Eheee mambo naona yanakuwa mambo
Jaman CAG upo ebu tulete hiyo ripot
itatoka tu ripot bila shaka na ukweli utajulikana tu.tuone watu watakapo umbuka humu kwa ushabiki wenu wa kipuuzi.
Eheee mambo naona yanakuwa mambo
Jaman CAG upo ebu tulete hiyo ripot
Pelekeni ripoti ya CAG mkaijadili star tv,sio kwenda 2 kichwa kichwa!
Haya tuone sasa mwisho wa picha hupojee
Escwor kama ipo mpaka ukawa wamekula mbowe na mbatia
Pelekeni ripoti ya CAG mkaijadili star tv,sio kwenda 2 kichwa kichwa!
Wadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star TV likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu IPTL na ESCROW akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya Star TV. Hujachelewa kujua ukweli.
Kibaunsa kalala labda nimsaidie, uliangalia kipindi kwanza? Isije kuwa unahemka tu! Ukweli haujatolewa siku zote tangia lini labda??Ni nani mwenye ukweli huo? Kama upo kwa nini haukutolewa siku zote hizi? Star TV ndiyo forum ya nani?
Kibaunsa kalala labda nimsaidie, uliangalia kipindi kwanza? Isije kuwa unahemka tu! Ukweli haujatolewa siku zote tangia lini labda??
STAR TV ni forum ya alioanzisha mama#$ako.
ni nani mwenye ukweli huo? Kama upo kwa nini haukutolewa siku zote hizi? Star tv ndiyo forum ya nani?
kama ukweli ulikwishatolewa, sasa ukweli gani mpya utakaotolewa?
Nimegundua kitu hapa kuna watu wanakuja kwenye uzii bila kuangalia kipindi then watutoe kwenye uwelewa wa oja
duuu!!! kumbe tuna mwalimu wa kiswahili humu ndaniKiswahili ni lugha yako ya Taifa, fanya kautafiti kadogo kabla hujaharibu uzalendo wako, jifunze kuandika Kiswahili sahihi.
duuu!!! kumbe tuna mwalimu wa kiswahili humu ndani
ongera lakini kwa kutufundisha lugha yetu.
ila cha humuimu ni kwamba ujumbe ufike kwa staili yoyote ndo issue hiyo
hakuna cha chochote hapokweli kabisa mkuu....wanataka kutuvuruga tu hapa ili tusifuatilie kipindi maalum cha IPTL/PAP.
duuu!!! kumbe tuna mwalimu wa kiswahili humu ndani
ongera lakini kwa kutufundisha lugha yetu.
ila cha humuimu ni kwamba ujumbe ufike kwa staili yoyote ndo issue hiyo
kweli wewe nyau mkuuhakuna cha chochote hapo