kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 6,066
- 7,552
Maana yake ni nini?jina lenyewe la Kleruu ni lakichaga...
Maana yake ni nini?jina lenyewe la Kleruu ni lakichaga...
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!
Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.
Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.
Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900
SASA TUKIACHA ERA HIYO:
Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)
Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-
1) KUJALI ELIMU
Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k
Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU
Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904
Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.
Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.
- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.
* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.
Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.
Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.
* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.
Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.
2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI
Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.
(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)
3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA
Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.
Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.
Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)
Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.
Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.
Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Hayo maendeleo yako wapi??
Mbona mwanza imepata hadhi ya kuwa jijji mwaka 2000 lakini Kilimanjaro mpaka leo ni manispaa??
Nyumba ya makuti??bariadi unataka kuifananisha na KILIMANAJRO AU ARUSHA sasa??
Mmewekewa lami juzi na serikali
Acha ushamba kua tajiri ni uchawi? Fa yenu kazi kwa bidiiiNani anasema northenors sio washirikina????
Labda wamasai, ila hakuna washirikina kama wachaga, wanarogana sn kwaajil ya kupata mali,
Nenda ukanda wa marangu mpk Rombo, vijana wadogo wengi ni matajiri balaa, lakini hawatembelewi na ndugu zao wakihofia kutolewa kafara!!!!!
Kwa utafutaj na elimu sawa lakn ni warogi wa hatari, wachaga kibao wana mazezeta makwao!!!!!
Kama mkuu alivyo elezea kupitia tafiti yake... Mimi ni mkazi wa kaskazini na ofcoz nimetembelea mikoa mingi nchini mikoa ya pwani na kanda ya ziwa tofauti ya IQ za watu wa mikoa hii ukilinganisha na kaskazini kiujumla.. Watu wa mikoa iyo upenda kuridhika wanaridhika na hata maendeleo kidogo bt northern we didn't.. Alaf Mikoa ya Arusha na moshi ofcoz Arusha tuna infraction na wakenya so many ideas of life we share mfano kama mm ni mmasai bt ninandugu zangu wanaishi Kenya na kule ni wazawa wa uko so watu wengi wa kaskazini wana ndugu na wakenya dat why we share some ideas to use our brain to make a better day...
huyu mangi mwwnzangu alifanya makosa alikuwa anaburuza wakulima matajiri ripHuyo Kleruu nae alifanya kituko sana kumfuata mtu Xmas kudai shamba?
Naona mashambulizi kwa sisi "Northeners" yanazidi kushamiri. Sitetei ukanda ila ni muhimu kwetu kama Wakaskazini kuwa wamoja zaidi kuliko kipindi chochote bila kujali dini na makabila yetu huku. Ni vyema tuzidi kushirikiana na kusaidiana inapobidi, tusiangalie huyu ni mchaga, muarusha, mmeru,mmasai,mpare,muiraqw,Msonjo, wasambaa, wadigo nk. Tuendelee kushikamana na kuendelea kujazana spirit ya maendeleo.
Si lengo langu kutenga kanda zingine, ila wanaonekana wazi kuwa na chuki za wazi kwa kanda yetu hii.
Jifunzeni Anthropology ya Human Procurement. Wamasai Naturally, culturally ni Wafugaji(PASTORALISTS)) wanaoishi maisha ya kufuga/kuchunga na kuhama kuhama kutafuta malisho au mawanda ya kijani. Jamii zenye tamaduni hii hawajengi nyumba wala hawalimi. Hawana makazi ya kudumu. Hawana haja na huduma za Jamii kama Maji, elimu, usafiri, umeme, na afya. Wao kila kitu kwao ni mifugo. Kwa Tanzania ni Wamasai, Watatoga, Wakwavi, Wahazabe na Mangati. Makabila haya wengi hupatikana nyanda za Arusha, Babati, Loliondo, Monduli, Longido na Kajiado. Mwalimu Nyerere aliwatambua na kwa makusudi alianzisha elimu huko umasaini, umangatini na Mbulu hadi tukawapata kina Edward Moringe Sokoine, Sayore, Saibul, Ole Moleimet na wamasai wengine ambao walipewa madaraka na vyeo kazini na jeshini ili waondokane na hii mila ya kufuga na kuhama hama. Kuna mwandishi wa Fasihi Mkenya aliandika kitabu kinaitwa''Is it Possible?'' to hold a Stick and a Book at the same Time? akiwasemea hawa''Pastoralists'' Ila kwa zama hizi za Climate Change jamii hizi zinajifunza aina nyingine ya maisha. Nyasi za kijani kwenye mapori zimekuwa adimu. Kwa hiyo siyo vema kulinganisha maisha ya Wafugaji au wachungaji na Wakulima wanaojenga na kuishi kwenye nyumba.Ukitafuta tu sehemu chache zenye mapungufu haitaleta maana kwasababu hata USA kuna mahali tu kuna gheto za ajabu
Hara Mwanza na kuendelea kote kuna sehemu tu yenye nyumba za hovyo.
Umeenda meru na uarushani huko migombani?
ya mm mrombo, kwan hoja yang n uongo?Hujuasoma historia vizuri. Umeongea km mtu wa kijiweni. We mrombo ee?
