Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

Ndio utafananisha na kongo?
Ukiona hivyo ujue kilichotokea Congo kilikuwa kikubwa kuliko America. Sometimes wazungu wana utu sana, angalia walivyochukuwa watu weusi Africa na ku retain vizazi vyao hadi sasa. Hata hao Red Indiana hawakuuwawa kikatili. Wengi wao walikufa kutokana na magonjwa yaliyoletwa na wazungu na hata sasa kizazi chao bado kipo.
 
😁😁😁
Kwa hali hii kweli bado tuna safari ndefu sana waafrika
haya kaka ahsante
 
Kongo inatakiwa kugawanywa
Halitakiwi kuwa Taifa Moja
Na hili lingefanywa kwa Nguvu
Na nchi za afrika mashariki.

Ndo hivyo, kama vita vyao Congo vingesababishwa na madini Tanzania ilitakiwa kuwa na chembechembe za vita.
 
Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan.

Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Bila madini haya kutoka Congo, makampuni makubwa zaidi ya teknolojia na magari ya umeme duniani (kama Apple, Tesla, Samsung, na Google) yatasimama kufanya kazi ndani ya masaa 24.

Lakini jiulize swali hili la msingi: Kwa nini nchi yenye utajiri wa madini yenye thamani ya zaidi ya Dola Trillion 24 chini ya ardhi, inabaki kuwa nchi yenye umaskini wa kutisha na vita visivyomalizika kwa zaidi ya miaka 30?

Vyombo vya habari vya kimataifa vitakuambia ni "chuki za makabila" au "udhaifu wa serikali." HUU NI UONGO WA KUSANIFU.

Ukweli uliojificha nyuma ya pazia ni huu hapa: AMANI NCHINI CONGO NI ADUI WA BIASHARA YA MABILIONI YA DOLA!

1. MBINU CHAFU ZINAZOTUMIKA KUIPIGISHA CONGO MAGOTI:
Amani Inaleta Kodi na Sheria: Siku Congo ikipata amani na utulivu, serikali itaweka sheria kali za kuzuia unyonyaji, kodi za haki, na usimamizi wa kimataifa kwenye migodi. Hii ina maana makampuni ya Magharibi na Mashariki yatalazimika kulipa mara 10 ya bei wanayolipa sasa hivi kupata Cobalt.

2. Kutengeneza Waasi: Ili kupata madini kwa bei ya "kutupa," makundi ya kibiashara ya kimataifa na madalali wa silaha wanagharamia zaidi ya makundi 100 ya waasi mipakani. Vita vikilipuka, wananchi wanakimbia, na madini yanavunjwa na kutoroshwa usiku wa manane kupitia njia za panya bila kodi wala ukaguzi wowote.

Watoto wadogo na kina mama wanachimba madini hayo kwa mikono wakiwa chini ya mitutu ya bunduki, wakilipwa chini ya dola 2 kwa siku moja. Madini hayo hayo yakifikishwa Ulaya, Marekani, au Asia, yanazalisha mabilioni ya dola ya faida.

Dunia nzima sasa hivi inapigia kelele teknolojia ya "Green Energy" na magari ya umeme ili kuokoa mazingira... Lakini ukweli mchungu ni kwamba, teknolojia hiyo mpya "safi" inatengenezwa kwa kutumia damu, machozi, na maisha ya mamilioni ya wananchi wa Congo waliotengwa na dunia.

Congo haikosI amani kwa sababu haina uwezo... inakosa amani kwa sababu ulimwengu unahitaji iwe kwenye ghasia ili uendelee kupata teknolojia ya bei nafuu!

Unadhani siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kupiga marufuku usafirishaji wa madini ghafi kwenda nje, ndio utakuwa mwanzo wa amani ya Congo? Au mabeberu watatafuta mbinu mpya ya kumpindua kila kiongozi atakayejaribu kuweka amani?
Kama alivyouawa Patrice Lumumba....!?
Jibu ni moja Africa hususani ngozi nyeusi akili kisoda tunabaki kulaumu wazungu tu Kila siku kwanini? Mbona Saudi Arabia mafuta yalipogundulika yalikuwa china ya wazungu na walifa transfer nzuri mpaka kumiliki wao?
 
Ndo hivyo, kama vita vyao Congo vingesababishwa na madini Tanzania ilitakiwa kuwa na chembechembe za vita.
Umelewa Lakini aina ya madini yanayopatikana congo? na kama sio madini yanayosababisha vita kinachosababisha vita ni ninii?
 
