Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

"Achana na ushamba wa kutaja majina ya watu hapa, huyo rafiki yako yuko tayari kuthibitisha hayo unayoyasema?, utashitakiwa kwa defamation mbumbumbu we"




Hahahahahaha......sasa huyo mtajwa unaona jina kubwa wewe kenge kweli anatajwa mzee wa msoga atakuwa huyo mbeba box
 
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!

Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....

Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!


najivunia utanzania wangu. bravo!
 
Sahihi kabisa Mkuu, Amewabagua wapemba kama vile si binadamu wanaopaswa kuajiriwa NSSF endapo wana vigezo vilivyotimia. Mleta mada kadhihirisha chuki + ubaguzi.
Nenda wewe ukaajiriwe Pemba/Unguja halafu uje hapa utueleze..
 
Kwani Ugomvi wote huu wa nini?, Subirini mtu kutoka kanisani, apewe nafasi pale maisha yaendelee!
Hivi najiuliza laiti Kikwete angeunda baraza la Mawaziri lenye waislamu wengi kuliko Wakiristo au Makatibu wakuu Waislamu wengi kuliko Wakiristo nchi hii ingetawalika kweli?

Lakini hayo yakifanywa Vice versa na watawala wengine, Wote kimyaaaa this time wanasema eti "kwani tunachagua dini ya mtu au weledi na uchapakazi wake?"
 
Huyu jamaa mbaguzi.

Ninanukuu "Dr amejaza hadi wapemba"

Sasa mkuu mpemba sio mtanzania?

Wewe ulitakiwa ulete evidence kwamba kuna Mpemba pale idara fulani ameingia kimagumashi hana vyeti. Kuna muislam pale ni Director amepewa kwa upendeleo.

Bado naona hamna evidence ni kulialia tu!
 
Kuna watu wakiona dini zao zimeguswa wanapanic vibaya sana. Swala hapa siyo dini kama dini bali dini na uwezo walau viendane basi! Hili la kufilisika kwa NSSF nakubaliana nalo. Watu wanahitaji fedha zao toka desemba (wengine naskia ni wa siku nyingi) lakini hadi leo hii wanazungushwa. Wangekuwa na hela wangezungusha watu?
We mgalatia una matatizo makubwa.

Hapa mleta mada kumshambulia Dau kwa dini yake wala sio kwa utendaji wake.
Hivi unaona sawa mleta mada kuhoji kwanini wapemba waajiriwe na nssf???

Kwani wapemba sio watanzania???

Kwa chuki zenu ndio mmefanya nchi yetu iwe nyuma mpaka leo, mnawabagua waislam halafu mkipewa nafasi hakuna la maana mnalo fanya.

Tangu nchi hii ipate uhuru nyie ndio mnaoongoza kwa kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, mmeifanyia nini cha maana nchi yetu???


Zaidi ya kuiba na kudhulumu???

Halafu ndio wakwanza mnapiga vita kila muislam anae pata nafasi serekalini tena bila sababu za msingi.

Tutakula na nyie sahani moja mpaka kieleweke. Mambo ya kusema waislam hawajasoma ni zamani, sio sasa.

Ni mapambano mwanzo mwisho mpaka muelewe hii nchi sio mali yenu pekeyenu bali kila Mtanzania ana haki sawa bila kujali dini, kabila, jinsia au rangi yake. Nyambaffff.
 
Unataka Kutazama UDINI?
Hebu tazama WAGALATIA walivyojaa Hapa Nchini. Halafu uone nani MWIZI wa Fadhila anaeimaliza Nchi Hii.

bdfdcb25cca7f7795cf8e56bcca64c66.jpg
840a1430f4ac4363efb25c4489b42567.jpg

24caddb6eaf6141edbd1ce14dda6ae31.jpg

c5efcbe9ef4d65414bf5006730f20cdf.jpg

eb030d0916686e5bc552ae7af4a84025.jpg


Umeona LAANA HIO?

