Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

ingekuwa ITV ningejisogeza kuangalia, lakini Startv!!!!!!!! maweeeee.
 
Sasa kumbe kelele za bure tu....zingeweza kuwekwa hata SACCOS

Waliweka bot kwa usalama zaidi,mmeona saini za jk enzi hizo?sasa sio wabongo tunapiga kelele tu ooh fedha zetu zimeibiwa,na wakitaka kuidai tanesco wanaweza maana pesa hazjatosha kulipa deni lote
 
Muendelezo wa kipindi cha ukweli kuhusu escrow account unaendelea sahizi star tv, saa moja kamili. Twende tuangalie watanzania wenzangu.
 
Ngoja tuone lakini angalia wasianzishe fujo studio kama walivyofanya ubungo plaza maana ccm sindano zikiwaingia wanarusha ngumi leo nimeshuudia kwa macho!
 
Baada ya hukumu kutolewa, ambayo ilielekeza iptl/pap kupewa mitambo, mali zote za iptl na madeni ya iptl. Iptl bado inawadai tanesco sababu fedha zilizokuwepo kwenye escrow hazikutosha kuwalipa iptl.
 
Najifunza mambo mengi sana kwenye kipindi hiki. Nawalaumu sababu wamechelewa sana kuujuza umma huu ukweli
 
Nimependa huu utaratibu wa kutoa maelezo kwa umma, fedha za esrow siyo fedha za umma nyie vilaza mnaopigana kisa katiba yetu wananchi.
 
Ha...! Lakini si tunasubiria taarifa ya tume ya uchunguzi isimwe na kujadiliwa bungeni? Sasa vipindi vya nini kabla hatujasomewa taarifa ya tume.
 
Nimependa huu utaratibu wa kutoa maelezo kwa umma, fedha za esrow siyo fedha za umma nyie vilaza mnaopigana kisa katiba yetu wananchi.

unapendeza sana utaratibu huu maana utawasaidia wananchi wengi kuelewa nini kinaendelea na ukweli juu ya escrow akaunti.
 
Hofu yangu vipindi visije kua na nia ya ku pre empty ripoti inayohitajika ikasomwe bungeni
 
Back
Top Bottom