Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Cha kushangaza hata nauli ya ndege hawanaKwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
Endelea kuwa na mawazo ya fisi ukisubiri mkono uanguke.Kwasababu hao wengi hawaelewi athari za kuwekeza katika miradi isiyo kuwa na tija!! JIWE anaogopa hata kuonesha audited accounts za ATCL kwa vile kununua ndege kwa mtindo wake ni uwekezaji wa kichefuchefu!!! Muda si mrefu wataanza kuficha sura zao pale gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato!!! Kwanini hamuangalii performance ya mashirika mengine ya ndege kabla ya kujitumbukiza kununua aina hizi za ndege kwa pupa? Kitu gani kinawashinikiza mfanye maamuzi ya aina hii?Shirika kuendesha Dreamliner sio mchezo!!!
Sidhani hata hiyo strategic plan ya ATCL kama inashauri ndege zinunuliwe kiholela bila kuwa na uwiano na performance ya hizo zilizotangulia kununuliwa!!! Kama busara na weledi na sio pupa kutumika, tungeona shirika la ndege likianza safari za kimataifa baada ya kujihakikishia kulitawala solo la abiria la ndani.
Muafrika siku zote anachojua ni kukosoa tu. Ukimwambia aje na wazo mbadala ni vichekesho vitupu utakavyovisikia.Cha kujiuliza n kua mlikua wap kuandka nyuzi za kuonya serikal kampuni ya ndege lilivokua linafirisika siku had siku had kufaaa kabisa?
Mlikua wap wakati viwanda vinakufa kimoja baada ya kingine?
Mlikua wap wakat kampuni ya tren inakufa??
Leo mnaona kiongozi anafufua sector moja moja mnaanza kubwabwaja?? Mwenye akili atakua anaelewa hapa
Hilo bunge halikuwepo tangu JKN had viwanda vikaanza kufa, shirika la ndege la umma linakufa na reli zinabaki historia... Lilifanya nn??
Leo unakuja kuongelea viwanda vya bakhresa unafikir vilikua vinajiendesha?!
Kama hivi vya pamba yamebaki magofu tu ivo kama vya bakhresa je??
Kwani Tanzania ipo uchumi wa kati?Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Endelea kuwa na mawazo ya fisi ukisubiri mkono uanguke.
Leta mahesabu bana. Kushusha watu haimaanishi mnapata faida. By the way, kwa nini hamtaki CAG akague mahesabu ya ATCL?Hapa ndipo mnapodhihira kuwa wapinzani hamna akili sawa sawa... Mkuu umeshawahi kwenda AirPort ukaona lile Dreamliner linavyoshusha watu? Kwani lazima kila kitu mpinge?
Watu wamepanda burr kwahyo🤣🤣🤣🤣... Na wewe lete ushahidi kuwa hawataki CAG akague, na tafadhali usilete screenshots za tweets za kina sarungi na zitto maana ndio madereva wenu 😂😂😂😂Leta mahesabu bana. Kushusha watu haimaanishi mnapata faida. By the way, kwa nini hamtaki CAG akague mahesabu ya ATCL?
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Nimetafuta audited accounts online sijaziona. Mimi sio mpinzani for the sake of upinzani na kwa kweli maneno "vyama vya upinzani" si sahihi kwani hawapingi kila kitu. Wangeitwa vyama mbadala au litafutwe neno muafaka. Chama kinachopinga kila kitu hakifai kuwepo.Dah kweli wapinzani mmeishiwa, hivi nani kazuia CAG asifanye kazi?
Na Msukuma je ana mawazo gani?Muafrika siku zote anachojua ni kukosoa tu. Ukimwambia aje na wazo mbadala ni vichekesho vitupu utakavyovisikia.
Bado unaendekeza akili za fisi. Kuna uwekezaji wa aina nyingi ukibuma wa aina moja watu wanawekeza kwingine.Muda si mrefu akili ikiwarudia mtaanza kutafuta visingizio vya sababu kwanini uwekezaji wenu umebuma; lakini wakati huo wananchi maskini watakuwa wameisha umia sana!!
Wanaofurahia haeajawahi hata kupanda ndege...wakosoaji ndio waelewa na wengi wao ni ma frequent flyersKwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Kuna uwekezaji wa aina nyingi ukibuma wa aina moja watu wanawekeza kwingine.
Una uhakika korosho imeleta hasara? Au ni maongezi ya mtu wa Dar akiongelea masuala ya mikoa ya kusini?.Hiyo hasara ya huo uwekezaji uliobuma kwanini wananchi wabebeshwe wakati ujeuri wa watawala ndio chanzo cha hasara hizo? Hasara ya korosho ni mfano dhahiri ambapo wananchi wanaumia kwasababu ya upuuzi wa mtu mmoja.