Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Tanesco..Tra..Pspf..Lapf..Gepf
Ewura..just to mention but a few of them wamejazana waimba kwaya na wakristo utadhan kuna misa za maombi stil hawaon na hawazungumz kuhusu udini..

Nssf kuongozwa na DG Muislam na kuonekana baadh ya waislam wanaojitambua kuwapo huko imekua nongwa...kutwa kucha mapambio ya chuki na mahubiri ya uhasama hayakomi.

Hamtaki waislam waajiriwe huko mnataka nan sasa waajiriwe?

Nchi hii kwan ni mali ya kanisa?

Na kikubwa zaid ni kwamba mbona mmejazana sana huko na hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi?
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Acha kuwa empty minded na kujitia ujinga kwa makusudi, Huo ukweli mkubwa unaouna ni upi, uthibitisho wa udini wa Dr Dau uko wapi? Je kushuka kwa ufanisi na ubadhirifu? Sefue kashindwa kuthibisha haya akapigwa chini! Huo ukweli unaouona wewe uweke hapa!!
 
Najiuliza kama Baraza la Mawaziri Lingekuwa na Waislamu wengi zaidi, hawa wadini sijui wangenunaje?
Au Makatibu wakuu kama Majority wangekuwa Waislamu Hawa watu wangefura namna gani?
Au Wakuu wa Mikoa wengi wangekuwa ni Waislamu, hawa wenye chuki kali wangevimbaje?
Najiuliza laiti Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma wangekuwa wengi ni waislam hawa watu wangeumiaje?
Au Tuseme kwa mfano wakuu wa Wilaya laiti Majority wangekuwa ni Waislam hawa watu wangesononekaje?

Katika nchi hii Nafasi Nyingi nyeti zimekaliwa na Wakiristo, Waislamu ni wa kuhesabuhesabu sana, lakini je Hata hao wachache bado roho zinawauma?, Je hii ndiyo Tanzania mnayoitaka?, kwamba Wawepo watu ambao wako Entitled kupewa nafasi kwa sababu wanaitwa Peter, John, Samwel, Benedict, Lakini jina likishakuwa Muhammed, Ally, Said hao wawe ni wananchi second class na kwamba hawatakiwi?

Tuna kazi kubwa ya Kuliponya Taifa kutoka katika mawazo ya kipumbavu kabisa kama haya
Hivi nchi hii wakati tunapigania Uhuru, Wazee wa Kiislamu walipigania Uhuru ili waje wawe Second class Citizens katika nchi yao wenyewe?, Kwamba wao wawe wanaangaliwa kwa Suspicion kila sehemu walipo?

Hii Roho mbaya na Ukatili wa Kidini vinatoka wapi?
 
Nani kakuambia Crdb ya uma,ona mlivyo na akili finyu

Sasa kama CRDB siyo ya umma ndiyo haki ajira mpewe wakristo pekeee?

Kwani ni shirika la dini hilo?

Na kwa taarifa yako Serikali ina hisa kubwa hapo Crdb kuliko pande yeyote ile...

Thats why inaegemezwa kwamba ina percent kubwa ya ushirik wa umma..

Enhe iweje sasa huko muajiri waimba kwaya wenzenu tuh?

Hivi mna nin nyinyi?
 
Huwez kuiweka kando hoja ya udini..

Hizo hoja zake zoote ni hoja mama...lazima tuzidiscuss zoote.

Na anaposema kuhusu hoja ya ubadhirifu inapaswa aweke na uthibitisho na siyo kupiga ramli...

Na pia anaposema kuwa Nssf ina underperform anafanya comparison na pension fund gan?

Au anaongea tuh kama. Bata.

Hizo chuki zao za kidini safari hii tutadeal nazo perpendicular..!

Waimba kwaya wamejisahau sana na kudhan kwamba kanisa ndilo lenye hati miliki na nchi hii..

Hii Notion inabid iondoke kichwan mwao na after all hakuna walichokifanya kwa taifa hili zaid zaid ya wiz na ufisadi tuh.
Sawa Muimba Kaswida nimekuelewa...

Tuliweke hilo la udini pembeni...Jamaa amekosea sana kulitanguliza hilo la udini..Hajafanya vizuri...

Tujadili haya ya 1. UFISADI, 2. KUSHUKA KWA UFANISI na 3. KUONGEZEKA KWA GHARAMA ZA UENDESHAJI..

Tukiacha hisia za udini pembeni...Hauoni umuhimu wa kuyajadili haya?
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Nyie ni wabaguzi na wadini ndio mana hata chadema imekufa
 
Mnaangalia watu kibaguzi kishenzi na kihusda. Dr Dau ni clean. Tatizo lake ni imani yake. Kila alipo muislam mnanuna na kufitini as if nyie ndio wenye miliki na haki ya kuishi peke yenu.
huo uclean wadau umeharibiwa na udini wake,ufisadi,project zisizo na tija kwa taifa na matumizi mabaya ya public office.
 
