Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Kama kusoma hujui basi tazama hata picha na utapata jibu.....

Acheni propaganda huyo jamaa hana uhusiano wowote na issue zozote zinazohusiana na Mambo ya Ikulu wala kujiuzulu kwa Prof lipumba. CDM jikwamueni toka kwenye makucha ya fisadi Lowassa badala ya kutokwa na mapovu hapa jf.
 
Acheni propaganda huyo jamaa hana uhusiano wowote na issue zozote zinazohusiana na Mambo ya Ikulu wala kujiuzulu kwa Prof lipumba. CDM jikwamueni toka kwenye makucha ya fisadi Lowassa badala ya kutokwa na mapovu hapa jf.

Mbona unalialia........kwan umejipangaje😀😀😀
 
Duh,ndo mmeona ni njia ya kuwapooza wafuasi wa Ukawa kwa kutengeneza picha? Kweli mmeishiwa propaganda,hadi huruma!


Kama picha zimetengenezwa iweje picha ya kwanza ina week 9 insta na nyingine week 31 hivi walijua yatatokea wakatengeneza mapema nn
 
Mmmh! Nafikiri Watanzania tuko vizur saana kwenye uchunguzi wa mambo. Tumebakiza swala moja tu la kuchukua hatua mahsusi baada ya kujiridhisha na uchunguzi wetu.
 
usimwamini mwanadamu hata siku moja, usimpe mwanadamu mwenzio kila ufunguo wa maisha yako, atakuja kukuacha solemba. sasa huyo nasikia kakimbia na sera ya uchumi ya ukawa ilikuwa kwenye laptop yake na ameondoka ghafla hivyo ili ukawa kesho wahangaike kutangaza rais bila sera za uchumi, ameondoka na siri na vitu vingi vya muhimu vya ukawa. ni msaliti wa ajabu sana. na serikali ya ukawa ikiingia madarakani itabidi atafute nchi ya kwenda.

Huyo ndo Lipumba. Lakini Maalim Seif Sharrif aliwatahadhalisha mapema sana wenyeviti wenza wa UKAWA kwamba wawewaangalifu na Lipumba na wasimwamini. Lipumba alikuwa anafuatiliwa nyendo zake bila kujua intelegensia ya Chadema ipoje. Kumbuka kuna mtu alipost humu jamvini kuhusu mikutano ya Lipumba ofisini Lumumba lakini hiyo post ilifutwa haraka.

Kapiga pesa ndefu sana na bahati nzuri hana haya.
 
kama lipumba kapiga pesa na kuondoka zake ni afadhali yake kuliko mbowe aliyeamua kumuuzia chama fisadi lowasa
 
Kumbe Lipumba alipata mpunga wake Faster kutoka Ikulu kisha akaambiwa potea haraka sana Bongo ili UKAWA ivunjike, katua Rwanda sasa anakula bata huku akifuatilia siasa za Tanzania kwenye Mitandao, Luninga na Redioni.
 
Mkuu heshima yako

samahani huyu jamaa anayeonekana kukaa na prof ni nani?? Maana katika picha ya pili anaonekana yuko na kikwete??

Kweli pesa sabuni ya roho
Kama mbowe alivyochukua b10 kutoka kwa mafisadi
 
Huyu kijana yupo karibu na familia ya JK na ameonekana Kigali Sheratoni Hotel akila bata na Lipumba nini maoni yaki
 

Attachments

  • 1439183351963.jpg
    1439183351963.jpg
    33.5 KB · Views: 758
  • 1439183367919.jpg
    1439183367919.jpg
    43.8 KB · Views: 698
  • 1439183388056.jpg
    1439183388056.jpg
    38.3 KB · Views: 688
Back
Top Bottom