Mm nina rafiki yangu mpaka leo anaogopa kwenda kwao,na akienda hatoi taarifa wala haendi na gari lake kwa sababu ya mambo Haya ya kishirikina,sehemu Kama Kilosa huko ohho ni nomaMkuu mwenye jirani zangu pale Moshi wamejenga mijumba ya maana sasa na mimi wakat nnasoma nikawa natamani nifanikiwe ili niwajengee wazee wangu kama hao majirani zangu baadhi waliokua wanafanya kazi Ikulu na TRA,sasa nimemaliza elimu yangu na nimeajiriwa na tayar nimeanza mchakato wakuweka heshma kijijini kwakuangusha mjengo,ila huko ktk mikoa ya walalamishi badala yakuwa na wivu wa maendeleo wangeshawaroga majirani zao...Hiyo ndio tofauti kubwa kati yetu wakaskaz na hao wa mikoa mingine
Kaskazini watu wameendelea kwa Kilimo na Biashara. Ninamfahamu mzee fulani hakuwahi kuwa kiongozi wala mtumishi wa Umma. Ukifika kwake kwa Standard za kwetu utadhani umekwenda kwa tajiri wa kizungu.Unaanza kujisifu sasa, kilicholeta maendeleo kasikazini ni misisngi iliyojengwa na watangulizi; nakubaliana na wengi kwamba elimu ilipewa kipaumbele zaidi na matokeo yake, ajira za msingi zikaenda huko. Lakini sio siri kuna na ujasiri fulani ambao sio wa kawaida kwa baadhi yenu, hasa wanapokabidhiwa mali za umma. Wakasikazini wanafanyakazi zaidi, sio siri, lakini nionyeshe viwanda ambavyo unawezasema vimebuniwa na wakazi wa huko na kuwaletea maendeleo watu wengine. Nitajie wagunduzi bora kabisa ambao wameiletea nchi sifa na heshima taifa hili. Maendeleo ya kweli yanaambukiza, wa kasikazini wameambukiza wapi? Dodoma ni majirani zenu, Singida, Tanga, Mara mbona hawa kuaambukiza watu wengine? Kasikazini imendelezwa na mali ya watanzania wote.
Nihitimishe kwa kusema kasikazini imeendelezwa na msingi bora wa elimu na ujasiri wa kupita kiasi kwa wale wanaokabidhiwa mali za umma.
Matanzania aiite Tz shamba la bibi tena wakati tupo humuhu??!!! Wa kuiita Tz shamba la bibi ni yule anayetoka nje na kuchuma kilaini na kwenda kuwekeza kwao nje. MTz atachuma hapa na kuendeleza humu Tz na kutoa ajira humu ndani, ukiwa na kinyongo una shida ya asili!!!Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.Nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya wenyeviti wa vyama vya siasa ni wachaga?Kumbe wanaendeleza pale Mareale alipoishia na kila december ni lazima kuizuru nchi yao kupata baraka.Sasa mtadai tena uhuru au mmesharidhika na shamba la bibi?!!
Da issue mkuu kama ujenzi si lelemama mwaka 1904 kama ilijengwa basi ni kama Madarasa mawili au matatu tu.... but kwa jinsi Ilboru ilivyo kamilika hadi kile Kichapel kanisa ndio liliongeza hadi ikawa inaeleweka... Mambo mengine si ya kuchukulia juu juu tu kilahisi... Michango mikubwa ya miji imewekwa sana sana na Wakoloni wenyewe na haswa zile sehemu walizozipenda zaidi... Kama Arusha Wachagga ndio wana mali zaidi... Sehemu ikiitwa Mji huvutia watu na ongezeka la Watu ndio Maendelea huja maana mzuguko wa biashara unakuwa mkubwa na mahitaji yanakuwa yanahitajika muda wote.. Ukienda Dar,Arusha,Moshi town,Mwanza,Mbeya kuna idadi kubwa a watu na maendeleo yanaonekana... Ndio Maana Mkulu anataka kuugeuza Chato uvutie watu hakika utakuwa mji mkubwa... Dodoma itizame after 15 years itakuwa mbali sanaAcha uongo mkuu
Ukitaka ushahidi kuhusu shule na kanisa la Ilboru nitakupa.
Tena sio hizo tu kuna shule sijazitaja kama Minha secondari
Ilboru ilijengwa na wanawake wa Arusha mwaka 1904 ikawa chini ya KKKT na baadaye ikataifishwa kuwa ya serikali.
Ugogoni ilikuwa ni pathway tu so even wewe ungekuwa kama unafanya biashara zako Kibaha na Kariakoo for sure utajenga Kibaha na Kariakoo tu huwezi jenga Mbezi au kongowe... tumia akili ndogo tu kujadili hoja nyepesi usifanye kama tunashindana... tuepuke kuonekana wajinga... Maeneo ambayo wakoloni walikaza ni Kwenye mazao na malighafi walizozifuata na sehemu haswa zilizoboreshwa ni zile biashara ilipofanyikia maana ilikusanya wafanya biashara wendi zaidi Historia zipo wazi hii sio ligi ndogo Elimu ya historia tuKwanini hawakujenga kwenu huko ugogoni?
Basi mkuu unaifahamu Ilboru vizuri.Da issue mkuu kama ujenzi si lelemama mwaka 1904 kama ilijengwa basi ni kama Madarasa mawili au matatu tu.... but kwa jinsi Ilboru ilivyo kamilika hadi kile Kichapel kanisa ndio liliongeza hadi ikawa inaeleweka... Mambo mengine si ya kuchukulia juu juu tu kilahisi... Michango mikubwa ya miji imewekwa sana sana na Wakoloni wenyewe na haswa zile sehemu walizozipenda zaidi... Kama Arusha Wachagga ndio wana mali zaidi... Sehemu ikiitwa Mji huvutia watu na ongezeka la Watu ndio Maendelea huja maana mzuguko wa biashara unakuwa mkubwa na mahitaji yanakuwa yanahitajika muda wote.. Ukienda Dar,Arusha,Moshi town,Mwanza,Mbeya kuna idadi kubwa a watu na maendeleo yanaonekana... Ndio Maana Mkulu anataka kuugeuza Chato uvutie watu hakika utakuwa mji mkubwa... Dodoma itizame after 15 years itakuwa mbali sana