Ukweli wa video hii ni upi? Je, mauaji haya ni kweli yalitokea Zanzibar?

Basi unafiki ndio ulikuwa unatawala kumbe!! Muingereza hamtaki ZNP hivyo akaamua Sultani apinduliwe, akamwita aende kukaa kwake. Nyerere akamsaidia aondoke asije uliwa. Huku nyuma Nyerere akatuma chopa kwenda kuwapiga picha waswahili wakiliwa huko Zenj.
Kweli hadithi nyengine jifunzeni kuzitunga muingizemo na viungo ili tusiokuwepo tusigundue uongo wenu. Fikiria, watu 20000 wauliwe mchana. Asichupoke hata 1 tu wa kwenda kueleza yaliyowakuta wenzie?? OK yu can believe whatever ila usiwaaminishe wengine

Labdu unaiambie huo uongo uko wapi?

Na Waliopinduliwa ni ni ZNP na sio Sultan kama munavokaririshwa. Kwani wao ndio waliokua wanaongoza Serekali. Hivi leo kukitokea mapinduzi India ni nani atakua aliyepinduliwa Ram Nath Kovind au Narendra Modi? au Ujerumani Frank-Walter Steinmeier au Angela Merke? naomba nijibu hili ili tuendelee mkuu. kuna vitu havitaki macho makali lakini bado munazirusha tu.
Na hivi hufahamu kama Nyerere ndie aliyemuhifadhi Sultan?
Na hiyo video ilirekodiwa na wataliano Nyerere hakuna alipohusika kwenye hilo.
 
Aliyepinduliwa alikuwa ni Sultan Jemshid bin Sayyid ambae hadi hivi sasa yuko hai na anaishi Uingereza msipindishe ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unaujua mkuu? msaidie kujibu hilo suali nilioliza hapo
Utawala wa kisultan Zanzibar ulikuwa not only chini ya influence ya Uingereza na ndio maana hata ukiangalia bendera ya Sultan wa Zanzibar utaona kuwa alama za Muigereza but also Kumbuka "The scramble for and partition of African continent 1886" Uingereza ndio alichukua eneo la East Africa

Swali langu ni hili mkuu. "Hivi leo kukitokea mapinduzi India ni nani atakua aliyepinduliwa Ram Nath Kovind au Narendra Modi? au Ujerumani Frank-Walter Steinmeier au Angela Merke? naomba nijibu hili ili tuendelee mkuu. kuna vitu havitaki macho makali lakini bado munazirusha tu."
 
Utawala wa kisultan Zanzibar ulikuwa not only chini ya influence ya Uingereza na ndio maana hata ukiangalia bendera ya Sultan wa Zanzibar utaona kuwa alama za Muigereza but also Kumbuka "The scramble for and partition of African continent 1886" Uingereza ndio alichukua eneo la East Africa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hilo lipo wazi kabisa, na ndio mana nikazungumza kuwa Sultan alikuwa ni kibaraka wa Uingereza. Na ndio mana aliondoka salama na kufika U.K akiwa salama. Na nyerere ndie aliemuhifadhi.
 
Labdu unaiambie huo uongo uko wapi?

Na Waliopinduliwa ni ni ZNP na sio Sultan kama munavokaririshwa. Kwani wao ndio waliokua wanaongoza Serekali. Hivi leo kukitokea mapinduzi India ni nani atakua aliyepinduliwa Ram Nath Kovind au Narendra Modi? au Ujerumani Frank-Walter Steinmeier au Angela Merke? naomba nijibu hili ili tuendelee mkuu. kuna vitu havitaki macho makali lakini bado munazirusha tu.
Na hivi hufahamu kama Nyerere ndie aliyemuhifadhi Sultan?
Na hiyo video ilirekodiwa na wataliano Nyerere hakuna alipohusika kwenye hilo.
Unajibu kama kwamba mimi ndiye nilihitaji kujua. Elezea kile unachokijua kuhusu hayo mapinduzi na hiyo clip iliyowekwa hapo. Mambo ya Nyerer na Sultani hayatuhusu kwani wao hawapo kwenye picha hii. Tunacho bishania hapa ni huyo aliyeiweka hii clip kuwa ati ni watu wa Zanzibar walikuwa wanauliwa. Halafu kaweka clip ambayo ilikuwa inachukuliwa na mtu aliyekuwa kwenye chopa. Jamani, hebu tuambieni; Alikuwa mwandishi wa habari wa channel gani huyo ambaye mwaka 1964 alikuwa na uwezo wa kuchukua hizo picha kwa kutumia chopa??
Acheni kuwaharibu watoto wetu kihivyo. Malkia alipokuja Kenya unajua alikuja kwa ndege gani?? Iwezekaneje mwandishi wa habari atembelee chopa?? Acheni uongo huu. Historia ya Zenj mmeshaiharibu vya kutosha wala hakuna tena awezaye kujielewa ni lipi lilitokea.
 
