PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
kweli akiri nywele nimeaminiNyie wapuuzi sana,yani mnapost wenyewe,mnachangia wenyewe,mnapongezana wenyewe wakati Fedha za escrow mmeiba wenyewe.
Subirini utawala ubadilike,mtakwenda jela kama aki na Basil Mramba na mtahukumiwa kifungo cha maisha,tunasubiri ripoti ya CAG ndiye atawaumbua.
Fanyeni propaganda kwenye hiyo TV ya ccm lkn ukweli unafahamika,kamwe hatuwezi kuwa upande wa Majizi.
yan umekuja hapa kuongea pumba duuuuu