius Nyerere . Aliionya serikali ya uingereza kwamba ikiwa itatoa .mamlaka kwa chama cha watu wachache " Kina-choongozwa na waarabu cha ZNP "... Maamuzi hayo yataifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Mashaka ..
Ndani ya Majuma ma-5 tu serikali hiyo ilipinduliwa na masiha mjinga .Ambaye ni kiongozi wa wanaharakati (JOHN OKELLO)
Baada ya kipindi kifupi cha vurumai na mauaji (OKELLO) alisimika baraza la mapinduzi chini ya Uongozi wa Abeid aman karume ....
Kwa hiyo mkuu kwa kukujibu tu swali lako " Hayo mauaji Yalitokea kipindi cha vurugu za mapinduzi yaliyo asisiwa na Bwana john okello na rafiki wake wa karibu shekhe abeid aman karume .... ni mauaji Ambayo yaliua takribani ya watu 1.2000.
Nadhani nitakuwa nimekujibu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shukrani kwa jibu lako,lakini ningependa kujua zaidi kuhusu yanayoendelea kwenye hii video,kwanini hawa watu waliuwawa,waliouwawa ni akina nani,na nani aliwauwa,nani alitoa amri,na hawa waliokuwa wakirekodi hii footage ni akina nani na kwanini hawakuchukua hatua yoyote,kwanini hili jambo halizungumziwi wala kufundishwa mashuleni etc etc,maswali ni mengi
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTEJ
Mkuu majibu nimeyapata baada ya kuuliza,na wajuvi wanazidi kutiririka ili tupate ilmu zaidiBado hujaelewa mkuu mbona majibu ni mazuri sana unataka utajiwe na majina ya marehem mkuu?
Kwa hivyo wakazileta Zenj kuja kuchukua picha za wazalendo wakiuawa. Yaani hata script ya senema huwezi itofautisha?? Ulimwengu huo ulikaa kimya kwa sababu watu waliuliwa na maji au mizinga?? PatheticMi siwalaumu sana nyie wazee,brainwashing mliyofanyiwa na bwana Mchonga ilikuwa vere effective,kama wewe na utu uzima wako pamoja na uwapo wa google unaweza kusimama kifua 'mbere' ukatoa hiyo statement hapo juu basi haina hata maana ya kuendeleza mjadala na wewe,miaka ya stini major powers zilikuwa zinashindana kwenye space race mambo ya kuexplore
Mzee wangu twende taratibu,kwanza tumekubaliana pasipo shaka kuwa uwezo na rasilimali na vitendea kazi vya kuweza kuchukua ile aerial footage kutoka kwenye chopa ulikuwapo mwaka 1964?.Kwa hivyo wakazileta Zenj kuja kuchukua picha za wazalendo wakiuawa. Yaani hata script ya senema huwezi itofautisha?? Ulimwengu huo ulikaa kimya kwa sababu watu waliuliwa na maji au mizinga?? Pathetic
Wanajamvi,
Kuna hii video ipo youtube kitambo kidogo, inaonesha watu wakiuawa kwa mamia, wengine kwenye plots na wengine fukwe. Video inadaiwa kuchukuliwa Zanzibar mwaka 1964.
Kwa wataalamu wa historia, wachambuzi na Wajuzi tujuzane, ni kweli hii ni Zanzibar? Je, nini kilikuwa kinaendelea mpaka watu hawa kuuawa kama kuku, kama sio Zanzibar ni wapi?
Ujue kama ni upotoshaji tuiripoti hii video youtube iondolewe kwa "kuchafua taswira" ya visiwa vyetu pendwa na wahusika waliyoipandisha wapelekwe Mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, picha zote zilizopigwa hazikuwa za rangi na kamera za video hazikuwepo.Mzee wangu twende taratibu,kwanza tumekubaliana pasipo shaka kuwa uwezo na rasilimali na vitendea kazi vya kuweza kuchukua ile aerial footage kutoka kwenye chopa ulikuwapo mwaka 1964?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa muitaliano na rafiki yake wamedocument matukio mengi sana. Walifika mpaka congo. Kule nigeria ile vita ya Biafra waliireport vzuri sana. Kule youtube unaipata video yote!Angalia Documentary Africa Addio,ina kipande kinaonyesha mauaji hayo mwanzo mwisho.
Kuna muitaliano alikua anarekodi matukio yote baada ya uhuru Africa.
Bongo nyerere walikula ubwabwa wazungu wakapewa hadithi wakapanda zao meli haoo na matarumbeta wakapigiwa ya kuagwa pale feri ikulu.
Nini mwaka 1964.Mzee wangu twende taratibu,kwanza tumekubaliana pasipo shaka kuwa uwezo na rasilimali na vitendea kazi vya kuweza kuchukua ile aerial footage kutoka kwenye chopa ulikuwapo mwaka 1964?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda pia,GhanaHuyu jamaa mreno na rafiki yake wamedocument matukio mengi sana. Walifika mpaka congo. Kule nigeria ile vita ya Biafra waliireport vzuri sana. Kule youtube unaipata video yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ulikuwepo lakini usingeliweza kutumika Zanzibar kwa sababu; Kwanza ilikuwa dola changa sana ambayo pia uhuru wake ulikuwa na mushkeli. Pili; Haikuwa ni Zanzibar kwa sababu mauaji hayo kama yangelitokea, lazima yangepigiwa kelele na wakoloni kwani ndio kwanza tu wamewapa uhuru. Sultani alikuwa hata hajajiandaa kujiunga kokote. Tatu; Sutani alikuwa na undugu na Oman wdhani ndugu zake wasingelipiga kelele?Mzee wangu twende taratibu,kwanza tumekubaliana pasipo shaka kuwa uwezo na rasilimali na vitendea kazi vya kuweza kuchukua ile aerial footage kutoka kwenye chopa ulikuwapo mwaka 1964?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sitaendelea mbele nahuu mjadala mpaka tukubaliane kwanza kuwa aerial videography kutokea kwenye chopa ama ndege ilikuwa ni kitu cha kawaida mwaka 1964,hata huko zanzibar.Hata kama ulikuwepo lakini usingeliweza kutumika Zanzibar kwa sababu; Kwanza ilikuwa dola changa sana ambayo pia uhuru wake ulikuwa na mushkeli. Pili; Haikuwa ni Zanzibar kwa sababu mauaji hayo kama yangelitokea, lazima yangepigiwa kelele na wakoloni kwani ndio kwanza tu wamewapa uhuru. Sultani alikuwa hata hajajiandaa kujiunga kokote. Tatu; Sutani alikuwa na undugu na Oman wdhani ndugu zake wasingelipiga kelele?
Nasema, sikatai walikufa watu ila sio kwa umati ule. Waarabu wale walikuwa hata hawajajua ni nini maana ya kujitawala.
Nafahamu mkuu,mdau anasema eti hata kama teknolojia hyo ilikuwepo isingeweza kutumika zanzibarNini mwaka 1964.
Mwaka 1800 European countries walikua tayari wanaweza kurekodi video na redio
Kwa nini unasema ushauri huo ulitoka kwa TEACHERIla waswahili watu wa fitna sana yani baada ya mapinduzi wakamuona okelo mshenzi na kumpa majina yote mabaya ili kupata sababu ya kumfukuza znz karume atawale, bila shaka huu ushauri ulitoka kwa mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app