Kama kusoma hujui basi tazama hata picha na utapata jibu.....
hapana..alikua anamaanisha ile shs bil 10 aliyohongwa mbowe ili auze cdm. cdm sasa ina new master wewe kaaga kalakabao. i pitty you with your enthuasiasm in ukawa.Mnafiki, shetwani, Hivi ukawa wakichukuwa nchi lipumba atakimbilia wapi? alifikiri ndio ameua ukawa kumbe amejiua yeye mwenyewe na ccm yake. Alipokuwa anasema nafsi yake inamsuta alikuwa anaaminisha mshiko aliouchukuwa kutoka kwa genge la wahuni wa lumumba
KIGALI😱😱😱 Kigari ndio nini, mnachosha na nyie
huyo jamaa aliyetokea kwenye picha zote anaitwa Mohamed Kamonja,
Bila shaka ndiye huyu pia
wa kwanza kutoka kulia
View attachment 274753
View attachment 274754
JOB TRUE TRUE... WAKINA YUDA WATAKUWEPO MPAKA MWISHO WA DUNIA UTAKAPOTIMIA.
hizo picha za kutengeneza tu cdm hawajambo kwa propaganda ila chama wameuza
Wanajamvi salaamu!
Lipumba mkwala wote kwa Serikali kumbe alikuwa anazuga ndiyo maaana CUF ina wabunge wawili tu bara.
MTU mzima kaumbuka vibaya, live bila chenge anajifanya ustadhi kumbe anakamata pombe kama kawaida na usaliti kwa UKAWA!
JK katoka wapi hapo? Please Tuendeleze Mapambano.Tusitoke nje ya mstari.
Hiyo picha ya pili kati ya hao wawili huyo mmoja si JK?