Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Owkay! Wakati ni huu mwanangu! Hebu tubadilike. Tanzania ni moja ila ina mchwa balaa. Badilika
akhu...
mambo ya siasa sitakagi kabisa kujiumiza kichwa.
mimi ilimradi yangu yananiendea inatosha...
wengine tulishatumbuliwa tangu 2012..

tushazoea ukata, hivo nataka nikatokomee kijijini nilime
 
.....
.....Mfalme wa Arusha Simba wa Yuda Mandela wa Tanzania Leo anaunguruma Ngarenaro shule ya msingi ....Nyomi tayari....
Acheni kumfananisha Mandela na watu wa hovyo tafadhali! Mandela spent nearly 27 years in the jail, your boy has just spent 4 months halafu mnataka nyie wazee mnataka kumvisha majina ya African legends??
 
Wewe unamsema Lema hajaleta maendeleo ktk jimbo lake je unaushahidi nini mbunge wako ktk jimbo lako amekutendea hadi sasa !!
Tumia akili yako kwa matumizi sahihi...
 
Kazi ya MBUNGE ni kuisimamia Serikali siyo kutumia rasilimali zake kuwaletea wananchi maendeleo.

BUDGET ya nchi kwa sasa miradi hupangwa kwa kufuata itikadi ya kisiasa.
Lema siyo Mbunge mbumbu.

Juhudi za Lema zina onekana wazi. Mf. Mzr ni huo mradi wa Hospitali ya akina mama kajitahidi kapata Ardhi, kaleta na mfadhili afu mjinga mmoja ana kuja kupeperusha ndege dk za mwisho..
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
hiyo ndo siri kali
 
Hizi ni fikra mbovu za CCM hujiulizi vitu anavyofanya Magufuli kushindwa kuleta elimu bure kwamba itamsababisha ashindwe uchaguzi ujao.umeng'ang'ana na Lema.
Jipange ukamshinde.
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Toa dole mdomoni hilo
60b5b475f9c9e6e5db233bd4163bfb93.jpg
 
Hao CCM waliojipanga hapo Chuga wana lipi jipya au ivi visasi?labda ikifika 2020 kama kawaida mpeni kesi ya kichwa ili uchaguzi umkute jela na kama Lema amechokwa basi tafuta neno linalozidi kuchokwa tulitumie kwa CCM.
 
Hizo nan mnazovutia chooni acheni bas au fikra zako hazijapevuka nn
 
Mwisho wa lema wataamua wana arusha... wala c wana ccm kama mtoa post unavyodai.
Angali muitikio wa watu uwanjani.
Still bado anakubalika.... man

Arusha watu wana msimamo... c watu wakupelekwa pelekwa kama wa kule kwa mkulu.
 
Boss Ryan Babel umechemsha pale uliposema na kuandika .... "Lema amesahau kuyahubiri Maendeleo .... ". Nikusahihishe Boss, Maendeleo hayahubiriwi. Maendeleo yanaonekana tu yenyewe Automatic. Maendeleo ni kama Ugonjwa. Hauwezi kuficha Ugonjwa. Mficha Ugonjwa .... Maradhi umuumbua. Ni hayo tu Boss.

Back
Top Bottom