Mkuu hayo mauaji yalitokea baada ya mapinduzi. Usiku wa Mapinduzi watu waliokufa hawakufika hata 100. Lakini kuanzia siku ya pili nakeundelea mwezi mzima ndipo yalipofanyika mambo kama hayo.
Swadakta mkuu,unaweza kusaidia kuongezea nyama kuhusu yaliyojiri baada ya yale mapinduzi japo kwa muktasari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tungelianzia hapa. Kwanza mapinduzi ya Zanzibar Yalifanywa na Nyerere na sio mwengine yoyote. Na aliyafanya hayo akiwa na backup kutoka kwa mataifa makubwa ya. (U.S, U.K, Israel)
Sultan wa Zanzibar alikua ni kibaraka tu wa waingereza na wala hakuwa na athari yoyote kwao, walikua na uwezo wa kumendesha wanavotaka wao, Ila Z.N.P au Hizbu ndio ilikua tatizo kwa hayo mataifa makubwa. Hawakumtaka Ali muhsin atawale Zanzibar, Pamoja na Abrahman Babu ambaye katika kipindo hicho cha mapinduzi walishagawana mbawa kutokana na tafouti zao za kisiasa. Kwaiyo mapinduzi yale yalikua nikwaondoa Hizbu na sio Sultan kama tunavoaminishwa. Na ndiomana jiulize Sultan kipi alipata kwenye hayo mapinduzi? Nyerere ndio aliemuhifadhi kwa kutii amri ya Muengereza na baadae akelekea Uengereza akiwa salama yeye na ukoo wake wote.
Sasa watafute hao viongozi na wanachama wa chama cha Hizbu yaliowakuta ndio hayo. Viongez wengi walikula viteso wakaishia majela kwa zaidi ya miaka 10 na zaidi.
Sasa hizi porojo nyengine tunazokaririshwa ni za uchaa tu, Na tunazidi kuwa wajinga tunapozidi kubebe vitu visivoingia akilini.
Labda tungeuliza hivi mfano leo kukitokea mapinduzi India ni nani atakua aliyepinduliwa Ram Nath Kovind au Narendra Modi? au Ujerumani Frank-Walter Steinmeier au Angela Merke? naomba nijibu hili ili tuendelee mkuu.

Tupo pamoja mpaka hapo mkuu?

Tuko pamoja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi unafiki ndio ulikuwa unatawala kumbe!! Muingereza hamtaki ZNP hivyo akaamua Sultani apinduliwe, akamwita aende kukaa kwake. Nyerere akamsaidia aondoke asije uliwa. Huku nyuma Nyerere akatuma chopa kwenda kuwapiga picha waswahili wakiliwa huko Zenj.
Kweli hadithi nyengine jifunzeni kuzitunga muingizemo na viungo ili tusiokuwepo tusigundue uongo wenu. Fikiria, watu 20000 wauliwe mchana. Asichupoke hata 1 tu wa kwenda kueleza yaliyowakuta wenzie?? OK yu can believe whatever ila usiwaaminishe wengine
Walionusurika walikuwapo na hili suala la mauaji linafahamika kuwa watu waliuwawa baada ya mapinduzi yale na waliuwawa wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uzi unachanja mbuga huku ukiamsha hisia za "uarabu" na uAfrika, baadae uislam na ukiristo ukiingia taratiiibu,.....
 
Angalia Documentary Africa Addio,ina kipande kinaonyesha mauaji hayo mwanzo mwisho.
Kuna muitaliano alikua anarekodi matukio yote baada ya uhuru Africa.
Bongo nyerere walikula ubwabwa wazungu wakapewa hadithi wakapanda zao meli haoo na matarumbeta wakapigiwa ya kuagwa pale feri ikulu.
 
Nshaisikia mahali hii,ngoja nikaidurusu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom