Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

Pomoja na kupata Elimu watu wa Kaskazini walipoingia madarakani hawakuwa Waadirifu ktk kugawa vipaumbele vya Serikali kwa kuangalia sehemu nyingine za nchi,,

Wengi miradi mingi ya maendeleo waliikimbizia kwao kaskazini huku wakiacha mikoa ya kusini ikidirora,,
Utaona wakina Msuya walisambaza Umeme kwao Mwanga hadi vijijini lakini mikoa Kama Lindi na Ruvuma ikiwa haina Umeme wa uhakika.
Kwa kuwa sasa mnajivunia mafanikio yenu ya kuliibia taifa hili basi hatutegemei kusikia mkilalamika pale miradi ya maendeleo ikipelekwa katika kanda zingine,,

Maana tayari mmesha anza kulalama kwa ujenzi wa Chato International Airport.
Sasa mtulie tuendeleze kanda mnazozimea sasa ili zifanane na nyie.

wewe ulimsikia nani wa kaskazini akilalamika ujenzi wa chato?au chuki zako na wakaskazini zinakutuma useme hivyo
 
Ni kosa kubwa kusema Waarusha na Wamasai kuwa ni watu waliosoma, na kusema kuwa wameendelea. Huko kaskazini ni wachaga tu ndio wanaibeba. Hata Arusha yenyewe imeendelezwa na wachaga na makabila mengine
 
Hivi wamasai nao wamesoma ??? ?
Hapana, wamasai waliosoma ni wachache sana na wa kuhesabika, ila nawarecognise hao wachache waliosoma wamejitahidi kufanya yaliyoonekana kwenye jamii zao.

Wasomi sana Tanzania hii ni Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa.

Wameru na waarusha pia si haba kielimu

Ila All in All, majengo makubwa mengi ya kwanza ya Arusha yalijengwa na wenyeji kutokana na kilimo cha kahawa chini ya (ARCU) na wamasai wa mgodini.

Hata kama elimu hawana ila ni wapambanaji wa namna nyingi na maendeleo yanaonekana.
 
In the same spirit, we Tanzanians, will be right to vote for a northerner as they call themselves for presidency?? Guess what will be the result if such a thing happened??? Today as they said, dominated business field, educational institutions, high gvt posts and not only that they went far to dominate even religious institutions. Worse enough, they tend to pull each other to occupy a very sophiscated posts for instance in TRA or Bandari without forgetting also institutions such as police, prisons etc.
 
Pomoja na kupata Elimu watu wa Kaskazini walipoingia madarakani hawakuwa Waadirifu ktk kugawa vipaumbele vya Serikali kwa kuangalia sehemu nyingine za nchi,,

Wengi miradi mingi ya maendeleo waliikimbizia kwao kaskazini huku wakiacha mikoa ya kusini ikidirora,,
Utaona wakina Msuya walisambaza Umeme kwao Mwanga hadi vijijini lakini mikoa Kama Lindi na Ruvuma ikiwa haina Umeme wa uhakika.
Kwa kuwa sasa mnajivunia mafanikio yenu ya kuliibia taifa hili basi hatutegemei kusikia mkilalamika pale miradi ya maendeleo ikipelekwa katika kanda zingine,,

Maana tayari mmesha anza kulalama kwa ujenzi wa Chato International Airport.
Sasa mtulie tuendeleze kanda mnazozimea sasa ili zifanane na nyie.
Kwani tumelalamika jombaa kamfano kadogo tu kuna mkoa mmoja walikuwa wakitumia mitumbwi na vipantoni vidogo kuvuka kwenda kwao wakaja kujengewa daraja la kisasa na wa kwao badala ya kushukuru wakaanza kulalamika kwa kukosa hela na kuanza kuharibu miundo mbinu yake sasa unapoweka kitu uangalie na watu waliokizunguka jee watakitendea haki?
Yaani kukitumia ipasavyo sie Kilimanjaro tunajua kuzitumia fursa nyie laleni mkija kuamka mtamkuta mwana si wenu kalagha baho fanyeni kazi acheni majungu na fitna na kucheza ngoma.
 
Huku pwani tunakamsemo kana semwa na wahenga kwamba,, usimwamshe aliye lala, utalala wewe,, pia upo msemo mwingine unasema ,, wa kwanza so ajabu kumkuta kawa wa mwisho,, yote yanawezekana Chini ya jua.

