Ukweli wa video hii ni upi? Je, mauaji haya ni kweli yalitokea Zanzibar?

Mkuu shukrani kwa jibu lako,lakini ningependa kujua zaidi kuhusu yanayoendelea kwenye hii video,kwanini hawa watu waliuwawa,waliouwawa ni akina nani,na nani aliwauwa,nani alitoa amri,na hawa waliokuwa wakirekodi hii footage ni akina nani na kwanini hawakuchukua hatua yoyote,kwanini hili jambo halizungumziwi wala kufundishwa mashuleni etc etc,maswali ni mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanayaita MAPINDUZI TAKATIFU

Huyo shamis ..ajiandae...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Video inaweza kuwa imechukuliwa na yoyote,jw,ama hata wazungu.
--Haja ya kujua ipo,sababu inahusiana na historia ya nchi na uhai wa watu wengi uliopotea bila ya sababu zinazokubalika na binaadamu wenye utu.
-Sikuwepo duniani mwak 1964 lakini ni wajibu wangu kujua historia yangu,ya watu wangu na dunia kwa ujumla
-unajustify mauaji ya watu wote hao kwa sababu ya kipuuzi ya wazee kupata wake za hao waliowauwa?.Kama mtu mzima na akili zako unahitaji kuuwa mtu ili uweze kupata mwanamke basi wewe ni khabith,psychopath,sick and an animal,mshenzi na sheitwani,wala sio ushababi huo,wanaume wa kweli wanatongoza na kutumia njia za kistaarabu na kiungwana kuwapata wanawake wawatakaoo,sio kufanya genocide/ethnic cleansing.na unayesapoti hyo mentality na yeyote unakuwa kwenye kundi hilohilo.
-Sina nia mbaya Lengo la kufukua hili kaburi ni kujaribu kujifunza historia ya nchi yangu ambayo ni pwani nzima ya afrika mashariki pamoja na visiwa vyake.Kumekuwa na upotoshaji ama kufichwa kwa historia ya mwafrika,na hili linaturudisha nyuma,usipojua historia yako huwezi kuendelea na maisha yanakuwa magumu zaidi kwahyo ni muhimu kujua.Nia sio kutoa lawama ama kunyooshea watu vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana waliua ili kupata wake tu??

Aisee... ... walikuwa sio watu kabisa hao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyewe wanayaita MAPINDUZI TAKATIFU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kilichonifurahisha na kuamini kua malipo hua yanaanzia hapahapa duniani ni kua wengi wa walioshiriki mauaji hayo ya dhulma waliishia kusalitiana na kuanza kuuana wenyewe kwa wenyewe na wachache waliokua hai waliishia kuishi maisha ya dhiki na majuto ya hali ya juu.

Maendeleo hayana chama
 
Hata kama ulikuwepo lakini usingeliweza kutumika Zanzibar kwa sababu; Kwanza ilikuwa dola changa sana ambayo pia uhuru wake ulikuwa na mushkeli. Pili; Haikuwa ni Zanzibar kwa sababu mauaji hayo kama yangelitokea, lazima yangepigiwa kelele na wakoloni kwani ndio kwanza tu wamewapa uhuru. Sultani alikuwa hata hajajiandaa kujiunga kokote. Tatu; Sutani alikuwa na undugu na Oman wdhani ndugu zake wasingelipiga kelele?
Nasema, sikatai walikufa watu ila sio kwa umati ule. Waarabu wale walikuwa hata hawajajua ni nini maana ya kujitawala.

Mkuu unazungumza vitu vya ajabu. Lakwanza ufahmu tu kuwa Usultan wa Zanzibar na wa Oman hawakuwa na maelwano ya kiasi kikubwa. fatilia historia vizuri.
Nahao Wakoloni ndio waliotengeneza njia ya yale Mapinduzi, Kwahiyo wao na walioyafanya yale ni almost walikua kitu kimoja. Wakoloni wasingeliyataka yale mapinduzi basi kwa uhakika yasingelitokea.
Lapili Mkuu viideo ipo wazi kabisa na Dunia nzima inakubali juu ya hilo nyie munapinga nini?
 
