Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Acha kutoka povu mkuu utakuwa na wewe ulikuwa unasubiria ajira ya kimemo pale Nssf...tatizo mkiambiwa ukweli mnatoka vipi mkuu facts zako zipo wapi labda nitakuamini aiseee

"Mimi niko Sector binafsi tuna believe Performance na sio majungu, uvivu, ufisadi kama uliojaa serikalini " all need to change or be changed may 1% or less could be OK
 
W

Wallah mungu anajua huu ukeweli ningekuwa na sm yake ningekupa na pia wengine tulosoma nao pia walipata kazi tena wengi wao vihiyo darasani
Wagalatia mna laana, m'memdhulumu mpaka Mwenyezi Mungu kwa kuabudu masanamu !
 
Na wewe ulipata kazi hapo ulipo kwa udini sio!
Hahahahahahaha...mkuu sijawahi kubebwa maisha yangu kwenye toka nimefanya field second & third year jamaa wakanikubali nimemaliza nikaenda kufanya kazi hapo hapo mkuu wazungu wanaheshimu kipaji cha mtu
 
Kabla ya kuunda tume,,mtoa mada angetuletea ushahidi wa hizi tuhuma.

Mashirika na taasisi zote za serikali zinahitaji special audit majipu yamejaa mpaka kwenye sehemu za siri za mashirika na taasisi za serikali zote. Haijalishi dini, kabila au rangi za wakuu wa mashirika hayo wote ni majipu matupu, kuna ufisadi, ajira za upendeleo wa dini, kabila au zone ktk taasisi na mashirika yote ya serikali yetu. Ili tuende mbele kama Tanzania tunahitaji soluhisho la jumla la taasisi na mashirika ya serikali na sio kuangalia moja tu, tutakuwa wafinyu wa mawazo. Tunamuomba JPM atumbue majipu every where ili tupate maendeleo.
 
Unaposema kaharibu shirika lazima useme ni kwa vigezo gan hasaa.

Hakuna pension fund Tanzania hii inayoifikia Nssf kwa Assets na financial stability

Kama ipo nitajie.

Nssf is leading pension fund is and central Africa sasa unasemaje jamaa kaharibu shirika?

Tokea umeanza kuiskia Nssf ikitamba hadi ukapata jeuri ya kusimama na kunyoosha vidole ni kwa sababu ya good management under Dr Dau.

Na kuhusu udini nakuuliza umefanya lin sensa ukabaina waislam ni wengi kuliko wakristo?

Na huko kwingine mlikojaa wakristo tupu je ni nin siyo udini?

Nchi hii wewe nani kakuambia ni mali ya kanisa?
wanaonufaika na huyu jamaa utawajua tu through their defensing point, huyu jamaa bwana kaharibu shirika wala hatutaki kumung"unya maneno, ingawa mtoa maada kakosea kidogo kusema wamejaa wapemba, hilo siliafiki, nao wana right ya kuajiriwa kama watanzania wengine, ila hilo la udini na ubadhirifu ni true story, tunasubiri tu jipu kutumbuliwa, nyie mjipe moyo tu wa kumtetea lakini ukweli ndiyo huo
 
Sasa unatokwa povu la nin?

Kama ukweli unakuuma waache watu waseme

Achana na Nssf tunakuja kwenye hayo mashirika mengine ambayo nyinyi wainjilist mmejazana mnatumia vigezo gan kupeana ajira kama siyo kwa kusema bwana yesu asifiwe?

Sasa kwa namba ndogo mliyoiona Nssf ni ushahid tosha kuwa kuna dhamira ya dhati kabisa ambayo waimba kwaya mmeidhamiria kuigeuza nchi hii kuwa ya kanisa.
acha kutokwa na povu uovu hauhalalishwi na uovu mwingine tunaongelea nssf kama una data za mashirika mengine lete, jibu hoja alizoleta mleta mada au unataka kuhalalisha issue ya kwamba na sisi tunajazana hapa kwa vile nyie mnajazana kule? jibu hoja alafu anzisha uzi wako wa shirika unalolijua liko ivo kinyume chake sasa
 
Shetani kaumbwa na Mungu ninae muabudu mie ! ....... na rafiki zake ni Wagalatia maana kila siku wanaungana Kanisani !
Shetani mnamuabudu kila uchao eti swala tano wakati huohuo mnajitoa mhanga na kugeuza watu kinyume na maumbile laana nyie
 
Kwenye mashirika kibao ya Umma ikifika Chrismass watu wanatundika miti ya Christmass maofisini na mengine hadi kutumia pesa za umma kununulia kadi, Haya mambo yanafanyika katika nchi ya Kisecular lakini hawa wadini hawayaoni, Laiti ndo ingekuwa Waislamu wanafanya hayo, Pasingekalika nchi hii kwa kelele
 