Ukiona hivyo ujue kilichotokea Congo kilikuwa kikubwa kuliko America. Sometimes wazungu wana utu sana, angalia walivyochukuwa watu weusi Africa na ku retain vizazi vyao hadi sasa. Hata hao Red Indiana hawakuuwawa kikatili. Wengi wao walikufa kutokana na magonjwa yaliyoletwa na wazungu na hata sasa kizazi chao bado kipo.
Wanapatikana wapi sasa hivi hawa red indians?
 
Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan.

Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Bila madini haya kutoka Congo, makampuni makubwa zaidi ya teknolojia na magari ya umeme duniani (kama Apple, Tesla, Samsung, na Google) yatasimama kufanya kazi ndani ya masaa 24.

Lakini jiulize swali hili la msingi: Kwa nini nchi yenye utajiri wa madini yenye thamani ya zaidi ya Dola Trillion 24 chini ya ardhi, inabaki kuwa nchi yenye umaskini wa kutisha na vita visivyomalizika kwa zaidi ya miaka 30?

Vyombo vya habari vya kimataifa vitakuambia ni "chuki za makabila" au "udhaifu wa serikali." HUU NI UONGO WA KUSANIFU.

Ukweli uliojificha nyuma ya pazia ni huu hapa: AMANI NCHINI CONGO NI ADUI WA BIASHARA YA MABILIONI YA DOLA!

1. MBINU CHAFU ZINAZOTUMIKA KUIPIGISHA CONGO MAGOTI:
Amani Inaleta Kodi na Sheria: Siku Congo ikipata amani na utulivu, serikali itaweka sheria kali za kuzuia unyonyaji, kodi za haki, na usimamizi wa kimataifa kwenye migodi. Hii ina maana makampuni ya Magharibi na Mashariki yatalazimika kulipa mara 10 ya bei wanayolipa sasa hivi kupata Cobalt.

2. Kutengeneza Waasi: Ili kupata madini kwa bei ya "kutupa," makundi ya kibiashara ya kimataifa na madalali wa silaha wanagharamia zaidi ya makundi 100 ya waasi mipakani. Vita vikilipuka, wananchi wanakimbia, na madini yanavunjwa na kutoroshwa usiku wa manane kupitia njia za panya bila kodi wala ukaguzi wowote.

Watoto wadogo na kina mama wanachimba madini hayo kwa mikono wakiwa chini ya mitutu ya bunduki, wakilipwa chini ya dola 2 kwa siku moja. Madini hayo hayo yakifikishwa Ulaya, Marekani, au Asia, yanazalisha mabilioni ya dola ya faida.

Dunia nzima sasa hivi inapigia kelele teknolojia ya "Green Energy" na magari ya umeme ili kuokoa mazingira... Lakini ukweli mchungu ni kwamba, teknolojia hiyo mpya "safi" inatengenezwa kwa kutumia damu, machozi, na maisha ya mamilioni ya wananchi wa Congo waliotengwa na dunia.

Congo haikosI amani kwa sababu haina uwezo... inakosa amani kwa sababu ulimwengu unahitaji iwe kwenye ghasia ili uendelee kupata teknolojia ya bei nafuu!

Unadhani siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kupiga marufuku usafirishaji wa madini ghafi kwenda nje, ndio utakuwa mwanzo wa amani ya Congo? Au mabeberu watatafuta mbinu mpya ya kumpindua kila kiongozi atakayejaribu kuweka amani?
Kama alivyouawa Patrice Lumumba....!?
Tanzania yetu ina kila kitu mengine yamefichwa but for sure hakuna kilichopo DRC ambacho hakipo Tanzania!
bless on
1000014186.png
1000014187.png
 
Tanzania yetu ina kila kitu mengine yamefichwa but for sure hakuna kilichopo DRC ambacho hakipo Tanzania!View attachment 3668478
1000014187-png.3668482
 
Kuna makala nilisoma ya mtto wa Gaddaf akieleza kwamba jinsi gani waasi wanafadhiliwa kwa kupewa kila kitu kama silaha , jamaa anasema Africa ukitoa baadhi ya mtaifa kama south africa , hakuna sehemu wanazalisha silaha wanazotumia waasi ila vinakuwa imported mpaka magari wanayotuma ni latest model .

Wanavitao wapi na hawafanyi kazi zaidi ya kuharibu amani.
 
