FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Hatari sana ila ukweli utajulikana October.
Ana bil zake 3 kwenye acc ana shida gani
I'm still connecting dots.
Lipumba amerubuniwa na watu wenye elimu ya kawaida tu...Lipumba sasa hivi kichwani ni mtupu, akili yake imerudi kuwa kama ya mwanafunzi wa shule ya msingi...Lipumba Pumba Kabisa. .
Wanachosha haswaa...na huyo mwenzie aliyeshindwa kutoa label kwenye koti la suti.