Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Hajambo udugu wangu pooh, nmitoka kuogeshwa mfedhafedha mwari wangu juma4 akiniona nimiripuka atangaze ndowa
Hahahaa aiiii mwali wanguuuu.... dawa za kambaulaya si mchezo waganga wake
utaorewa mwashabaaa.. bola na wewe ujipatie liziki yako. Mambo ni wangu wangu
Naisubiri lidhiki mama, hapa niko naludi mburahati mpera mpera kama askali wa motoni mwari wangu, poooh!
mama zaujia vipi? Rama hajambo
Hajambo udugu wangu mama zaujia na miwani yake yakimaraya pooh
mmelazimisha nicheke watu wapwani mnawasema wazaramo wa watu.
 
Hajambo udugu wangu mama zaujia na miwani yake yakimaraya pooh
nashukuru udugu wangu... tuombeane kheri. Idd yajaaa, nataka tukakimeshe maraya wote manerumango nzima. Tununue na vijora maina makali tukawakomeshe. Maraya watatutakaaaa.. maisha ndo hayahaya pooh kuchoma chapati inachosha na lizili haziereweki kuna nini hapo tena kama siyo mkosi pooh.. mambo yawe mwaya mwaya
 
liziki hazieleweki udugu wangu, pooh nimikaa nimiwaza au nmifungwa kupata liziki, au lamda nimilumwa na jini mbaya nikaona ata ngoja nikimbie kwa bibi angu kambaulaya nisije kufa sina ndowa wala liziki kama nmizaliwa na janaba lisilotakata poooh mwari wangu mie tena wangu wangu mama mpaka kwa bibi angu maraya wa TANU aminisafisha kama sahani ya peponi.. namshukulu bibi angu aministili mja wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha namkubari sana kambauraya maraya wa TANU. Yaan mshukuru sana mnyazi mungu we maraya kiporo. Sasa kama hingekua na bibi wewe si hari yako ingekua mbaya sana maraya wee? Haya na zire kuku zilizofia bandani vipi mtaji ulirudi? Na huko manerumango netiweki inavosumbua mwashabaa unaipatia wapi maraya wee? Yaan wewe wanaume wore umewamariza mjini rakini wapi. Urikuja fanikiwa kwenda kuogea hata maji bahari? Una gundu we marayaaaaaa... viringe vote umemarizaa
 
Wale kuku tumiwanyonyoa na maraya wenzangu tumiwauza tukapata nauri ya kwenda zanzibar mama, mana viringe vyote tumimaliza kuroga,hao wangu wangu mama tumiyavaa majini ya mwami aivo nimiuguza mguu uriungua donda likawa nyekenyeke , liziki sipati mwari wangu poooh maraya nilisuswa duniani mpaka akhera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa pore mwafulaaaaaaa.....
 
Ni kweli kabisaa mpenziii upo sahihii watakaopinga ndio watumiaji sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…