Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,906
- 103,996
Yah nmeshamuomba msamaha na nmeshaifuta ile comment kule, nasubiri reply YAKE.Omba bas msamaha jamani.
sikukusudia hili kwa kweli 😔
Mama Ndege
Yah nmeshamuomba msamaha na nmeshaifuta ile comment kule, nasubiri reply YAKE.Omba bas msamaha jamani.
Vipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akili😂😂😂😂😂
Ila wee, usichukulie serious, nliona kwenye uzi wako kulee.
But Ww n mwanamke na nilishajua hilo.😹😹😹 Sa unapendaje mtu humjui Mbaga km mwanaume mwenzio je?
Tuma 🎫 ya 1St class ktk ✈️ si uko Dubai wee.Zikikupanda tena uniite maana maisha ni kusaidiana rafiki
Daaah!! Msamehe buree tyuuh.Vipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akili
Am sorry mamaaVipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akili
😂😂😂😂😹😹😹😹
😹😹😹 hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!Ila kwa akicho ongea kama kweli kakutana na mtu wa humu jf some how na muamini na id izo zina weza kuwa kubwa tu sema ndio maisha yetu mtandaoni
Wachaaa wee!! 😂😂😂😂Nakuaminia maana daily nikiona comment yake naishia kudisa
😂😂😂😂😂😹😹😹 hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!
Huyo pima maji bahati yake marry angepita na simu yake 🤣
Kule twende rasmi kesho na marry 😹😹Ngoja niende kuchungulia, 😂😂😂😂😂
Dah😹😹😹 hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!
Huyo pima maji bahati yake marry angepita na simu yake 🤣
Haswaaaa!! Tukauchachue uziii. 😂😂😂😂Kule twende rasmi kesho na marry 😹😹
Pole Mbaga yote maisha rafiki, inawezekana umeupushiwa kitu sio sahihi kwako..!! 😥Mm nilishanyanyua mikono juu 🙌
😹😹😹 Awe makini ss hivi wengine vibaka ataibiwa..!!Ndo anakutana na michokano iko hoe hae..
Anaamua kuja kuwanangaa hapaaa.
😂😂😂😂😂
Weka dau tuingie mzigoni 😹😹Mzee wa assist na kuna assist moja ntakushirikisha
🙏Pole Mbaga yote maisha rafiki, inawezekana umeupushiwa kitu sio sahihi kwako..!! 😥
Makapuku na kesho tukawaite kwenye uzi wao ule wa makapuku..!! 😹Hapo sasa!! Sitokiii hapa, hadi makapuku wa JF watajwe rasmi.
😂😂😂😂😂
Yaan afanye kuwatajaa, kesho tukawakabidhi kwenye uzi husika.Makapuku na kesho tukawaite kwenye uzi wao ule wa makapuku..!! 😹
We nawe acha kuwa emotional humu tunaishi watu tusiojuana, unaanzaje kuamini watu ghafla?? Mi sio Marry naogopa watu mitandaoni kinouma 😹😹😹Aisee Jesus is watching you my dia