Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

Kwamba kuna wanaume nao wanachezea wanawake?

Na kwanini ulichukulia kama medium of expression?

Anyways nimekupata kuna time inapaswa ujifunze kupitia maumivu
mkuu wanawake wanaojali sana pesa kuliko upendo wa kweli siyo wife material, wala girlfriend material hao mara nyingi ni malaya, wanauza miili yao ili wapate pesa, ila mwanamke anaetambua umuhimu wa mahusiano ya kweli hawezi kukuacha kisa haumpi pesa nyingi.
 
mkuu wanawake wanaojali sana pesa kuliko upendo wa kweli siyo wife material, wala girlfriend material hao mara nyingi ni malaya, wanauza miili yao ili wapate pesa, ila mwanamke anaetambua umuhimu wa mahusiano ya kweli hawezi kukuacha kisa haumpi pesa nyingi.
Nao ni wa kuhesabu mkuu, sio kwa kizazi hiki cha instant gratification
 
Mwanaume wa kweli hapambani kwa ajili ya mwanamke, anapambana kuwa yule mtu anayetaka kuwa.

Mwanamke anaweza tu kukumotivate, lakini ukisema upambane kwasababu yake lengo lako kuu si litakiwa ni mwanamke sasa na siyo future you.
 
Bado nimempa pesa nyingi kumbe nampa na yeye anampa anayempenda
Unaweza kufanywa ATM mapenzi ni mchezo wa ujinga ujinga ushauri tu tafuta yule mnayeendana matajiri kwa matajiri
kapuku kwa kapuku
over ninastress na weeked yang
 
Bado nimempa pesa nyingi kumbe nampa na yeye anampa anayempenda
Unaweza kufanywa ATM mapenzi ni mchezo wa ujinga ujinga ushauri tu tafuta yule mnayeendana matajiri kwa matajiri
kapuku kwa kapuku
over ninastress na weeked yang
Sahihi kwa mtazamo wako
 
Labda niwape code tu ndugu zangu mnaoteswa na wanawake.

Issue inayo kufanya mpaka leo mwanamke akutumie na kuku dharau ni kwasababu wewe ni kapuku,period.

Toka nianze ku advance kifedha nimekuja kuona siri nzito ya kisaikolojia iliyopo nyuma ya wanaoumizwa na mapenzi.

Issue ni kuwa huna maokoto ya wewe kuwa versatile, yaani unategemea mwanamke wako pekee, what do I mean?

Kijana mpambanaji, anatafuta kwa jasho ili aweke familia yake au mahusiano yake stable, let alone survival.

Ila baadae anakuja kugundua ukweli Mchungu kuwa mwanamke anawigo Mpana wa machaguzi, akiona unacho mpea hakimtoshi anauwezo wa kutafuta mwanaume mwingine kujiegesha akiwa anajua fika kuwa, value yako kwake ni hamna kabisa.

That's a paniful truth ambayo watu huikwepa ila kwa sababu ya maisha ya kileo hauwezi kwepa hiyo fact, with life being expensive.. Lazima uchapiwe tu ndugu....

One fact ni kuwa, mwanaume mpambanaji na mwenye kipato cha chini hutegemea mpenziye ndo awe driving force kumpa moyo ili aweze kufanikisha hata zaidi katika mihangaiko yake.

Ila ubaya wa hawa wadada wasio na malezi ndo hivyo wanakutumia na kikunyonya kile kidogo ulicho nacho maana unakuwa vulnerable kwao, you depend on her to be a comfort in your struggle.

My friend, achana na pussy, jipate uone jinsi pussy hazina maana kabisa. Ni vyombo vya starehe kwa wenye nazo.

Mtu mwenye mawe huwezi kuta anahangaika because all Power iko mkononi mwake, pisi zinajilengesha kwake na ile kuzitafuna unagundua hakuna jipya kabisa. Unakuja kuona kumbe mapenzi na kulia lia ni vya watu maskini tu. Watu masikini hawana option,. Mwanamke asiye na foundation hugeuka kuwa kama bidhaa. Na huyo mwanamke uliye fikiri ana uspesho kipindi filulani ukisha jipata unaona ulikuwa unafuga parasite, na uka disguise wa kufa na kupona.

So my friend amka, Achana na wanawake kama unajua hakuna reciprocity kwenye relationship jichenge na ujenge maisha kwanza. Vitobo na mawezele yapo ya kutosha sana ukiwa nazo.

Happy weekend.
Uwe na pesa usiwe na pesa mwanamke anasababu lukuki tu za kuchiti huoni matajiri hawana wake wewe

Usiwe mfinyu sana ktk kuwaza

Licha general wanasingizia pesa 🤣 🤣

Lkn wanawake wengi leo wanachepuka na wanawapa pesa wale wanaochiti nao kutoka kwa waume zao

Hii utaiitaje

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uwe na pesa usiwe na pesa mwanamke anasababu lukuki tu za kuchiti huoni matajiri hawana wake wewe

Usiwe mfinyu sana ktk kuwaza

Licha general wanasingizia pesa 🤣 🤣

Lkn wanawake wengi leo wanachepuka na wanawapa pesa wale wanaochiti nao kutoka kwa waume zao

Hii utaiitaje

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu nimesema ukichitiwa na una hela hauta poteza muda kuumia na huyo mwanamke unaweza kumtupa kama trash maana hana hadhi tena
 
Back
Top Bottom