Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,668
- 99,387
Wallah weye washangaza kweli. Umeanzisha malumbano ambayo huna hoja ya kuyatetea? Lema atatoka Arachuga halafu watu wawe wakiwa? Hebu sit down there and have a coke, please! Nani amekutuma kuandika senseless idea of all time, dear you? Usibishie kiuno mkuu wangu mpendwa. You have to be reasonable and to a very point! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuwa Mtumwa wa Wema kubaya sana!
unajikuta una panic kwa manufaa ya Mbowe! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
My friend you need Jesus !!!!
alokwambia A,Be na Che nani?!!!!
Em fanya yako [emoji41] sipigizani kelele na TeamNyumbu