Ukweli mchungu kuhusu Magari used

Ukweli mchungu kuhusu Magari used

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,727
Reaction score
19,465
Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo.
Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa.

Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena.
Kila akikuona nalo barabarani, anajisemea:

“Hii ngoma nimesukuma zaidi ya km 200,000 kwa miaka niliyokaa nalo si mchezo.”

Atawaambia marafiki zake, majirani, na hata waliomshuhudia akilikabidhi kwa mwingine.
Na wengine walilitumia tu hadi likaisha radha, ulivyo bumunda ukanunua hivyo hivyo😀😀.

Na mbaya zaidi?

Mmiliki wa zamani bado ana spare key – anaweza kulifikia hilo gari lako muda wowote na akaliendesha so sad.

Mwandishi hauwawi kazi yangu ni kuwaandikia wamiliki wa magari used, kila la kheri kwenu wamiliki wa magari used.

kama unaplan kumiliki gari jitahid usiwe dereva wa gari lililopitia mikononi mwa kila mtu
Kama una nafasi – chukua jipya, uanze mwenyewe, na ulipe direction unayotaka.
 
Ni gari kweli au una lako Jambo??
 
Hata hayo unayoona mapya ni ma used ya wajapan huko
hapana mkuu unaweza ukaagiza 0km kabisa na ukawa wa kwanza kabisa kutia ufunguo wako na ukaanza kuendesha hio gari wewe
 
Mzee kwani nawe si unakuwa ushaendesha gari nyingine,
Ununue gari mpya nawe uwe ndio dereva mpya.
We dereva ushaendesha mitandam huko, gari breki unauma meno, clutch unakanyaga mpaka mwisho kisha Leo unataka mpya, si utapasua CLUTCH.

Na wewe ushauza gari, bado unaitamani huo ni unywanywa, uliiuzia nini?

Masuala ya mabikra tunawaachia nyie,
Sisi tunataka mijitu konkodi, mguu wa mtoto wanaupaka asali, mara kalamba NYANYA MSHENZI
😂
 
Back
Top Bottom