Sina haja ya kubishana na wewe kwani Audited Accounts ndio zitaumbua ufisadi na upumbavu wenu!!Nenda Airport kajithibitishie ndio uje hapa. Hizi issue huwezi kuandika ukiwa umejibanza Kyela huko.
Sina haja ya kubishana na wewe kwani Audited Accounts ndio zitaumbua ufisadi na upumbavu wenu!!Nenda Airport kajithibitishie ndio uje hapa. Hizi issue huwezi kuandika ukiwa umejibanza Kyela huko.
Kwani lazima kuiga hata visivyofaa kwakuwa nchi zote za uchumi wa kati zina mashirika ya ndenge,Hiyo akili pumba?Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Zinaweza kuwa hazipo airport na zimeruka na abiria wachache hivyo mapato yakawa chini ya gharama za Safari!! Unanielewa lakini?Nenda Airport kajithibitishie ndio uje hapa. Hizi issue huwezi kuandika ukiwa umejibanza Kyela huko.
Kufahamu kwamba mtu Hana akili haiitaji maarifa mengi kugundua, angalia tu jinsi anavyotoa mawazo yake basi unagundua mapema kabisaKwani lazima kuiga hata visivyofaa kwakuwa nchi zote za uchumi wa kati zina mashirika ya ndenge,Hiyo akili pumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia lile kabrasha la mapato na matumizi ya ATCL, jamaa analichunga kama mboni ya jicho lake. Eti hataki watu wajue hali ya shirika kibiashara
Nenda Airport kajithibitishie ndio uje hapa. Hizi issue huwezi kuandika ukiwa umejibanza Kyela huko.
Mimi ninaandika kwa kuthibitisha kwa macho sio kufuata mkumbo.Zinaweza kuwa hazipo airport na zimeruka na abiria wachache hivyo mapato yakawa chini ya gharama za Safari!! Unanielewa lakini?
Kyela imewakilisha tu, ebu jiongeze kidogo.Mtakuja umiza watu bure kumbe hawahusiki; huyo unaemsema wa Kyela ni wako mimi niko Mwandiga.
Upumbavu ni huu ulevi wa siasa unaowakabili vijana wengi wa taifa hili na ujuaji wa kila fani.Sina haja ya kubishana na wewe kwani Audited Accounts ndio zitaumbua ufisadi na upumbavu wenu!!
Sawa unathibitisha kwa macho. Wacha hizo ndege nyingine, unaweza kutuambia DREAMLINER kokote kama ilikwenda ilikuwa na ujazo wa abiria wangapi?Mimi ninaandika kwa kuthibitisha kwa macho sio kufuata mkumbo.
Kwanini unachagua lipi niache..Unataka nini kifichike?! Kuwa Q400 zinajaa! Dreamliner zilikuwa zinaenda Mumbai na zinajaa..Effects za pandemic Corona ni global. Acha siasa nyingi.Sawa unathibitisha kwa macho. Wacha hizo ndege nyingine, unaweza kutuambia DREAMLINER kokote kama ilikwenda ilikuwa na ujazo wa abiria wangapi?
Kumbe unajua kuwa adverse effects za pandemic ni global Sasa unabisha nini tunavyo Shauri kuwa hizo order za ndege nyingine zi we cancelled ili kunusuru nchi yetu?Kwanini unachagua lipi niache..Unataka nini kifichike?! Kuwa Q400 zinajaa! Dreamliner zilikuwa zinaenda Mumbai na zinajaa..Effects za pandemic Corona ni global. Acha siasa nyingi.
Wakati mwingine unaweza kuwa unabishana na hawa vijana wa kiume wanaovaa jeans za kubana na kusuka mitindo ya nywele ya ajabu.Kwanini unachagua lipi niache..Unataka nini kifichike?! Kuwa Q400 zinajaa! Dreamliner zilikuwa zinaenda Mumbai na zinajaa..Effects za pandemic Corona ni global. Acha siasa nyingi.
Ugonjwa ukiondoka maisha yataendelea kama kawaida. Hao wenye mashirika makubwa ya ndege na wao wataziingiza angani.Kumbe unajua kuwa adverse effects za pandemic ni global Sasa unabisha nini tunavyo Shauri kuwa hizo order za ndege nyingine zi we cancelled ili kunusuru nchi yetu?
Hata kama adverse effects za covid-19 ni global, the impact of the adverse conditions is different depending on each country’s economic strength.
Tumia akili Mungu aliyokupa na usiishi kwa matumaini eti covid -19 ni ya kupita!! Wewe na wakina Chakubanga mnaweka maisha ya waTanzania rehani kwa kuona fedha za watalii ni bora kuliko maisha ya watu! Mtalaaniwa hata hizo fedha zisije kwani serikali zao hazitawaruhusu watu wake waje kwenye nchi iliyozagaa corona virus!!Ugonjwa ukiondoka maisha yataendelea kama kawaida. Hao wenye mashirika makubwa ya ndege na wao wataziingiza angani.
Corona sio mwisho wa maisha ya mwanadamu, ni changamoto tu za muda. Shirika la ndege lipo katika mikono salama sana, wanaoliendesha ni wazoefu, ondoa shaka.
Kwahiyo hizi ndege ni kwa ajili ya kutoa huduma???? We ndo pimbi kweli.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Mkuu Ndinani acha kuwa mwoga, chloroquine inatiba corona, na virusi huyo hana uwezo wa kuishi mahali penye joto lenye kuzidi 25, kuanzia June mpaka August sehemu ya juu ya dunia itakuwa na joto kali, huyu virus atapotea jumla. Anatamba muda huu kwa sababu sehemu nyingi za dunia joto lipo chini.Tumia akili Mungu aliyokupa na usiishi kwa matumaini eti covid -19 ni ya kupita!! Wewe na wakina Chakubanga mnaweka maisha ya waTanzania rehani kwa kuona fedha za watalii ni bora kuliko maisha ya watu! Mtalaaniwa hata hizo fedha zisije kwani serikali zao hazitawaruhusu watu wake waje kwenye nchi iliyozagaa corona virus!!
Ushauri ni bure, we shauri tu. Sio lazima ufuatwe. Kila ushauri ukifuatwa mwisho mtashauri hata barabara zisijengwe kwasababu kuna Corona. Corona will eventually pass, hio ni fact hata kama mimi na wewe ikituondoa.Kumbe unajua kuwa adverse effects za pandemic ni global Sasa unabisha nini tunavyo Shauri kuwa hizo order za ndege nyingine zi we cancelled ili kunusuru nchi yetu?
Hata kama adverse effects za covid-19 ni global, the impact of the adverse conditions is different depending on each country’s economic strength.
Nawe unarukia mjadala usiokuhusu, yswezekana nawe ni robot la Lumumba pia?Kama wivu unaouona unatokana na comment yake hiyo, basi kweli unamatatizo,tena sio kidogo, unahitaji kusaidiwa