Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

Ukweli Kuhusu Prof. Lipumba huu hapa

Lizaboni kweli wewe mwana ccm na kama huna mrija wa hela huko ssiem basi una roho ngumu kuitetea ccm
Kwa hapa jf umebaki wewe na kizee Faiza foxy
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika kuona mnaopiga kelele si wafuasi wa Lipumba bali ni misukule ya Kinondoni plus nyumbu wa Lowasa
Chanzo chako cha habari za ukawa ndio hicho kimeondoka pole sana sasa habari za ukawa utazisikia jf
 
tumuache prof..na maisha yake..tuendelee na kuimarisha ukawa nafikiri haita poteza dira..kwani mwenyekiti ajala zile 10b..?

Hatuwezi kumuacha Prof mzima amesoma kwa kodi za watanzania masikini, lakini bado anahogwa kodi za watanzania masikini. Anavyosema uchumi haukui, utakuwaje na wakati kodi zetu anahogwa yeye. Tutapata wapi madawa. Prof. Lipumba ni bomu kabisa.
 
Sasa nimejua kwa nini Rwanda inakuwa kiuchumi
Waswahili walisema we Ukiona Wa nini sie tunawaza tutampata lini
Big up Rwanda kwa kukitumia vzr kichwa hucho cha Kinyamwezi
Acha wenye Siasa zao za Maji taka waendelee Kununua Madodoki
 
Mkuu heshima yako

samahani huyu jamaa anayeonekana kukaa na prof ni nani?? Maana katika picha ya pili anaonekana yuko na kikwete??

Kweli pesa sabuni ya roho

Anaitwa mshabiki wa siasa za tanzania yupo ofisi za cuf buguruni.
 
Sasa nimejua kwa nini Rwanda inakuwa kiuchumi
Waswahili walisema we Ukiona Wa nini sie tunawaza tutampata lini
Big up Rwanda kwa kukitumia vzr kichwa hucho cha Kinyamwezi
Acha wenye Siasa zao za Maji taka waendelee Kununua Madodoki

Rwanda amekwenda Hotelini kupumzika baada ya kupiga mpunga. Unafiki Rwanda inaendeshwa kwa matukio. Yani umeukosa Urais, umenunuliwa kesho ukimbilie nchi za watu eti kutoa ushauri wa kiuchumi
 
Sasa nimejua kwa nini Rwanda inakuwa kiuchumi
Waswahili walisema we Ukiona Wa nini sie tunawaza tutampata lini
Big up Rwanda kwa kukitumia vzr kichwa hucho cha Kinyamwezi
Acha wenye Siasa zao za Maji taka waendelee Kununua Madodoki

tatizo la wabongo ni ukihele hele uliozidi mipaka,
 
cf6469cf7e0a8177fce87766c61ef821.jpeg images 0.jpg
 
Back
Top Bottom