Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Sio rahisi lema kuangushwa
 
Lema ni sawa na Mandela ebu angalia maelfu ya wana wa Arusha tulivyojitokeza leo kumsikiliza mh mbunge wetu kipenzi,mbunge wa maisha jijini Arushaaaaaa
cad979cc72074f9919635d8f6e6f1536.jpg
3392360e9d97b9fd387eb706736f3673.jpg
 
Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao

Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!

Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Na hapo ni baada ya kutuwacha kwa miezi 4 sawa na siku 120 na kushuhudia maccm yakijitapa na kujipa sifa za hovyo hovyo tu
 
lema hata akidhoofishwa kisiasa,ile spirit ya kihanaharakati aliyo ipandakiza kwa machalii wa a-town,itaendekea kudumu na kuambukizana vizazi kwa vizazi mpaka mabadiliko kamili yatakapo patikana.
 
Hao watu au umati alioukusanya umetoka kwenye ukoo wako? Shwain, kutwa kukalia ujinga ilhali mamako kijijini anashindia mihogo
 
Back
Top Bottom