Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Nyie wapuuzi sana,yani mnapost wenyewe,mnachangia wenyewe,mnapongezana wenyewe wakati Fedha za escrow mmeiba wenyewe.

Subirini utawala ubadilike,mtakwenda jela kama aki na Basil Mramba na mtahukumiwa kifungo cha maisha,tunasubiri ripoti ya CAG ndiye atawaumbua.

Fanyeni propaganda kwenye hiyo TV ya ccm lkn ukweli unafahamika,kamwe hatuwezi kuwa upande wa Majizi.
 
Mkuu. Mbona kama umepaniki vile?... Ripoti ya CAG inashida gani?. Si itoke tu huku ukweli ukiendelea kufichuliwa
 
Kipindi kimeandaliwa na wezi, kina lipiwa na wezi katika tv ya wezi unategemea kipi zaidi ya hizi pumba?
 
Hapa tatizo sio Tanesco kudaiwa au kusema pesa hazikuwa za serikali. Kinachotakiwa hapa ni waliohusika kuchukua pesa kuadhibiwa kwani walizichukua kwa njia zisizo halali yani wameiba ivyo wanatakiwa washtakiwe.

Hamtudanganyi tena!! escrow account siyo fedha ya umma tena TANESCO wanadaiwa na IPTL
 
Enzi za EPA spika alikuwa anafanya propaganda kama hizi na kutuaminisha kuwa ni uzushi mwisho yako wapi? Ikaja Richmond mkashupaaa na kulipia vipindi plus Kuwatumia Takukuru kuwasafisha mwisho yakawaje????? Aku sidanganyiki na ikiona juhudi za kinyamazisha watu kwa vitisho vya kila aina kuanzia kwa Werema mpk kwa Singasinga mwenyewe napata jibu moja tu kuwa ukweli unataka kufichwa
 
Hangaikeni mwisho ukweli utajulikana na hao bwana zenu mnao watetea
 
Wadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star TV likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu IPTL na ESCROW akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya Star TV. Hujachelewa kujua ukweli.

saa mbili kasoro hii tupe updates
 
Kama taarifa ndiyo,sasa kwanini uchunguzi uchukue muda wote huo kama kweli kila kitu kiko wazi hivyo?!
 
Enzi za EPA spika alikuwa anafanya propaganda kama hizi na kutuaminisha kuwa ni uzushi mwisho yako wapi? Ikaja Richmond mkashupaaa na kulipia vipindi plus Kuwatumia Takukuru kuwasafisha mwisho yakawaje????? Aku sidanganyiki na ikiona juhudi za kinyamazisha watu kwa vitisho vya kila aina kuanzia kwa Werema mpk kwa Singasinga mwenyewe napata jibu moja tu kuwa ukweli unataka kufichwa

Akili za kizombi kabisa hivi kwahiyo wewe nguvu anayotumia kibaraka Kafulila ya kufanya makongamano ni ndogo?? Unapaswa ujiulize kunanini mbona Kafulila anatumia nguvu kubwa hivi na kwanini ukawa wapo kimya mpaka sasa.
 
Lkn mbona muda haujafika? Au mmeanzisha thread ya kuwaongezea kipato kwa matumizi ya kesho j2
 
Hivi kweli kuna mtu mwenye utimamu wa akili anatetea wizi wa Escro? Mwehu huyo, hamnazo, punguani.
 
umeona eeh.....katumbili lazima haumbuke safari hii.

==> Nyie Makumazan kweli...FOOL URSELVES..
Kazi kuwa na many IDs na kuhadaa watu hapa, ESCROW mmelipwa kazi kupost ukumazan huku, wallaah nawaambieni, HATA MPIGE KELELE, ESCROW
ITAWAFANYA UFIRAUNI....wezi nyie, u deserved to be hanged & stoned to death....

👌👌 Jipeni moyo, subiria Bunge la November ndio
mtajua, majina yote yanajulikana, maku zenu....

==> Mtachinjwa fck up..!!"
 
Hivi ishu ikiwa mahakamani so haitakiwi ijadiliwe hadI itoe uamuzi? Pasco hebu leta data.
 
Back
Top Bottom