cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,068
Tupoo na tunatamba!! 😂😂😂😂Nawapenda Sana,ila nyie wambea
Khaaa😂😂😂
Tupoo na tunatamba!! 😂😂😂😂Nawapenda Sana,ila nyie wambea
Khaaa😂😂😂
Babe!Yeye tu aumwage hakuna wa kumshambulia, mabodigadi tuko vizuri..!! 😹😹😹
Awataje bhana tutajua tu id zao maarufu zipi hatujawahi kushindwa..!! 😹😹Haswaaaa!! Ulinzi tuna uweza na kuu mudu kabisaa.
😂😂😂😂😂
😹😹😹 Yani Mbaga sijui kwanini nahisi mmojawapo ni wewe au poor brain 🤣Sasa hv nimeacha kuvaa yeboyebo, unavaa masendeu yale ya wamasai 😎
Wapasue basi tulale Marry kesho dadaako nna kazi ya kupanga vijora ujue..!! 😹Nawapenda Sana,ila nyie wambea
Khaaa😂😂😂
Ningeandamana nisingekukuta hapa 😀😀😀😂😂😂😂😂 Da Marry, em shusha ubuyu mzima, mbna unanipa heka heka za kutafuta hitimisho la hii sakata.
Usiniambie ulikutana na mtu choka mbayaa hivyo? Woiiiiiiih
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂Wapasue basi tulale Marry kesho dadaako nna kazi ya kupanga vijora ujue..!! 😹
Fanya jambo basi 😹😂😂😂
Yuko moto zaidi ya moto wenyeweWanamwita mariagoleti.
Mm sijawahi kukutana na demu yeyote humu, nilitaka Ww ndo uwe wa kwanza ila ukanitolea nje 😎😹😹😹 Yani Mbaga sijui kwanini nahisi mmojawapo ni wewe au poor brain 🤣
Naona umenichoka wewe na hunitakii mema 😜😜Kaka oa hapa..!!
Au sio 😹😹Mm sijawahi kukutana na demu yeyote humu, nilitaka Ww ndo uwe wa kwanza ila ukanitolea nje 😎
Anyway, hata hvy mm jobless hvy sina makuu mpaka nije nikutane na mtu ambaye najua nakwenda kupoteza hata hicho kdg nilichobaki nacho mana mm sio tuu hy 800 kuing'ang'ania, hata Ingekuwa 200 nngeipambania 😂
Ndio my wangu wa zamani wa mchongo 😎Au sio 😹😹
Sema ulipambana kwenye ile vita mshkaji wangu, ulinunua ugomvi km USA 😹😹😹Ndio my wangu wa zamani wa mchongo 😎
Alinunua ugomvi na ukamuacha solembaSema ulipambana kwenye ile vita mshkaji wangu, ulinunua ugomvi km USA 😹😹😹