RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,435
- 2,009
Kiukweli, Prof amefanya wrong move this time. Ni bora asingesema kitu.
Bado una connect dots ndugu yangu? inasemekana mambo ni NMB tawi la Tegeta jengo Kibo Complex
KAMQUOTE...kaandika Rahid Jk..ma yeye jina lake lipo hapo ngoja nika m googleHuyo ni Riziwan
we nawe,unataka kufanya watu maboya..kwani unashindwa kuelewa wanachosema watu au na wewe ndo walewale wa kitengo ndanio ya ukawa?JK katoka wapi hapo? Please Tuendeleze Mapambano.Tusitoke nje ya mstari.
swali ni kwamba yuko kigali na lipumba kama nani?kwa nini?huyo kijana pembeni ya lipumba anaitwa mohamedi kamonja, namjua ananijua nimesoma nae ni mtanzania mtafuteni insta kwa jina hilo mtampata, ni kinega wa rizmoko!
we nawe,unataka kufanya watu maboya..kwani unashindwa kuelewa wanachosema watu au na wewe ndo walewale wa kitengo ndanio ya ukawa?
KIGALI😱😱😱 Kigari ndio nini, mnachosha na nyie
hyo kijana ni beneficiary wa system sasa sijui kama na yeye aliingiaga huko
Kama kusoma hujui basi tazama hata picha na utapata jibu.....
Hahah huyo dogo ni wa pale magogoni loh inchI yangu tanzania.
Kama kusoma hujui basi tazama hata picha na utapata jibu.....