Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Umesema ulipoenda for interview waliomba kitambulisho(ID) ukawapa; ni kitambulisho kipi, passport ya Tanzania?
Nilichana kitabu maana nilishauriwa nichane na kitumbukize chooni maana wanaweza Kukudeport.Nilitishiwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo Québec fuatilia wewe mwenyewe kuna kambi au hakuna maana unapenda Sana kujifanya mjuaji wakati huna unachokijua

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unapondanganya watu usifikiri wote ni wajinga na unapojpanga kudanganya hakikisha unachokiongea una uhakika nacho
Sasa ni hvi
Mimi nimesomea maswala ya ukimbizi na hifadhi na nina lijua swali na ukimbiz vizur sana pili nimesomea namna wakimbiz wanavyoishi kwenye nchi zngne ila mimi nilibase marekani cheti changu ni

Niko marekani miaka mitatu inakabia na nimeishi states 4 za marekani na nilipofjia ilikuwa NEW YORK naelewa hile border ya marekani na canda vizur sana

Vile nilisomea history na mipaka ya nchi ya marekani


Haya ni baadhi ya masomonilifundishwa kuhusu namna mkimbiz anapokekewa na anavyoishi



Nitakuwa nimekuoa mwangu kuwa mimi sibabaishi ninachokizungumza

Nchini canada nimeenda mara nne nikiwa canada na mara ya mwisho nilienda kupokea ndugu zangu.kwaiyo maisha ya ukumbiz wa Canada ninayafaamu vile vile Nina nimesomea

NB:nimesomea maswala ya ukimbizi kupitia shirika la IOM na nimesomea utamaduni,maisha,historia kuhusu nchi ya marekani kupitia RSA AFRICA.kwaiyo najua sheria za nchi mbali mbali kuhusu wakimbizi na hifadhi.

Sasa wewe toa CV yako
 
Mkuu tuache kuwadanganya watu naona unajitengenezea mazingira ya kuwapiga watu,hii post yako ungeipost mia ya 90 ningekuelewa.saiv sio huu uongo wako umebugi.mipaka ilikuwa waz kwa miaka ya dhamani.

Jipange urudi tena
 
Ni Zaidi ya 6m Tz shs.[emoji86], unajenga japo kibanda hapa Bongo.
Yeye kaamua kupambana kiume kwa hela yake, wewe pia hujakatazwa kujenga " kibanda" chako nchini kwako kuzuri ambapo kuna metameta

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Watu wamefungwa ufahamu ndugu, akipata vihela kila mwisho wa mwezo, laki 4 au 5 na kujenga "kibanda", na kuoa , na kununua harrier, basi anaona life ameliwini huku bongo

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Kwa hiyo immigration ya Canada iko so corrupt and ineffective kiasi kwamba inakuamini tu kirahisi kwamba we ni msomali? Msomali uliyetokea boarder ya US?. Immigration ya Canada imekukamata na imekuweka kizuizini then kirahisi rahisi tu haifanyi further investigation ya vitu kama facial recognition ambayo inascan through camera zote za airports na mitaa ya afiliated countries, yes maana siku hizi suala la ugaidi ni kubwa watu hawawezi tu kukupokea kizembe zembe tena na hao wanaojitambulisha kutoka somalia ni one the Target. So wanakuamini kuwa msomali just by speaking few words? Seriously? Hiyo siyo Uhamiaji ya first world labda huko 3rd world. Yes unaweza kweli ukawa umeingia Canada but waambie ukweli how you got there,,,, hii hatununui


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nimependa udadavuzi wako wa mambo.


Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Komaeni wazee mnunue spacio gari ya kula bata

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
"hatununui", mbona kama unawasemea watu boss,


Sent using Unataka kujua ili iweje
 
"hatununui", mbona kama unawasemea watu boss,


Sent using Unataka kujua ili iweje

Mkuu, sijui kama umefika US au Canada ila kama haujafika naomba tu linapokuja suala la boarders za hizi nchi usiwaze kama namanga au tunduma.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa anatafuta wa kuwapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta Picha acha porojo za kikanjanja usipige watu kizembe
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…