Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Umeandika kwa chuki na hasira na roho mbaya moyo una maumivu na wivu mkali. Pole ndo hawarudi nyuma
Ikitokea nikaingia mimi,hakika mtalipa gharama kwa hujuma mliyoifanyia nchi.
Yaani ile mikakati ya kujikopesha kupitia crdb na kuweka mawakala wenu bank nyingine kama nmb ili mfaidi mikopo bila masharti makubwa tunaifahamu.

Kuna sehemu ni usukumani aliingia meneja mchaga nmb wachaga wote walionekana matajiri ijapo wengine walikuja hawana kitu.Wao wanakuambia eti wametumia fursa ambazo wenyeji hawazitumii!Ila ukweli ni kwamba vijana wa kichaga walikopeshwa pesa kwa kudhaminiana tu kama saccos ila mtu anaondoka na milioni 100 na ndo kwanza katoka migombani,hata frame hana.

Unakuta ofisi zote zenye ulaji wachaga wamejaa.Unaweza kushangaa kipindi hicho cha jk na mkapa,Halmashauri zenye pesa utakuta DT mchaga,wahasibu zaidi ya watano wachaga,ukienda TRA meneja mchaga na wapambe wengine wamo humo,DMO mchaga mapesa yote ya miradi ya afya yalipigwa bila huruma.
Afisa elimu wilaya mchaga,supplies officer mchaga,OCD mchaga,Takukuru mchaga..sasa jichanganye upeleke taarifa ya ubadhirifu wa Mali uone kitakachokutokea.

Hii nchi imetafunwa sana kimkakati na watu wa kaskazini.

Leo hii hata nje ya nchi wapo wengi sana.Walikuwa wakifaidi scholarship kwa wingi sana.Naamini hawa watu ni hatari sana kwa ustawi wa nchi.Maana mtu anakuibia,halafu kesho anakutukana huna akili ila yeye ndiye mwenye akili!
Ni sawa na mko uwanjani referee anatoa kadi kila timu moja tu inapofanya makosa hadi mnapungua uwanjani na timu ya pili hata wakifunga kwa mkono goli linahsabiwa!Mkitoka hapo kwa vile wana kombe wanaanza kashfa eti Hanna akili ni wajinga!
Hamjui huu ujinga wetu ndio umeleta amani nchi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikwel kwenye kipindi cha kikwete walifanya mambo yakibanguz kweli, Tulikuwa tukisikia makampuni ya simu na mabanki yakito msaada sehem moja tu Kilimanjaro tukashangaa kwani mikoa mingine awana shida??, Sasa ivi magufur kawabana taasisi yoye ya serikali au ma kampuni binafsi wakitaka kutoa msaada kwa jamiii wanatakiwa wahende serikali , Serikali hiwaelekeze wapi pakuleleka misaada, siyo kama dhamani kila msaada tulikuwa tunaona kwenye TV Kilimanjaro wanapelekewa wao tu, je uko kilwa, njombe, morogoro, sibgida je walikuwa hawaitaji misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ukabila kweli ni SUMU.

..kila mahali ktk Tanganyika yetu hapakosekani mashujaa.

..hakuna jamii ambayo haina jambo jema la kupigiwa mfano iliyoifanyia nchi hii.

..kwa mfano, wakati wa vita vya Kagera mmoja wa makamanda aliyepata sifa kubwa kwa uongozi wake ni Maj.Gen.Silas Mayunga " mti mkavu." Huyu ametokea kanda ya ziwa.

..Pia Iddi Amin alipotuvamia na kuteka ardhi ya Tz, kamanda aliyeitwa Ikulu na Mwalimu Nyerere na kupewa jukumu la kupiganisha operation ya kurudisha ardhi yetu alikuwa Maj.Gen.Tumainieli Kiwelu. Huyu ametokea kanda ya kaskazini.

..kamanda mwingine aliyejizolea sifa nyingi ktk uwanja wa mapambano ni Maj.Gen.John Walden " black mamba. " Huyu alikuwa chotara wa Kiingereza na Kihehe.

..Nimetoa mifano hiyo michache ili kuthibitisha kuwa ushujaa siyo hati miliki ya kabila au kanda fulani hapa Tanzania.

..Watz tuwe WAMOJA.

Tuache tabia ya kukumbatia ujinga na tuwaambie wale wote wanaoendekeza ukabila kwamba hawana nafasi hiyo Tanzania. Wakati mwingine hiki kijiwe kinalea vitu ambavyo havikubaliki katika jamii ya Tanzania. JF tujitafakari waswahili walisema ''Ngoma ikilia sana hupasuka''
 
Kaskazini mnacheza yope.....🎶🎶🎵🎵🎸 huwezi....🎶....unacheza yope.... Huwezi🎵🎵ee we eee eeeehh🎶
Eee eee eee eeehh🎶🎶🎶🏄🏄🏄🏂🏇🏃
 
Kwasababu wanaona fursa mbali ambapo wenyeji huko hawaoni kabisa.