Kongo inatakiwa kugawanywa
Halitakiwi kuwa Taifa Moja
Na hili lingefanywa kwa Nguvu
Na nchi za afrika mashariki.
Uwagawe kisa nini mzee
Sudan kulikua na kasumba kama hio unayoisema
Baada ya kugawanywa Sudan ndio zimetulia???
Zote wanachapana kwa nyakati tofauti tofauti
Bila ya wazungu pengine hii dunia ingekua mahala salama zaidi ya sana yaaani
 
Ukiona hivyo ujue kilichotokea Congo kilikuwa kikubwa kuliko America. Sometimes wazungu wana utu sana, angalia walivyochukuwa watu weusi Africa na ku retain vizazi vyao hadi sasa. Hata hao Red Indiana hawakuuwawa kikatili. Wengi wao walikufa kutokana na magonjwa yaliyoletwa na wazungu na hata sasa kizazi chao bado kipo.
Sikubaliani na wewe unaposema wazungu ni watu wazungu sio watu ni binadamu.
 
Uwagawe kisa nini mzee
Sudan kulikua na kasumba kama hio unayoisema
Baada ya kugawanywa Sudan ndio zimetulia???
Zote wanachapana kwa nyakati tofauti tofauti
Bila ya wazungu pengine hii dunia ingekua mahala salama zaidi ya sana yaaani
Tuanze na kesi ya Sudan
Inatakiwa Blue Nile state iwe nchi
Inatakiwa Darful iwe nchi.
Hii itapunguza vita za kuimpose Islamic culture na religion.

Kongo imara ni tishio
Kwa nchi za afrika mashariki
Inatakiwa ivunjike kwenye nchi Tano au zaidi.
Hii ni kwa maslahi mapana ya afrika mashariki
 
Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan.

Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Bila madini haya kutoka Congo, makampuni makubwa zaidi ya teknolojia na magari ya umeme duniani (kama Apple, Tesla, Samsung, na Google) yatasimama kufanya kazi ndani ya masaa 24.

Lakini jiulize swali hili la msingi: Kwa nini nchi yenye utajiri wa madini yenye thamani ya zaidi ya Dola Trillion 24 chini ya ardhi, inabaki kuwa nchi yenye umaskini wa kutisha na vita visivyomalizika kwa zaidi ya miaka 30?

Vyombo vya habari vya kimataifa vitakuambia ni "chuki za makabila" au "udhaifu wa serikali." HUU NI UONGO WA KUSANIFU.

Ukweli uliojificha nyuma ya pazia ni huu hapa: AMANI NCHINI CONGO NI ADUI WA BIASHARA YA MABILIONI YA DOLA!

1. MBINU CHAFU ZINAZOTUMIKA KUIPIGISHA CONGO MAGOTI:
Amani Inaleta Kodi na Sheria: Siku Congo ikipata amani na utulivu, serikali itaweka sheria kali za kuzuia unyonyaji, kodi za haki, na usimamizi wa kimataifa kwenye migodi. Hii ina maana makampuni ya Magharibi na Mashariki yatalazimika kulipa mara 10 ya bei wanayolipa sasa hivi kupata Cobalt.

2. Kutengeneza Waasi: Ili kupata madini kwa bei ya "kutupa," makundi ya kibiashara ya kimataifa na madalali wa silaha wanagharamia zaidi ya makundi 100 ya waasi mipakani. Vita vikilipuka, wananchi wanakimbia, na madini yanavunjwa na kutoroshwa usiku wa manane kupitia njia za panya bila kodi wala ukaguzi wowote.

Watoto wadogo na kina mama wanachimba madini hayo kwa mikono wakiwa chini ya mitutu ya bunduki, wakilipwa chini ya dola 2 kwa siku moja. Madini hayo hayo yakifikishwa Ulaya, Marekani, au Asia, yanazalisha mabilioni ya dola ya faida.

Dunia nzima sasa hivi inapigia kelele teknolojia ya "Green Energy" na magari ya umeme ili kuokoa mazingira... Lakini ukweli mchungu ni kwamba, teknolojia hiyo mpya "safi" inatengenezwa kwa kutumia damu, machozi, na maisha ya mamilioni ya wananchi wa Congo waliotengwa na dunia.

Congo haikosI amani kwa sababu haina uwezo... inakosa amani kwa sababu ulimwengu unahitaji iwe kwenye ghasia ili uendelee kupata teknolojia ya bei nafuu!

Unadhani siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kupiga marufuku usafirishaji wa madini ghafi kwenda nje, ndio utakuwa mwanzo wa amani ya Congo? Au mabeberu watatafuta mbinu mpya ya kumpindua kila kiongozi atakayejaribu kuweka amani?
Kama alivyouawa Patrice Lumumba....!?
Nakubaliana na hoja yako ila ni kweli matatizo ya kukosekana amani huko Drc (hasa maeneo ya Kivu) ni mabeberu pekee na makampuni yao ndio wakulaumiwa?..

zitto junior Tresor Mandala JokaKuu
 
Back
Top Bottom