Kwa hapo NSSF kuna Injinia mmoja anaitwa John Msemo ndiye Meneja Miradi huyu jamaa amejinufaisha na pesa za mfuko huo kwa fujo, amejenga majengo yenye gharama kubwa ya kwake anamiliki hoteli kubwa ya kitalii ipo Makumbusho inaitwa Safina hotel & Apartments vyombo vya dola fanyeni uchunguzi wa kina juu ya utajiri wakutisha wa huyu meneja wa miradi wa NSSF na sasa anajenga tena jengo jipya pale ambapo palikuwa panamilikiwa na Break point eneo hilo alilinunua kwa thamani kubwa ya pesa zaidi ya Billion 1 na zaidi na pesa ililipiwe nje ya nchi, sasa jiulizeni amepata wapi pesa nyingi namna hiyo kiongozi anayelitumikia shirika linalojiendesha kwa kutegemea michango ya wanachama kama siyo pesa za ten% za miradi au uchakachuaji wa thamani halisi ya miradi inayojengwa na shirika?????????? kwenye mashirika haya kuna majipu mazito sana tena yamejaa usaha mweusi sio mweupe kama tuliouzoea.
 
Ach

Acha uswe...... Kwani kuna alowanyima kuweka miti na kadi za idi au kwa vile hazina mvuto kwa kuwa unaabudu majini hahaaaa
 
Kwa hapo NSSF kuna Injinia mmoja anaitwa John Msemo ndiye Meneja Miradi huyu jamaa amejinufaisha na pesa za mfuko huo kwa fujo, amejenga majengo yenye gharama kubwa ya kwake anamiliki hoteli kubwa ya kitalii ipo Makumbusho inaitwa Safina hotel & Apartments vyombo vya dola fanyeni uchunguzi wa kina juu ya utajiri wakutisha wa huyu meneja wa miradi wa NSSF na sasa anajenga tena jengo jipya pale ambapo palikuwa panamilikiwa na Break point eneo hilo alilinunua kwa thamani kubwa ya pesa zaidi ya Billion 1 na zaidi na pesa ililipiwe nje ya nchi, sasa jiulizeni amepata wapi pesa nyingi namna hiyo kiongozi anayelitumikia shirika linalojiendesha kwa kutegemea michango ya wanachama kama siyo pesa za ten% za miradi au uchakachuaji wa thamani halisi ya miradi inayojengwa na shirika?????????? kwenye mashirika haya kuna majipu mazito sana tena yamejaa usaha mweusi sio mweupe kama tuliouzoea.

Hahahahaha....mkuu kuna watu watakwambia lete data mimi kuna kitu niliongea kuna upuuzi mmoja kasema lete data husitaje majina ya watu ifike muda kama tunataka changes hakuna haja kuoneana aibu
 
Kwa hapo NSSF kuna Injinia mmoja anaitwa John Msemo ndiye Meneja Miradi huyu jamaa amejinufaisha na pesa za mfuko huo kwa fujo, amejenga majengo yenye gharama kubwa ya kwake anamiliki hoteli kubwa ya kitalii ipo Makumbusho inaitwa Safina hotel & Apartments vyombo vya dola fanyeni uchunguzi wa kina juu ya utajiri wakutisha wa huyu meneja wa miradi wa NSSF na sasa anajenga tena jengo jipya pale ambapo palikuwa panamilikiwa na Break point eneo hilo alilinunua kwa thamani kubwa ya pesa zaidi ya Billion 1 na zaidi na pesa ililipiwe nje ya nchi, sasa jiulizeni amepata wapi pesa nyingi namna hiyo kiongozi anayelitumikia shirika linalojiendesha kwa kutegemea michango ya wanachama kama siyo pesa za ten% za miradi au uchakachuaji wa thamani halisi ya miradi inayojengwa na shirika?????????? kwenye mashirika haya kuna majipu mazito sana tena yamejaa usaha mweusi sio mweupe kama tuliouzoea.

Mkuu haya mahayawani yamelimaliza shirika,mijengo yote makumbusho ni pesa za Nssf,huyu msemo anaishi hotelini kwa sababu vijana wa kazi wanamtafuta,akishirikiana na huyo firauni kutaka kumuua alokuwa bosi wake kabla hajateuliwa,na wakifanywa hivyo kwa kuwa waliokosa sababu ya kumuondoa na pia waloshindwa kuiba kupitia kwake,ni Jirani yangu na sasa wamemuachisha kazi maana walimuumiza ubongo,hawa jamaa ni masheitwani
 
Katika hao wezi Nssf kuna wengine wawili,mseli na kidula hawa pamoja na dau na msemo ndo waizi Nssf hadi kufikia ukishindwa kulipa wanachama na hata mshahara wanakopa benk au kuuza hisa,magufuli usionee aibu hii mijitu finga yote,kuna DHRA huyu ajira zote feki na za upendeleo ndo kazi yake,atashinda kwa masangoma lakini kwa jina LA yesu hamtamuweza magufuli na mshindwe na kulegea
 
Sometimes shallow minded people should desist from contributing issues. This guy has laid facts bare.Given the fact that he is from within why should we doubt him?The govt should carry out staff audit,including investigating how employment opportunities were offered.
Kumbe kuajiri wapemba ni kosa la jinai hapa tz???
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Kuajiriwa wapemba NSSF ni jambo la kufatiliwa na usalama?? Then mnajitia unafiki kumsapoti Maalim Seif wakati mnakerwa ndugu zake kuajiriwa baea
 
Back
Top Bottom