Unafikiri kwanini Waingereza na Wajerumani walikuja huku Africa?

Kwanini Waisrael wapo katika nchi za watu ila ni matajiri sana?
Sasa nyie mnaenda sehemu zilizoendelea zaidi yenu....inamaanisha kwenu pamedoda kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaskazini,

Hivi wagogo wao walikuwa wapi?

Pia nadhani Kilimanjaro imebebwa na hali ya hewa na mazao ya kudumu yaliyokuwa na soko,mfano kahawa
Umeandika point sana ya msingi nina mengi ya kuchangia hapa baadaye nitarirudi ukiona comment yangu.
 
Yaani bonge la shule lililokuwa linadhaminiwa na Mgodi wa Almasi....hilo limewatowa wengi tu muhimu kwa Taifa akina Kimei na wengine wengi tu wachumi na madaktari bingwa

Nimefika kwenye hii shule Shinyanga High school enzi hizo Shybush Dume la Kanda aiseee tumerogwaa bhageshi getegete....!!!!!

Hii shule kwa umuhimu wake kihistoria sasa hivi ingekuwa UNIVERSITY kubwa kusini mwa jangwa la Shahara

Wasukuma TUMELOGWA gete gete
 
mimi sio wa kaskazini,lakini sio siri napenda spirit ya watu wa kaskazini mwa Tz ktk kutafuta maendeleo.pia nakuwa inspired na spirit ya wahaya ktk kutafuta elimu.

huu ni mtizamo wangu,simlazimishi mtu yoyote asiye wa kaskazini kukubaliana nami.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
 
Ok, hiyo nikuwa siifahamu. Chuo kimejengwa kwa msaada wa Denmark miaka ya 70. Mwenye jina Dr Klerruu kweli alikuwa mchaga.?
Ndiyo. Dr. Wilbert Kleruu alikuwa mchagga, mwenyeji wa Mwika, Kilimanjaro. Ukipita barabara ya Himo,- Mwika, unapokaribia Mwika upande wa kushoto wa barabara kuna mahali linaonekana kaburi, watu wanasema ndipo alizikwa Dr. Kleruu- Sina uhakika na jambo hili.
 
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Yaan umeunesha sura halisi mnavo penda kuwa wabaguzi kujiona nyinyi ndio mno haki zaid kuliko kanda nyengine ila JKN aliyaona hayo mapema sasa hivi mna ajenda zenu mnatafuta njia gn tzn muivuruge kwa ubinafsi wenu lkn mmeshtukiwa
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.Nilikuwa najiuliza kwanini asilimia kubwa ya wenyeviti wa vyama vya siasa ni wachaga?Kumbe wanaendeleza pale Mareale alipoishia na kila december ni lazima kuizuru nchi yao kupata baraka.Sasa mtadai tena uhuru au mmesharidhika na shamba la bibi?!!
Huo ndio uhalisia ulokuwepo moyoni mwao hawa jamaa wana ajenda chafu ya ubaguzi kupitia ukanda
 
Yaani bonge la shule lililokuwa linadhaminiwa na Mgodi wa Almasi....hilo limewatowa wengi tu muhimu kwa Taifa akina Kimei na wengine wengi tu wachumi na madaktari bingwa

Nimefika kwenye hii shule Shinyanga High school enzi hizo Shybush Dume la Kanda aiseee tumerogwaa bhageshi getegete....!!!!!

Hii shule kwa umuhimu wake kihistoria sasa hivi ingekuwa UNIVERSITY kubwa kusini mwa jangwa la Shahara

Wasukuma TUMELOGWA gete gete
Hapo usiwalaumu Wasukuma! Nyerere ndo hakutaka Wasukuma wawe na vyuo vikuu na ndo maana aliihujumu sana Nyanza bila Kanisa Katoliki kuwekeza usukumani tungekuwa nyuma sana!
 
Kaskazini,

Hivi wagogo wao walikuwa wapi?

Pia nadhani Kilimanjaro imebebwa na hali ya hewa na mazao ya kudumu yaliyokuwa na soko,mfano kahawa
Kodi za hayo mazao ni feha za kigeni zilichukuliwa na Nyerere kuendeleza mikoa ya kusini na pwani yenye watu wavivu.
Kwahiyo Kaskazini inaendelezwa na qwenyewe.
Meya wa Moshi ZUBERI[CCM] tangu ameingia ni hasara kwa mkoa.
Masoku "kujiunguza"
Stendi ya Nganga Mfumuni kutoejengwa.
Maeneo ya wazi akishirikiana na Meya aliyestaafu kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani nnaye kwenye KASHFA YA USHOGA [Juma Raibu]
 
Back
Top Bottom