Samahani bwana mkubwa. Nina maswali 2 tu kwako; 1. Ni wakoloni gani walichochea hayo mapinduzi?? Mwingereza halafu akamrudisha Sultani kwake uingereza!!! Au ni Tanganyika wakamkaribisha Karume Darisalama?
2. Ni dunia ipi inailalia hiyo genocide huku wakilalamikia Rwanda? Ni mpaka lini jamani mtaacha kuwaharibu uzao huu usiokuwa na kosa kwenye hayo mapinduzi?? Kweli John Okello mtu ambaye alikuwa hana hata bunduki moja aweze kuipindua dola?? Vituko vyenu kaelezeeni pale Mwembe makumbi
 
Mkuu punguza jazba. John Okello hajafanya mapinduzi hizo niporojo za jamaa zetu zisiokua na kichwa wala miguu, Bali Okello alishiriki mapinduzi.
Mkuu nakushangaa unapoipinga hiyo video, kwani hiyo video si yaleo mkuu ipo tokea 1966. Na imo ndani ya Documentary mashuhuri tu. Sasa wewe sijui unachopingia ni kitu gani.

Nakuhusu Wakoloni waliochochea, Mkuu Uingereza ndio walioyachochea hayo mapinduzi na hilo liko wazi tu. Mana lakwanza walikua na uwezo wa kuyazima yale mapinduzi na waliyaacha, Mbona Tanganyika waliyazima mapinduzi wiki moja mbele tu? Je pia unafahamu kamaa mkuu wa polisi Zanzibar alikua ni Muingereza. Ne je pia unalifahamu suala la jinsi Nyerere kwa kutumiwa na Waingereza alivotumia njia zote kumkonvice Abdul Naseer kukuta kusaini mkataba wa Kijeshi baina Zanzibar na Misri? C.I.A pamoja na Majasusi wa Israil walikua wanafanya nini Zanzibar Siku ya Mapinduzi? Umewahi msikia David Kimche?
Na Tanganyika ndio walifanya hayo mapinduzi.
 
Mkuu unazungumza vitu vya ajabu. Lakwanza ufahmu tu kuwa Usultan wa Zanzibar na wa Oman hawakuwa na maelwano ya kiasi kikubwa. fatilia historia vizuri.
Nahao Wakoloni ndio waliotengeneza njia ya yale Mapinduzi, Kwahiyo wao na walioyafanya yale ni almost walikua kitu kimoja. Wakoloni wasingeliyataka yale mapinduzi basi kwa uhakika yasingelitokea.
Lapili Mkuu viideo ipo wazi kabisa na Dunia nzima inakubali juu ya hilo nyie munapinga nini?
Wanajidanganya eti hayakuwa na baraka ya mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu punguza jazba. John Okello hajafanya mapinduzi hizo niporojo za jamaa zetu zisiokua na kichwa wala miguu, Bali Okello alishiriki mapinduzi.
Mkuu nakushangaa unapoipinga hiyo video, kwani hiyo video si yaleo mkuu ipo tokea 1966. Na imo ndani ya Documentary mashuhuri tu. Sasa wewe sijui unachopingia ni kitu gani.

Nakuhusu Wakoloni waliochochea, Mkuu Uingereza ndio walioyachochea hayo mapinduzi na hilo liko wazi tu. Mana lakwanza walikua na uwezo wa kuyazima yale mapinduzi na waliyaacha, Mbona Tanganyika waliyazima mapinduzi wiki moja mbele tu? Je pia unafahamu kamaa mkuu wa polisi Zanzibar alikua ni Muingereza. Ne je pia unalifahamu suala la jinsi Nyerere kwa kutumiwa na Waingereza alivotumia njia zote kumkonvice Abdul Naseer kukuta kusaini mkataba wa Kijeshi baina Zanzibar na Misri? C.I.A pamoja na Majasusi wa Israil walikua wanafanya nini Zanzibar Siku ya Mapinduzi? Umewahi msikia David Kimche?
Na Tanganyika ndio walifanya hayo mapinduzi.
Mkuu usichoke kutumwagia ilmu hii adhimu,tumechoka kuaminishwa hekaya badala ya ukweli halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya uchaguzi wa mwaka 1961 zanzibar ambao tunaaminishwa ulikuwa wa waarabu na wahindi tu.hebu angalia foleni ya kupiga kura kama ilikuwa waarabu na wahindi peke yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla haujaliamini jambo hilo jiulize hao askari wanaongea kiswahili cha wapi hicho? Jiulize tena, mbona sauti ya huyo askari ni hiyo hiyo na na huyo huyo anasikika tangu akiwa mbali hata haifunikwi na kelele za umati wa watu?
Kwa miaka ile watu wasingeogopa kamrea kama inavyo onekana hapa. Kingine kwa miaka ile watu wasingeacha kulikimbilia kwenda kulishangaa gari tena lenye mzungu ndani akiwa na kamera
 
Back
Top Bottom