Wanatengeneza njia za upigaji tu hakuna la zaidi.Hili la majengo hapa Arusha ni jambo la kweli kabisa yapo majengo mawili moja lipo mkabala round about Kaloleni halina wapangaji 95% na lingine lipo mkabala na Christ church halina wapangaji kabisa yaani hadi unashangaa hizi fedha zetu zinavyochezewa.
Yale majengo ni lini yatapata wapangaji wa uhakika kama siyo kiini macho tu.
Huyu Dau ni specie ya JK, ndiyo waliokuwa wanapiga huko.