Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

Kwa wanaojua siasa hasa za Afrika wanaelewa zaidi ya kumhifadhi Mbowe mahali salama Utawala wa Rais Samia haukuwa na namna nyingine ya kuituliza nchi. Mbowe alikosea timing tu , Jambo ambalo kwenye siasa ni kosa kubwa la kiufundi.

Ubora wa huyu mama ni hii inflation? Au ubora wake ni kumbambikia Mbowe kesi kupitia hao vilaza wake huko mahakamani ndio ubora wenyewe?
 
Inflation Ni tatizo la dunia nzima.

Kwamba Mbowe kakamatwa watu hawali Wala kunywa maji au?

Yaani kukamatwa Mbowe unataka kufanya kama Ni tatizo la watanzania wote au?
 
Kuongoza Tanzania ni rahisi maana wewe utakua unafatwa na gari nyingi na ulinzi mkali. Huwazi kulitoa taifa katika siasa uchwara, utegemezi, umasikini wa wananchi
 
Inflation Ni tatizo la dunia nzima.

Kwamba Mbowe kakamatwa watu hawali Wala kunywa maji au?

Yaani kukamatwa Mbowe unataka kufanya kama Ni tatizo la watanzania wote au?

Huyo mleta uzi amesema mama kafanya vizuri, lakini kaishia kumtaja Mbowe kwenye huo ubora wa mama! Sasa ndio nimemuuliza ubora wa mama ni upi,ni kwenye hii inflation au hiyo kumbambikia Mbowe kesi? Kama ni msaada muulize mleta mada aliyemtaja Mbowe kuwekwa ndani kama sehemu ya ubora wa utawala wa bibi ushungi, au ww weka ubora wake ili kumsaidia huyo form one B.
 
Ubora wa mama nikianza kutaja kitu kimoja kimoja sitamaliza na ndio maana nimesema kiujumla wake.

Kama unaumia sana Mbowe kuwa Mahabusu jitolee unabadilishana nae
 
Kaonyesha uwezo mkubwa sana wa kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa letu🐒🐒🐒
 
Inflation Ni tatizo la dunia nzima.

Kwamba Mbowe kakamatwa watu hawali Wala kunywa maji au?

Yaani kukamatwa Mbowe unataka kufanya kama Ni tatizo la watanzania wote au?
Humo ndani mwenu hamnamo mwenye akili sana sana njaa na kujikomba
 
Ubora wa mama nikianza kutaja kitu kimoja kimoja sitamaliza na ndio maana nimesema kiujumla wake.

Kama unaumia sana Mbowe kuwa Mahabusu jitolee unabadilishana nae

Mtu yoyote aliye madarakani ni lazima kuna mambo kadhaa yatafanyika kwa kodi za wananchi, hata kama nchi hii isingekuwa na rais bado mambo kadhaa yanayofanyika sasa yangefanyika, ili mradi kuna kodi inakusanywa. Sasa hizo sifa za kiupambe unazotaka kuleta hapa sijui unazitoa wapi. Hata tungeleta mzungu bado angefanya mambo mengi tena kwa ubora kuliko sasa, ili mradi kuna kodi zinakusanywa. Aliyemtaja Mbowe ni ww, hivyo nashangaa kumbe hata Mbowe kukaa ndani ni sehemu ya ubora wa bibi ushungi?
 
Ubora wa huyu mama ni hii inflation? Au ubora wake ni kumbambikia Mbowe kesi kupitia hao vilaza wake huko mahakamani ndio ubora wenyewe?
Shutuma dhidi ya Mbowe zilitengenezwa kabla Samia hajawa rais.
 
Jaduong,

Huna unachojua. Jaribu hata kutumia kichwa chako hata dakika moja.
Yego sijawahi kuendekeza unyanyasaji kisa tu kabila, itikadi, ukanda, udini na hata ushabiki wa michezo.

Tuliamua kufuata siasa za kistaarabu na tuzitii. Siyo kuendekeza umungumutu , hata kama ni kwa mujibu wa katiba.
 
Huna akili.

Zindukaaaa.

Toka Hapo Shirati ujifunze Dunia ikoje.
 
Mwanamama huyu wa kipekee anazid kuonyesha uwezo mkubwa
Uko sahihi na ninachokiona mimi Mama kila siku anazidi kuonyesha ujasiri na weledi.

Ila ni lazima ajue Mbowe sio adui wake maadui wako nae na wanacheka nae.

Mama amethibitisha kuwa Wanawake wanaweza.
 
Mtu yoyote aliye madarakani ni lazima kuna mambo kadhaa yatafanyika kwa kodi za wananchi, hata kama nchi hii isingekuwa na rais bado mambo kadhaa yanayofanyika sasa yangefanyika, ili mradi kuna kodi inakusanywa. Sasa hizo sifa za kiupambe unazotaka kuleta hapa sijui unazitoa wapi. Hata tungeleta mzungu bado angefanya mambo mengi tena kwa ubora kuliko sasa, ili mradi kuna kodi zinakusanywa. Aliyemtaja Mbowe ni ww, hivyo nashangaa kumbe hata Mbowe kukaa ndani ni sehemu ya ubora wa bibi ushungi?
Wengi mnaomponda Rais mnaongozwa na chuki za kidini ndio maana neno "Ushungi" halikauki mdomon mwenu.

Hasa hasa watu wa Moshi mnachuki sana za kidini.
 
Back
Top Bottom