Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Mungu hajatwambia mwisho wa dunia naamini hata binadamu hastaili kumtabiria mwezie mabaya wakati hajui dakika ijayo itakuweje
Mleta mada kaongea kwa hisia sana, nahisi yeye ndo Mwenyekiti wa chama chakavu Arusha. Some times you have to tell yourself the truth even though you don't like it. Lema anapendwa Arusha hakunaga!
 
Mkuu siasa ni kazi na inaleta burudani kama mnafanya siasa safi na hoja zilizo shiba lakini kama siasa inafanyika kwa kuchafuana inakuwa haina maana mleta maada naona hakujua anacho sema ila anajua alicho tumwa
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija

Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa

2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
wewe mwisho wako lini? maana naamini wewe sio Mungu
 
Ni kweli kwa waelewa wataelewa na Leo ana mkutano pale ngarenaro karibu sec school,ebu nenden mkamsikilize point zake kama zinamashiko tuungane
 
1489142866408.jpg
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija

Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa

2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Unajua kinachotokea leo hii arusha?wahi ngarenaro.
 
We jamaa niaje etiii.....hivi unatujua watu Ar au unatusikiaa...endelea kuotaa tu kwanza mnavyomtesa mbunge wetu ndo mnatutia hasira kabisa chalii anguuu
Iwe mchana iwe usiku...kiangazi au masika lema atabaki mbunge wetuuu
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija

Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa

2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Labda Afe ndio utakua mwisho wake jimbo la Arusha
 
Kweli kabisa mkuu,
Ila Sio Lemma peke yake hawarudi wengi tu hata Magufuli kwa namna anavyofanya mambo harudi aise.
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija

Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, Sisiemu wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa

2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Lema ameshindwa vipi kuyahubiri maendeleo wakati Lema ndiye anayeibua maaendeleo mpaka CCM wanapora yale yanayobuniwa na kuendelezwa na Lema na kuyafanya ya kwao kama walivyo fanya kwenye hospital ya mama na Mtoto na wanavyo wafanyia madiwani wa Arusha kwa kuwa wanatokana na CHADEMA.

Hats hivyo uwa ghalagaza kuna maeneo ambayo wananchi wa huko wameamuwa kuwa ya wapinzani hata kama CCM watamsimamisha malaika na wapinzani wakamsimamisha shetani bado CCM watapigwa na malaika wao.
 
Ni kweli mkuu, binafsi nimeliona hilo Arusha wamemchoka kabisa Lema, hawana hamu naye.
 
Back
Top Bottom