Na kwa hizi tambo zenu,, ndiyo maana Wenye akili wameapa kwa mizimu yote kwamba Haitatokea nchi hii Rais atokee huko.
Maana majivuno yenu yamepità kiasi,, mnapenda kutufanya Watanzania wenzenu hatuna Akili ila nyie ndo mnaakili..
Tulieni hivyo hivyo,, Hapakuwa na dola yenye nguvu Kama ile ya Warumi,, sasa Roma si chochote tena mbele ya uso was dunia.
Nani alijua kuwa Amerika au Urusi,, ndo wangeshika hatamu ya Dunia kwa kipindi hiki?
ACHENI MAJIVUNO NA UKANDA WENU KUWENI WAZALENDO HII NCHI NI YETU WOTE.
 
Labda kama Mnaijua kesho lakini kama hujui kesho itakuwaje tulia huu mchezo hauhitaji hasiraaa
 
Weweee nawe peleka ushetani kule kasome maandiko vizuri ndani Ya Biblia Takatifu imekatazwa kunywa damu ya kiumbe chochote chini ya ardhi kinyume cha hapo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu ama kweli disco limeingia mmaasai
Mbona ni mavampire na mazombie ndio utaratibu wao huo watu wasio na Mungu kula damu ndio jadi yao
 
Ni ndu wa kanyi huyo Mnama,
 
Kisusioooo...!!! hapa waswahili umewaacha mbalii mnama
Mkuu kuna kisusio cha Nguruwe ! Sema hiki ukimaliza kikombe kimoja moyo unakuwa kama unataka kuacha mwili..

[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Weweee nawe peleka ushetani kule kasome maandiko vizuri ndani Ya Biblia Takatifu imekatazwa kunywa damu ya kiumbe chochote chini ya ardhi kinyume cha hapo ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu ama kweli disco limeingia mmaasai
Mkuu hujaambiwa unywe! wewe soma post pita hivi...

Huku kaskazini kila mtu anagonga..!
 
Mbona ni mavampire na mazombie ndio utaratibu wao huo watu wasio na Mungu kula damu ndio jadi yao
Kaskazini kuna mavampire kweli...si unaona Baba J katufukuza hata TRA...kule nako tunapiga uvampire pia..
 
Huku pwani tunakamsemo kana semwa na wahenga kwamba,, usimwamshe aliye lala, utalala wewe,, pia upo msemo mwingine unasema ,, wa kwanza so ajabu kumkuta kawa wa mwisho,, yote yanawezekana Chini ya jua.

Na kwa hizi tambo zenu,, ndiyo maana Wenye akili wameapa kwa mizimu yote kwamba Haitatokea nchi hii Rais atokee huko.
Maana majivuno yenu yamepità kiasi,, mnapenda kutufanya Watanzania wenzenu hatuna Akili ila nyie ndo mnaakili..
Tulieni hivyo hivyo,, Hapakuwa na dola yenye nguvu Kama ile ya Warumi,, sasa Roma si chochote tena mbele ya uso was dunia.
Nani alijua kuwa Amerika au Urusi,, ndo wangeshika hatamu ya Dunia kwa kipindi hiki?
ACHENI MAJIVUNO NA UKANDA WENU KUWENI WAZALENDO HII NCHI NI YETU WOTE.

Sasa nyinyi mmewashambulia weeee. Yaani mmebakiza kuwaita mashetani tu - lakini kila jina baya lingine lolote mmeshawaita.

Wanakuja kujibu kwa kusema kuwa mmekosea mnataharuki na kusema majibu yao ni majivuni. Mfanyweje?
 
Mkuu kuna kisusio cha Nguruwe ! Sema hiki ukimaliza kikombe kimoja moyo unakuwa kama unataka kuacha mwili..

[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ukitaka kukata roho dakika 0, kunywa kisusio cha nguruwe na mayai mawili ya kienyeji
 
Ukweli ni ukweli tu.ila missionaries waliwatoa tongotongo pia.lakini kusini na visiwani akaa!siye madrasa tu zinatutosha elimu za kizungu za nini?kwanza zinaharibu uzazi.
 
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"

Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.

Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!

Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.

Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.

Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900

SASA TUKIACHA ERA HIYO:

Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)

Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-

1) KUJALI ELIMU

Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k

Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU

Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904

Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.

Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.

- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.

* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.

Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.

Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.

* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.

Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.

2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI

Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.

(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)

3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA

Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.

Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.

Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)

Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.

Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.

Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Angesema MHAYA mngeanza kupiga ndulu hapa kuwa wanajosifia!!! Heko by the way kwa mababu
 
Back
Top Bottom