Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Kwa maelezo ya huyu ndugu anayejieza amesema pesa zilizochukuliwa bot ni za iptl na sio za serekali
 
Je ufafanuzi huo hauingilii uchunguzi unaofanya na CAG na TAKUKURU? Kwa niniwasisubiri tusikie ripoti ya CAG na hasa ripoti kusomwa Bunge lijalo? Au ndi UFISADI at its highest level?

Hauingilii zaidi ya yote unasaidia kuweka mambo wazi na kutufanya watanzania tuujue ukweli ukoje.

Bravo sana Star Tv
 
Hapa tatizo sio Tanesco kudaiwa au kusema pesa hazikuwa za serikali. Kinachotakiwa hapa ni waliohusika kuchukua pesa kuadhibiwa kwani walizichukua kwa njia zisizo halali yani wameiba ivyo wanatakiwa washtakiwe.
 
Hapa tatizo sio Tanesco kudaiwa au kusema pesa hazikuwa za serikali. Kinachotakiwa hapa ni waliohusika kuchukua pesa kuadhibiwa kwani walizichukua kwa njia zisizo halali yani wameiba ivyo wanatakiwa washtakiwe.

Mtu unawezaje kuiba Pesa yako mwenyewe?.... Au wamejiibia. IPTL mzigo ule ni halali yao.
 
wadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star tv likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu iptl na escrow akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya star tv. Hujachelewa kujua ukweli.
kumbe iptl/pap ni kampuni safi na si hovu kama inavyodaiwa na wadau wengine.
 
maccm bwana!! Mkiitwa ukoo wa panya hamna makosa. Yaani issue iliwashinda kujinu nungeni mnazurura nayo kwenye press!! Kwa faida ya nani sasa?? Yuo cannot full us any more. Ukweli ni wa kafulila. Ngojemi bunge lianze mvuliwe nguo.

toa ujinga wako wewe, umejifungia unakunywa gongo hata kipindi huangalii mjinga wewe.
 
watu wengine bwana ukweli siku zote utabaki ukweli hata kama mkitumia mahakama kuficha ukweli watanzania tutaweka kumbukumbu ya kuibiwa na wasiolitakia mema taifa hili

unakirusi cha kichwa wewe!! Umeangalia kipindi lakini???
 
Back
Top Bottom