Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Acha u ccm humu ndani kwa kumsakama Lema Jimbo hilo Kama ni ccm walilikalia Sana kipi cha ajabu kililetwa. Haya ni maisha cyo kumuombea mabaya mwezio mda wote. Kagombee wewe basi wala usisingizíe ccm. Wabunge wangapi wapo mjengoni kwa miongo Sasa hawana mapya. Unachuki binafsi na Lema
Tangu vyama vingi vianze Arusha tunatabia ya kubadilisha wabunge hatuna chama tuna watu, so even 2020 usishangae akaibuka mtu akapewa au akabaki Lema chuga ni mkoa Wa intellectuals sio cdm wala ccm
 
Back
Top Bottom