Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Eti kasikazini kuna maendeleo, maendeleo yapi hayo? Hebu nendeni tu hata Rwanda kisha mrudi mseme mmefanya maendeleo!
Mnajidanganya sana, tembea uone namna gani nchi yetu iko nyuma sana kimaendeleo, yawezekana sababu kubwa ni kjendekeza ukabila kama ilivyo mwa wenyeji wa Kilimanjaro.
Huwezi kusimama ukasema kasikazini kumeendelea wakati umasikini bado ni uleule. Huduma zote za kijamii ziko hovyo, miundombinu iko hovyo, uchumi wetu uko chini tunaishia kufanya uchuuzi kwa kimsaidia mchina kuuza bidhaa zake.
Ninyi mnaojiona mmeendelea, wasomi na matajiri mlipaswa basi mzalishe badala ya kufanya uchuuzi. Mikoa mingine mingi wanajitahidi kuzalisha.
Ukabila utakuja kuwafanya mjute, fanyeni kazi acheni ukabila. Mngejua kuwa Tz bado tuko mbali sana kimaendeleo mkiwemo na ninyi, mngeleta maendeleo na msingekaa na ukabila.
Miamba ya Kaskazini

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] futa povu hilo
 
Nimewaelewa na tunapaswa kujifunza jema kama linafanywa na wenzio,ukikataa wewe mjinga,na uzuri toka jamii ilipogundua kua elimu ni muhimu hakuna hata jamii moja imekataa elimu kwa makusudi,Kwa hiyo mi sioni sababu ya watu wa moshi na Arushs kuwananga wenzenu kwa kukosa elimu,ni fursa mlizikuta kutoka kwa wamisionary mkaendelea nazo not otherwise,sasa kule kusoma soma ndio kukatengeneza tabaka la watu mnaojali elimu,hao mnaowasema kuwa walikataa elimu ya duniani ni kwa kua mmeamua kutumia propaganda hiyo kuwapaka matope wenzenu,mnajua jitihada walizozifanya kujikwamua kielimu kuanzia enzi za ukoloni hadi sasa? Lindi na Mtwara ndio mikoa pekee ambayo ienasemekana kwa elimu iko chini kabisa,lakini pia ni watu waliojitahidi sana kufanya mikoa yao iendelee kuwa juu kielimu licha ya jitihada zao kugomga ukuta.Kwa bahati mbaya mikoa yetu toka ilivyoachwa na wamisionari mpaka leo hii imeendelea kubakia kama ilivyoachwa,barabara nyingi ni zile zile nk,sisi tumeboresha tu vichache,ila Muda unakuja jamii haitakua na matabaka tena wala ukanda kwa kutumia propagnda za kielimu,mikoa ya mkoloni ni ileile mpaka leo mbeya,bukoba nk,na hata mnavyosema kaskazini bado ni kauli za kibaguzi,kaskazini gani yenye maendeleo? kaskazini inabebwa na mikoa mitatu tuu arusha,bukoba na moshi tuu? hivi moshi na Tanga kuna umbali gani mtu akashindwe kupata elimu moshi au arusha,yaani moshi iwe juu kimaendeleo Tanga jirani iwe masikini?
Bukoba kaskazini???[emoji15]
 
Kama hii ndio sababu kubwa basi sio juhudi za wana wa kaskazini.

hapo kwenye 'juhudi sana' ni zipi hizo ambazo wengine hawatumii? Ila Wachaga nadhani wana culture kama ya western europe kwa maana ya kwamba dependence hawaipi nafasi kabisa. Mfano, kama unahitaji kitu fulani ambacho shangazi yako anacho kwenye biashara yake, kama hauna fedha ya kutosha kukinunua kwa bei aliyoiweka, hupati katu mpaka ukamilishe fedha.

Kwa hiyo ukiwa na faida wanatumia hiyo mipaka?

