Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

Wengi mnaomponda Rais mnaongozwa na chuki za kidini ndio maana neno "Ushungi" halikauki mdomon mwenu.

Hasa hasa watu wa Moshi mnachuki sana za kidini.

Ushungi ni dini,na huko moshi ni makao makuu ya dini gani?
 
Salama?

Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.

Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.

Rais Samia aliipokea nchi kipindi ambacho pengine wahanga wa Mwendazake walikuwa wengi wengi wengi mno.

Lakini pia Mashabiki Lia Lia wa Mwendazake walikuwa lukuki.

Kilichotokea baada ya Rais Samia kuingia madarakani tuliona wale wahanga wa Mwendazake kisiasa walijaribu kumprovoke Samia Suluhu Hassan but kilichoendelea wote ni mashahid hakuna tena cha Mbowe wala Mdude Chadema.

Siku zinazidi kwenda na Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa kiuongoz aliojaaliwa ambao kimsingi hatukuutegemea.

Twende mbele turudi nyuma Rais Samia Suluhu Hassan ni Mwanamama wakipekee haswa.
Unfortunately wanaoweweseka ni Sukuma gang ila taratibu wanazidi kupoteana 😁😁😁..

Wanaona anapiga Kazi hadi legacy inapotea

Screenshot_20220207-161339.png

Screenshot_20220207-161158.png
 
Salama?

Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.

Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.

Rais Samia aliipokea nchi kipindi ambacho pengine wahanga wa Mwendazake walikuwa wengi wengi wengi mno.

Lakini pia Mashabiki Lia Lia wa Mwendazake walikuwa lukuki.

Kilichotokea baada ya Rais Samia kuingia madarakani tuliona wale wahanga wa Mwendazake kisiasa walijaribu kumprovoke Samia Suluhu Hassan but kilichoendelea wote ni mashahid hakuna tena cha Mbowe wala Mdude Chadema.

Siku zinazidi kwenda na Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa kiuongoz aliojaaliwa ambao kimsingi hatukuutegemea.

Twende mbele turudi nyuma Rais Samia Suluhu Hassan ni Mwanamama wakipekee haswa.
Huwezi kwenda mbele na wakati huohuo ukawa unarudi nyuma
 
Uvccm na shule za kata majanga ya nchi hii.

Kwa hiyo kwako mafanikio Rais Samia ni kumuweka Mbowe ndani na kuidhibiti Cdm ?!. Tanganyika tuna kizazi kiazi kabisa. Mafanikio hayapimwi kwa kuonea watu .
Hujaelewa unaruhusiwa kurudia kusoma mpaka uelewe. Mafi yako
 
Nimecheka kwa nguvu, hiyo miradi kipindi Magufuli anaizindua propaganda ilikuwa ujenzi wake umefikia 75%, ila sasa bibi ushungi kaingia na yeye anaizindua lakini iko 60%! Hapo kazi ipo.
Miradi gani sasa hiyo ambayo inazinduliwa mara mbili?

Utakuwa unaelekea kuwa kichaa,unaona miradi ya maji inazinduliwa na mipya inawekwa wewe unasema Magufuli aliizindua..

Mwendazake alizindua barabara za Mji wa serikali sio hizi za outer ring road
 
Kajitahidi kupandisha bei vitu na kukata umeme
 
Miradi gani sasa hiyo ambayo inazinduliwa mara mbili?

Utakuwa unaelekea kuwa kichaa,unaona miradi ya maji inazinduliwa na mipya inawekwa wewe unasema Magufuli aliizindua..

Mwendazake alizindua barabara za Mji wa serikali sio hizi za outer ring road

Katafute maboya boss, hiyo miradi bosheni mtashika mafamba.
 
Back
Top Bottom