PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
sio lazima kuangalia mkuuingekuwa ITV ningejisogeza kuangalia, lakini Startv!!!!!!!! maweeeee.
sio lazima kuangalia mkuuingekuwa ITV ningejisogeza kuangalia, lakini Startv!!!!!!!! maweeeee.
Escwor kama ipo mpaka ukawa wamekula mbowe na mbatia
Eheee mambo naona yanakuwa mambo
Jaman CAG upo ebu tulete hiyo ripot
labda tusaidiane kumtafuta mchawi haliye turoga
Eheee mambo naona yanakuwa mambo
Jaman CAG upo ebu tulete hiyo ripot
Watu wengine bwana ukweli siku zote utabaki ukweli hata kama mkitumia mahakama kuficha ukweli watanzania tutaweka kumbukumbu ya kuibiwa na wasiolitakia mema taifa hili
kweli kabisa mkuu....wataumbuka watu humu...weeh ngoja ripot itoke tuone.
Tazama star tv kuanzia saa moja usiku huu upate ukweli/taarifa kamili kuhusu sakata la Escrow account.
CHANZO:Star tv
sio lazima kuangalia mkuu
kabisa mkuuana haki ya kutokuangalia chanel asiyoipenda watu kama hawa wamefungwa ,na fikra finyu
Escwor kama ipo mpaka ukawa wamekula mbowe na mbatia
mkuu umejuaje kama anawashwa huyo mtu
Unawashwa eee
kweli kabisa mkuuAcha matusi mkuu bishana kwa hoja
kweli kabisa mkuu
KUMBE ZILE PESA ZINGEWEZA HATA KUWEKWA Akiba commercial Bank hahahahha,....na bado Tanesco wanadaiwa duh
Wadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star TV likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu IPTL na ESCROW akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya Star TV. Hujachelewa kujua ukweli.