Kama sababu kubwa ilikuwa ni elimu iliyoletwa na wamissionari iweje Tabora iwe nyuma au wengi wao hawakuichangamkia hiyo elimu? Kuna mzee mmoja wa Tabora niliwahi kumsikia akisema waingereza walivyojenga Tabora Boys walikuwa wanaenda kwenye nyumba za wenyeji kuchukua watoto kwa ajili ya kuwa-enrol lakini cha kushangaza watoto walikuwa wanakimbia!!!
Tabora boYs & Girlz mkuu hz mpk kesho ...Ukienda idadi Ya wanafunzi wenYeji wa Tabora hawafiki hata 20% ..hata wahindi na waarab kabla na baada Ya uhuru pamoja na privelege walizokuwa wanapewa kupata Nafasi kwenYe hz shule ilikuwa Ngumu kweli kweli...waraab na wahindi wao wakajitutumua sasa Kuanzisha Kazima na UYui baadae pamoja na ile shule Ya msingi Ya uhuru Ya sasa....wachache wenYe damu Ya kifalme kama sita na mzee wake Fundikira ndo walipaona St.MarY's wengi wamekuja kusoma baada Ya milambo kuletwa sasa ndo ikawa hata wazawa wanaokotwa okotwa kidogo ndo kina mzee KapuYa na Lipumba wakatokea huko ....na seminarY kama ITAGA naYo ikachangia changia ila Hali Ya elimu kwa mnYamwez ilikuwa Ngumu kidogo
 
Mna advantage ya mashule kuanza kujengwa toka enzi za mkoloni, kutokana na jiografia za huko kuwavutia wamisionari hivyo umuhimu wa elimu umehimizwa enzi na enzi mpaka sasa ipo kwenye damu ambapo ni tofauti na mikoa mingine ambayo ki jiografia haikuwavutia wamisionari kuwekeza eg Sumbawanga etc

SIO HIVYO TUU , viongozi wengi wenye maamuzi walioa wachaga(nafikiri ni kampeni wazee wenu walikuwa wanawasisitiza mnapo rudi december) so wali sishangai mkijengewa lami mpaka vijijini..si unajuatena wachaga rangi ya mtume toka kabla ya mkorogo
 
Wahaya wana spirit nzuri sana ya kutafuta elimu na maisha bora.
Wa Kaskazini (Kilimanjaro + Arusha) kwa gharama yeyote wanasomesha na kupambania maisha.

Mwaka huu 25-12-2016 kumekuwa na watu wengi waliorudi nyumbani mpaka nchi nzima imeshangaa,foleni ilianzia njia panda Himo mpaka round-about ya YMCA na askari wa traffick walizidiwa kuongoza mpaka wakaja field force kuongoza magari.
Arusha foleni ilianZia Kikatiti mpaka Mianzini,hamna namna,Ndege zote zinazotoka Dar-Arusha,MA-Arsha zimejaa mpaka mwakani tarehe 4,Daladala karibu zote za Dar hasa "eicher" za Ubungo -Mbagala,Gongo la Mboto-Simu 2000 zote zimepewa kibali cha kwenda Kilimanjaro na hazijatoshea.

Watu wa kaskaZini kama vile wana asili ya Israel(kukusanyika wote na kujadili maendeleo),na pia WakaskaZini husomesha watoto kwenye mashuke makubwa,Nenda USA,UK,na Australia kote huko utakuta Wachagga wapo,Mapadri wengi Itally utakuta ni wakaskazini,Wengine tuige ,tuache kukusanywa "leaders' na kuitikia 'imoo' bila kujia maana yake,changia maendeleo.

Chukua mtoto mmoja wa ndugu yako alafu msomeshe,hutajutia.

Warombo pekee ndio watu wa kaskazini ambao wamebaki nyuma kielimu,wao ni pombe tuu,wanakuja Marangu kila siku kuomba chakula !

My Take:
Wa kaskazini hata usipowapa ukuu wa wilaya,mkoa na sehem zingine kama ilivyo huwakomoi bali unawapa hasira ya maenedeleo zaidi.
 
Warna na nyama tiki
 
Hapana,umeandika uongo

Maendeleo mengi ni juhudi za wazee wetu kama nilivyoeleza

Wakati wao wanakutana kuwahamasisha vijana wachimbe barabara, wazee wenu walikuwa wanakutana kwenye vilabu vya pombe wakipanga kuongeza wake.
Uongo upi? Na nimeshakwambia hamna sehemu nchini pana maendeleo. Zaidi ya watu asimilia 40 wanaishi chini ya dola moja halafu mnajifanya mna maendeleo labda maendeleo uchwara.
 
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Katafute ukweli kuhusu diversions of project za umeme kwenda huko na waziri wa fedha aliyetokea huko.
 
