Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Huyu pimbi ndiye aliyekuwa anatukana serikari !kwamba, haina hata ndege mojaJe, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Unapo angalia mapato ya ndege pekee nijisi gani anavyozihirisha hata risasi zilizo mkoswa koswa kumuua yawezekana zimemuasiri Afya ya hakiri anahitaji vipimo.
Kama cyo basi apimwe korona!!
Maana kama ATCL imeingiza 30Bilions basi angejiuliza watarii wangapi hizo ndege zimeleta na wameingiza pesa kiasi gani za kigeni kupitia utarii.
Lakini pia makampuni ya watarii na vijana wetu wameingiza pesa kiasi gani! Tumeuza bidhaa za shilingi ngapi kwa watarii waliokuja na ndege hizo.
Nikuombe tundu lisu! Km hujapima hakiri basi kapime! Maana kila cku unakuja na hoja za ajabu ajabu kiasi kwamba tunahisi huko mbereni utaheuka.