Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Ukweli kuhusu ndege za Serikali

Una uhakika korosho imeleta hasara?

Usijitie ujinga were, JIWE kila leo anatangaza kuwashurutisha watu wake kuwalipa wakulima wa korosho fedha zao!! Remember Korosho is a forex earner and the country was not able to export due to poor decision making hence the loss to the country!!
 
Usijitie ujinga were, JIWE kila leo anatangaza kuwashurutisha watu wake kuwalipa wakulima wa korosho fedha zao!! Remember Korosho is a forex earner and the country was not able to export due to poor decision making hence the loss to the country!!
Akili zile zile za madalali wa kimataifa.
 
Tundu Lissu kachemka sana Sisi wakazi wa Bukoba ndege ni muhimu zaidi anataka tutumie mabasi wakati tuko mbali sana huduma kuu za serikali.
Hivi kabla ya ATCL hawajanunua ndege kulikuwa hakuna denge huko Bukoba
 
Hivi kabla ya ATCL hawajanunua ndege kulikuwa hakuna denge huko Bukoba
Tatizo si ATCL kununua ndege tu.

Tatizo kuna mkakati kabambe wa serikali kuua kampuni binafsi za ndege ili ATCL iwe na monopoly.

Tayari kuna uzi hapa mtu analalamika bei za tiketi za ndege kupanda.

Serikali inatengeneza monopoly, halafu inapandisha bei za tiketi za ndege.

Watu ambao hata ndege hawapandi wanashangilia.
 
Nyie mmerogwa na mganga amekufa hivyo mtabaki mazezeta maisha yenu yote!! Siku mtaambiwa mtembee bila nguo na mtakubali kufanya hivyo!!!
Umefikiria mwenyewe ukaona hayo uliyoyaandika ndio kielelezo cha ubora wa akili yako!. Pole sana.

Huyu wa sasa ni mpaka 2025 tukipewa uhai na Mungu.
 
Coaster2015 , Ndinani msipoteze muda kubishana na hili zombie linaloitwa Phillipo Bukililo . Hilo ni robot ambalo halitumii akili yake, limesetiwa liwe linajibu wakosoaji wa Serkali kwenye mtandao. Hiyo ndiyo ajira yake 24/7 kwenye social media.
Pole sana mkuu, jifunze kupokea na kuyakubali maoni yasiyofanana na ya kwako.

Huo ndio ukomavu wa kifikra, vinginevyo huna tofauti na kina Maria Sarungi, wanakosoa kila siku lakini wakikosolewa wana-block watu.
 
Pole sana mkuu, jifunze kupokea na kuyakubali maoni yasiyofanana na ya kwako.

Huo ndio ukomavu wa kifikra, vinginevyo huna tofauti na kina Maria Sarungi, wanakosoa kila siku lakini wakikosolewa wana-block watu.
Na Corona hii, hiyo midege lazima ilete hasara sana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Je, zina faida gani economically?

Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.

By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?

Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?

Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.

View attachment 1250571
Vipaumbele vya wanasiasa huwa sio vipaumbele vya wananchi, hakuna mwananchi hata mmoja anayeshirikishwa juu ya matumizi ya mipango ya maendeleo, ingekuwa hivo umasikini,tatizo la ajira vingepungua
 
Ningekuwa mimi Rais ningeanza na mapinduzi ya kilimo...baada ya hapo ningeleta viwanda vya ku process malighafi zilizotokana na kilimo ili add on values ..kisha kutafuta masoko nje na ndani.

Kilimo changu kimewafukiza wamachinga wote mijini.....bila kutumia nguvu.

Trillion 2 tu zingetosha kutekeleza mapinduzi haya yenye matumaini kwa kila mtanganyika.
 
Nasikia lile kabrasha la mapato na matumizi ya ATCL, jamaa analichunga kama mboni ya jicho lake. Eti hataki watu wajue hali ya shirika kibiashara
 
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Duuh kumbe ndege zetu azitengenezi faida...nilikua sijui kabisa
 
Hizo ndizo tope zenyewe, biashara ya Ndege sio kuleta blah blah na kujifanya unatoa huduma, gharama za kuendesha hizo ndege ni kubwa kiasi kwamba muda sio mrefu mtatamani kuziuza na msipate wa kuzinunua, na bahati mbaya mnaharibu mahusiano na jamii ya kimataifa kila siku, na biashara inahitaji watu, ipo siku mtaanza kuzibebea mashudu, endeleeni na uzwazwa.
Walisha bebea mbuzi na si jawahi sikia tena wamepeleka mbuzi wengine nadhani mbuzi waliisha
 
Na Corona hii, hiyo midege lazima ilete hasara sana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Dunia nzima kwa sasa ni mwendo wa hasara kwenye sekta nzima ya usafiri. Kuna meli pale bandarini inaitwa City of Beijing, wafanyakazi wanaogopa kuikaribia, wanasakiziana nenda wewe nenda wewe.
 
Back
Top Bottom