Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

Wakati wa dowans tukiwambia hapahapa kwamba lipeni pesa za watu kwani mmetumia umeme wao,watu wakajifanya kuleta siasa,matokeo tukaambulia kulipa zaidi mara dufu ya mwanzo.
leo tena escrow zimekua pesa za umma,mh...
 
Just curious to know..

1. What happens to the Board of Directors of a Limited Liability Company katika ufilisi? In other words, board na management ya kampuni inaweza kuuza shares katika ufilisi?

2. Katika ufilisi wa kampuni, kati ya shareholder na creditor, nani ana priority ya juu zaidi ya mwenzake?

3. Creditors wa IPTL ni nani wakati IPTL ilipokuwa katika ufilisi?

4. Kuna ushahidi upi wa mauzo ya shares za Mechmar from Piperlink? Mbona SCBHK ana share certificate which has been verified as authentic by the CAG team?

5. PAP imenunua share za Mechmar from Piperlink tarehe ngapi?

6. PAP imekua registered tarehe ngapi?

7. Je, PAP inaweza kununua shares katoka Piperlink kabla hata haijawa-registered?

8. What if BoT paid the wrong party?

9. At the sale of VIP shares, what was the share pprice and at what meeting was this valuation done? Keep in mind kampuni ipo katika ufilisi.

10. Wahisani ni wajinga kusimamisha misaada kama kila kitu ni clean? Au wanatuonea wivu kwa maendeleo yetu?
 
NAAMINI IPTL HAKUNA KASHFA WALA UFISADI WOWOTE.
Ila siwezi kiunga mkono hizi habari kutoka upande mmoja hususan upande unaotuhumiwa.
Nisameheni
 
Nyie wapuuzi sana,yani mnapost wenyewe,mnachangia wenyewe,mnapongezana wenyewe wakati Fedha za escrow mmeiba wenyewe.

Subirini utawala ubadilike,mtakwenda jela kama aki na Basil Mramba na mtahukumiwa kifungo cha maisha,tunasubiri ripoti ya CAG ndiye atawaumbua.

Fanyeni propaganda kwenye hiyo TV ya ccm lkn ukweli unafahamika,kamwe hatuwezi kuwa upande wa Majizi.
mkuu ili kujua ukweli, ilipaswa wote wawepo, lakini sio upande mmoja, hao inawezekana wameshapata mgao wao tayari!
 
Hapa tatizo sio Tanesco kudaiwa au kusema pesa hazikuwa za serikali. Kinachotakiwa hapa ni waliohusika kuchukua pesa kuadhibiwa kwani walizichukua kwa njia zisizo halali yani wameiba ivyo wanatakiwa washtakiwe.
Kweli nimeamini waTZ tuna vichwa vigumu vya kuelewa mambo
 
Kafulila na wanaomuunganmkono wameingia choo cha kikemwaka huu

acha ujinga ww unayeshangilia pesa kuchukuliwa na matapeli wa kimataifa,sema tumeshatapeliwa kwa sababu ni lazima kulikuwa na sababu ya iptl na tanesco kufungua ac ili kuweka hizo fedha,je sababu hizo zilikuwa invalid kwa muda hizo pesa zilikombwa?je km mnashabikia kuwa pesa hazikuwa za tanesco aka watanzania kesi ilihusu nn na nani alimshitaki mwenzake,pia hukumu ya kesi kati ya tanesco na iptl ilishatolewa na vipi kuhusu mahakama ya kibiashara ya kimataifa liamua nn,kama hizo pesa ni za singasinga ilikuwaje akafungue account BOT ambapo raia haturuhusiwi,kwa maono yangu wanaotetea hizo pesa kuchukuliwa na singasinga watakuwa watu wabaya sana na roho mbaya sana
 
huyu singasinga wa IPTL si ndio ameingia mkataba juzi na serikali ya Kenya kuzalisha umeme? pesa za escrol hazina shida yoyote
 
James Rugemalira anahusika na hii account ya escrow
 
Yaani hawa wanachojaribu kufanya ni kuwaanda watanzania kisaikolojia na matokeo yao ya uchunguzi ya kuwabeba walofuja pesa hizo Escrow Account.Ngoja mtaona hakuna jipya hapo ila ni kuhalalisha wizi wa hizo pesa,we ulishaona wapi wanaotuhumiwa ndo wakajichunguza?
 
Nyie wapuuzi sana,yani mnapost wenyewe,mnachangia wenyewe,mnapongezana wenyewe wakati Fedha za escrow mmeiba wenyewe.

Subirini utawala ubadilike,mtakwenda jela kama aki na Basil Mramba na mtahukumiwa kifungo cha maisha,tunasubiri ripoti ya CAG ndiye atawaumbua.

Fanyeni propaganda kwenye hiyo TV ya ccm lkn ukweli unafahamika,kamwe hatuwezi kuwa upande wa Majizi.

Hii propaganda waliyofanya jana inawaweka mahali pabaya sana wale mabwana wawili waliokuwa wanajadili na kujaribu kuosha hii scandal kwenye kipindi hicho...sidhani kama kweli dhamira yao ilikuwa haiwasuti

Kuna siku watu watakimbia familia zao na Inchi yao
 
Hii propaganda waliyofanya jana inawaweka mahali pabaya

Tunafahamu imewauma sana baada ya watanzania kupewa ukweli jana kupitia runinga ya Star TV, wasaka tonge mmevimba na kutoa vijambo vya kila aina vyenye harufu chafu, mmeshindwa hata kuchangia hoja mmebaki mnatukana matusi ya kila aina kwenye vigroup vyenu.
Leo tena mwendelezo kupitia Tv ileile muda uleule. Wajinga nyie mmeachwa mkipotosha umma muda wote huo, kwahyo mlichokuwa mkifanya nyinyi siyo propaganda ilikuwa kutoa elimu kwa umma??? Mmezunguka mikoa mingapi na vikongamano vyenu mkigawa visenti kuwahadaa watu. Napongeza kilichofanyika, kutoa elimu kwa umma.
Jana watu wamejionea IPTL ni kitu gani wapo waliodhani ni kijenereta tu kipo pale salasala leo wamefahamu kuwa ni likampuni kubwa lenye mitambo mikubwa inayofanya kazi na wapo watanzania wenzetu wamepata ajira pale.
 
yan nimeona kindi star tv na nimekielewa vizuri sana kumbe waana siasa wanatuongopea kweli kuhusu huu mchakato
 
Hii propaganda waliyofanya jana inawaweka mahali pabaya sana wale mabwana wawili waliokuwa wanajadili na kujaribu kuosha hii scandal kwenye kipindi hicho...sidhani kama kweli dhamira yao ilikuwa haiwasuti

Kuna siku watu watakimbia familia zao na Inchi yao
yan wetu wengi wana boa sana
asa hapo kuna propaganda gan na ukweli wote umewekwa wazi au ulitaka ampa kafulila aseme ndo huamini??
hacha kujitoa fahamu wewe mkuu
 
Back
Top Bottom