Huwezi kukemea udini kwa kutumia udini. Kwa mwendo huu hatutafika. Dawa ni kukataa kujadili post za udini JF. Tuwashauri wanaopenda sana kutumia dini zao, wakajadili ajenda zao makanisani au misikitini.
 
Imekuwa mazoea Tanzania kila mkuu akiwa Muislamu lazima kuwe na tuhuma za udini. Lau Maghufuli angekuwa Mwislamu by now watu wangekwishaanza kumtuhumu kwa udini kutokana na uajiri aliokwishafanya hadi sasa. Bahati ni Mkristo!
Hii nchi ina matatizo makubwa kweli kweli. Mtu ushasikia anaitwa Dr Saad, bado waona Saad tu huoni Dr!
 
Hili la majengo hapa Arusha ni jambo la kweli kabisa yapo majengo mawili moja lipo mkabala round about Kaloleni halina wapangaji 95% na lingine lipo mkabala na Christ church halina wapangaji kabisa yaani hadi unashangaa hizi fedha zetu zinavyochezewa.
Hili ni la kweli kabisa mkuu,hivi sababu ni nini kwanini hakuna wapangaji mle?
 
Sijawahi kuona Wakirto wana roho za husda na za kibaguzi kama wa Tanzania wao wamejazana kila idara serikalini mashirika ya umma, karibua wizara zote wamejaa Wakisrto watupu lakini wao wanaona sawa wala neno udini alitumiki lakini wakiona Muislam mmoja tu kapewa nafasi serikalini mnaita udini tafsiri yenu udini mnamaanisha Uislam daaha!!!
Ingawa nakuunga mkono kwa hili andiko lako 100% ila msimamo wako kiujumla haueleweki. Teuzi za bwana JPM ni totaly biased ila always uko kimya
 
Zaidi ya Udini ambao naona watu wamejikita(nadhani mtoa mada alikosea hapa, hasa namna alivyowasilisha)...

Kuna ishu nyingine amezizungumzia ambazo ni:

1. UBADDHIRIFU
2. KUSHUKA KWA UFANISI na
3. KUONGEZEKA KWA GHARAMA.

Nadhani watu wangeachana na hilo la Udini na kujikita kwenye hayo matatu..Suala la kuunda Tume ya uchunguzi ama kufanya ukaguzi maalum (special audit) kama ilivopendekezwa na mtoa mada ni la muhimu sana...Matokeo ya haya yataondoa figisufigisu na umbea wote uliopo sasa...
mkuu kwenye hili hakuna umbeya,sababu mtoa mada nimtumishi wa nssf anayajua mengi na mengi ameyashuhudia.,,,,inshu ya kuajili watu kwa muktadha wa dini ni janga kubwa kuliko hata ubadhirifu.
 
Sikia wewe muimba kwaya.

Mwambie huyo mwenzako aje na facts...

Anaposema kuhusu assets tumemwambia hapo juu kwamba according to data from Nssf website kipind Dr Dau anaingia assets thaman yake ilikua ni 170B na hiv sasa had ameondoka assets alizoacha thaman yake ni 3 Trillion na ushee je ufanisi umeongezeka au umeshuka?

Kipind Dr Dau anaingia Nssf no one used to know Nssf lkn until Dr Dau anaongoza Nssf is leading East and Central Africa...sasa unawezaje kusema kwamba utendaji wake haukua na tija?

Na kama alikua jipu iweje president magufuli asimwajibishe na badala yake amteue nafas nyingine zaid?

Amehofia nin kumtumbua?

Shida yenu waimba kwaya ni chuki dhidi ya uislam na waislam

Swali ambalo mimi nataka wewe unijibu ni hili .

NYINYI TOKEA NCHI HII IPATE UHURU MMEJAZANA HUKO KWENYE SEKTA MBALI MBALI ZA UMMA MPAKA MMEJISAHAU NA KUDHANI NI NYIYNYI PEKEE WENYE KUSTAHIKI KUWEPO HUKO...SASA NAKUULIZA MMELIFANYIA NIN TAIFA HILI MBONA LIMEZID TUH KUWA MASKIN?

NA MNAJIITA WASOMI AU MNACHOJUA NYINYI NI WIZI TUH NA IFISADI?
Sawa Muimba Kaswida nimekuelewa...

Tuliweke hilo la udini pembeni...Jamaa amekosea sana kulitanguliza hilo la udini..Hajafanya vizuri...

Tujadili haya ya 1. UFISADI, 2. KUSHUKA KWA UFANISI na 3. KUONGEZEKA KWA GHARAMA ZA UENDESHAJI..

Tukiacha hisia za udini pembeni...Hauoni umuhimu wa kuyajadili haya?
 
Back
Top Bottom