Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

tumuache prof..na maisha yake..tuendelee na kuimarisha ukawa nafikiri haita poteza dira..kwani mwenyekiti ajala zile 10b..?
 
Ukawa ni mpango wa Mungu na Mungu ana namna nyingi za kumfunua adui yako. Hongera sana Jk kwa kutuondolea tatizo ndani ya Ukawa.
 
nifafanulie picha basi mkuu

1. Huyo anaekula bata na profesa anaitwa mohamed kamonja
2. Huyo aliepo na JK anaitwa mohamed kamonja
3. Huyo aliepo na Riz1 pamoja na mdogo wake riz1 anaitwa mohamed kamonja

Hivyo, profesa = mohamed kamonja = JK = Riz1

Hope umeelewa sasa!
 
Huyo dogo ni wa ikulu na ndio deal maker wa lipumba kukubali mzigo uingie kwenye akaunti na kusepa
Kwa hiyo ccm wameamua kuwekeza kwenye kununua watu badala ya kuwekeza kwenye huduma za jamii.yaani akili Yao inawaambia pesa inaweza ikaendelea kuwaweka madarakani?
 
Mbona lipumba haonekani, acha uongo ww, hata lipumba atoke bado tutaingia magogoni tu, kwanza siv tushaandika kwamba tumepoteza
 
Sasa naamini nani mhusika wa kupiga Pesa za Richmond,Escrow
 
Hebu tumjue huyu kijaaa naanza kuamini kweli kuna muamara wa tegeta pale kibo
 

Attachments

  • 1439188342964.jpg
    1439188342964.jpg
    27.4 KB · Views: 537
Jana kuna picha aliopigwa Lipumba akiwa Kigali na mtu ambaye kwanza ckumfahamu ila Leo katika pitapita zangu nimekutana na hii
 

Attachments

  • IMG-20150810-WA0000.jpg
    IMG-20150810-WA0000.jpg
    28.4 KB · Views: 753
Endelea kuunganisha hizo dots zikikamilika tupe habari kamili.
 
Lipumba Pumba Kabisa Yaani Tunampuuza Ila Ajue Huku Ukawa Mambo Bado Mazuri Hajaharibu Kitu
 
Lipumba Pumba Kabisa Yaani Tunampuuza Ila Ajue Huku Ukawa Mambo Bado Mazuri Hajaharibu Kitu
Nasikitika kuona mnaopiga kelele si wafuasi wa Lipumba bali ni misukule ya Kinondoni plus nyumbu wa Lowasa
 
Duh, Lipumba ni Yuda kwelikweli, vipande hamsini vya Kaisali vimetosha kuichoma UKAWA na CUF
 
Huyo ni mtoto wa mama saidi wa zanzibar mwenezi wa cuf kisiwani.
 
Back
Top Bottom