Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

Africa kusini wazungu hawaindami sababu kuna wenzao pale
Kuna sehemu mpaka leo hii 2026 sijaona ila nasikia waafrika weusi hawaruhusiwi kufika
Yaani Africa kusini ni yawazungu basi tuuuu
Kwanza kuna uzio mkubwa mno.
wao wazungu wamejikatia upande wa beach
 
Umeanzia mbali, sema tu wazi unawapenda kutokana na imani yako

Na kama ulivyoelezwa hapo juu, unyama waliofanya wazungu afrika, mwarabu akasome
Nasubiri ubishe , nianze kushusha evidence
Sina Imani yenye uhusiyano na mzungu. Waarabu makatili sana.
 
Mtu mweusi atashika bunduki ataua Mweusi mwenzake lawama watapewa Wazungu.

Mwarabu na Mtu mweusi akili zao zimefanana isipokuwa Mwarabu ni Mzalendo na yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake.
 
Back
Top Bottom