Halafu watanzania wanajiuliza KWANINI NCHI YETU MASKINI.

Jibu liko hapo Juu.

Wagalatia WANAMALIZA NCHI.


Unaweza kupendelewa kuwa Mkurugenzi wa NSSF AU PPF lakini huwezi kupewa ukurugenzi wa Muhimbili AU viwango AU mkemia mkuu Kama wewe Sio bingwa kwenye fani husika ......na Kama mjuanyo hizo kozi ngumu watu wanazikimbia......huwezi fananisha na pdh ..inayotokana na BBa AU Bcom ,MBA etc ..
 
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!

Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....

Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!

DAH UMEMALIZA, WENYE HUSUDA WAMEKAA, NA WAJE NA NYUSUDA ZAIDI TUWAONE
 
Unaweza kupendelewa kuwa Mkurugenzi wa NSSF AU PPF lakini huwezi kupewa ukurugenzi wa Muhimbili AU viwango AU mkemia mkuu Kama wewe Sio bingwa kwenye fani husika ......na Kama mjuanyo hizo kozi ngumu watu wanazikimbia......huwezi fananisha na pdh ..inayotokana na BBa AU Bcom ,MBA etc ..
Sasa ndio umeandika nini hapa?

Hii inahusiana nini na WAKRISTO kupewa UONGOZI wa Nyanja Karibu ZOTE nchini?

Nyie ndio mtakaotuletea Umwagaji wa Damu hii nchi.
Endeleeni kuimaliza hii nchi.
 
Mnamzungumzia Dau yupi?

Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?

Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?

Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?

Dau yupi huyo?


DAH..!! mkuu tuwekee japo picha wa huo uwanja wake huko kigamboni.


Hilo la mshahara utuwekee ushahidi walau tujiridhishe.

hilo la kumkodia ndege mwanae ndege ukituweke ushahidi utakuwa umeitendea haki elimu yako.
 
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.


  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.


KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.


KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.



RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Duh,, umesomeka mzee kumbe hali ilikuwa ni JIPU,,la ukweli huyo mzee.

Sasa ipite timu ya kuwakagua hao Wapemba wke tuone kama wana sifa za kuwa hapo.
 
W
Acha uongo wa namna hiyo,unafikiri utaishi milele dunia hii? Unashuhudia uongo wa namna hiyo ili ufurahishe jamaa zako
Wallah mungu anajua huu ukeweli ningekuwa na sm yake ningekupa na pia wengine tulosoma nao pia walipata kazi tena wengi wao vihiyo darasani
 
Nenda wewe ukaajiriwe Pemba/Unguja halafu uje hapa utueleze..
Lol !! Kwa Imani yako, Geuza shavu la pili !!, au is it fair to you ubaya uurudishe kwa ubaya? by the way Wapemba ni Watanzania wana haki ya kuajiriwa popote pale katika hii Jamhuri ya Muungano wa Tz.
 
Huyu hata huo Ubalozi avuliwe, maana hamna namna Sasa, kwa uzo huu, hastahili heshima!
 
Ingependeza kiuandishi kama ungebalance stori yako kwa kuongelea pia mazuri yake halafu ukaacha wasomaji wapambanue.Lakini thread yako inamlazimisha msomaji akubaliane na unachi kiamini,alkini unampa kazi ya kujiuliza ,`je mtu huyu hana mazuri alio yafanya`? kazi ungeifanya tusingepoteza mda.
Mkuu hata asingeeleza mazuri ya Dau bado angekuwa sawa tu sema ameeleza hayo kidini tu na sio kiutendaji. Narudia Dau ni binadamu anaweza kufanya makosa kama mtu yeyote na sina sababu ya kumtetea kwa mapungufu yake. Shida hapa ni kuwa kila mahali ni udini wa dau ndio tatizo na sio uwezo wake.
 
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!

Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....

Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!


Tatizo NSSF it was a deliberate move, bila ya kuzingatia vigezo Na masharti, hapo ndipo jipu lilipoivia
 
Back
Top Bottom