Faida za elimu bure ni kuigeuza Tanzania yote kuwa ni nchi yenye watu wenye kuweza kuhoji.

Siku zote maendeleo huja ikiwa watu wanaanza kuhoji mambo wanayoyaona yakitokea. Na huwezi kuhoji ukaeleweka kama huna elimu.

Tanzania ya miaka 15 ijayo itakuwa na usawa mkubwa sana kimaendeleo, kila ambapo kutafikiwa na elimu, maana yake uwezo wa fikra unakuwa umetajirishwa. Ukishatajirishwa basi kuwepo kwa vitu kama barabara za lami, umeme na maji safi, ni vitu ambavyo upatikanaji wake ni suala la muda tu.
Kwanza elimu bure ni kushusha kiwango cha elimu na upo mpango wa kufundisha kwa kutumia kiswahili kuanzia msingi mpaka chuo hii nayo ni hatari nyingine sijui watu huwa wanawaza nini apo mikataba mnaandikiwa kingereza sehemu nyingi ili kupata kazi kuna kigezo cha kuongea kingereza na kingereza ni lugha ya kimataifa sisi tutakuwa na wasomi wasioweza kuongea kingereza ukienda popote ili uweze kueleweka inabidi uongee kingereza na utaweza kuchangamana na watu wa aina zote, south afrika waligoma kufundishwa africans kwa sababu haina maslai kwa sababu ili upate kazi unabidi ujue kuongea kingereza sasa sijui kwetu vipi kuhusu kiswahili.me naona hii ni akili ya kazi kwa utawala
 
Ukweli kaskaz naamini chanzo kikuu cha maendeleo ni Hali ya Kijiografia ambayo ilisababisha na imeendelea kusababisha mzunguko wa pesa uwepo.
Kahawa
Mbuga za wanyama.
Mlima Kilimanjaro na Meru.
Tanzanite.
Elimu ilikuwepo na ipo lakini Miji hii imejengwa kwa biashara na sio waajiriwa wa serikalini.
Effect ya serikali ipo na likini biashara ndio chanzo kikubwa.
 
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
NIlisome Old Moshi kwenye miaka ya 1990's hivi. Ilinisaidia kujua kwa nini Kilimanjaro kunamaendeleo, na wakati huo huo Lindi na Mtwara hakukuwa na maendeleo. Jamaa wanapambana aisee, madogo tangu wakiwa wadogo ni wapambanaji tu. Kama shule imekushinda,ingia kitaa choma mahindi,uza maparachichi, kaba ili utafute pesa yako. Kama umefaulu, soma mpa upasuke. Ila mwisho wa yote NI LAZIMA kuja kujenga Nyumbani.

Ila kwa kauchawi na wenyewe hawako mbali sana, ukienda kule Rombo, tarakea utayaona. Mazezeta kibao. Mbali na hilo, siku hizi wanaongoza kwa ule utajiri wa watu wa njombe. Mnahesabiana miaka na Mashetani, na kuua yule unampenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ili utajirike.

Nilishuhudia kule Mbeya kwenye miaka 2009, kuna dogo alifariki ati kwa sababu ya kutahiriwa. Na mazishi yake yalikuwa na kufuru, alisingikizwa na Black Benzi kama 100 hivi zenye machoya panzi(wakati ule ndo makali). No Kulia. KAulize yule alofiwa na mtoto wake sasa hivi ni nani Mby, utaambiwa.
 
Ukuaji wa Arusha ulikuwa ni mkubwa sana miaka ya 90.
Lakini sasa hivi ni kama kume stack. Miaka hyo wachimbaji wa dogo walikuwa wanapata fursa bila bugdha lakini baada ya serikali kuwa ingiza makaburu hali ilibadilika saaana.
Mwanza nayo sio mambo ya Shule sijui wafanyakazi wengi kutoka serikalini hapana.
Pale ni Dhahabu na Ziwa Victoria.
 
Huu ni umbea

Hebu thibitisha.
Nenda Mbeya kaulize, habari ni za kweli tupu. Kizuri zaidi wakati huo msafara wa msiba unapita niliushuhudia. Ndipo zitakwagwa hizo khabari.

Nenda Moshi kaongee na wazee, watakuambia hivyo. NAni kakwambia kuwa mafanikio yao yote ni ya halali? Usiwe zoba. Fuatilia.
 
Back
Top Bottom