Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Kwahiyo Ugaidi (Uislamu) ndio dini hapa ulimwenguni?

Uislamu ni zaidi ya Delta Rangers, ni zaidi ya Navy Seals Team Six.

Waislamu ndio snipers wazuri wasiokosa target za innocent civilians wanaowaita makafiri.

Waislamu ndio wajuzi na waelewa wazuri wa mabomu na milipuko yote duniani na namna inavyofanya kazi.

Misikiti ndio armouries kubwa kuwahi kutokea hapa duniani.

Kama hamjui, agenda yao kwa sasa (ni siri sana hii) ni kuwa angalau na AK-47 moja na ammo za kutosha katika kila msikiti hapa nchini.

Musione wanafuga tu yale mavuzi ya chini ya kidevu mukawachekea, ni watu hatari mno.

Waislamu ndio walioleta u-Amber Rutty hapa duniani kwa tamaa zao za kingono na kuoa wake wawiliwawili. **** Islam!

Popote duniani, Serikali za nchi zinawabeba na kuwabembeleza waislamu kwa sababu ni tabaka lisiloenda shule linaloongozwa na mihemko, hivyo kwa kuwalambalamba angalau panakuwa na amani, vinginevyo wanakinukisha muda wowote.

Mfano mzuri: jiulize kwanini Mufti wa nchi na Sheikh wa Mji huu wanatembelea STL na wanapewa Escort wakati Catholic Elites ambao wana influence kubwa duniani wameachwa tu? It is because the latter are wisest of all.

Halafu wamekaa tu kukashifu dini za wenzao wakati hata Mtume wao hakwenda shule, pumbavu. Alisomaje Maandiko? Hatujui, hahahah.

Bora kuwa Mchawi kuliko Uislamu🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umefunguka ya moyoni kabisa inawezekana ndivyo ulivyofunzwa au ndio ukristo unavyofundisha juu ya waislam Tz na dunia kwa ujumla. povu lako kali lenye harufu halijaonesha kama una walau chembe ya kumjuwa Mungu. inaonesha ni mtu unaepanik kwa kwa ishu ndogo sana kama kuna mtu kasema Ukristo sio dini we muwekee andiko tu ambalo linaonesha kuwa hiyo ni dini ya mungu aamini au asiamni kazi kwake ila maneno ulioyotoa bila kumpa andiko haitomsaidia.
ugaidi unaltwa na Americans kimkakati tu ili kutimiza new world order. pia hata Mauaji ya kimbali Rwanda yalichochewa na Kanisa plus media huko CAR nako anti baraka sio waislam wale. jitafakari mkuu acha chuki za kupitiliza Watz ni ndugu
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
Sasa wewe unaamini au unajilazimisha kuamini kwa kuhofia adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mostly of christians do not fear God. Na mleta mada na wengi wanao muunga mkono ni wanaasili ya ukristo na si uisilamu. God is good let mi believe and i will sing this song forever GLORY IS THE LORD. To those who do not believe be warned cautioned and informed accordingly.
Nilifikiri mungu anataka kupendwa na kuheshimiwa na siyo kuogopwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio janga, watu 1.4bn useme janga... kweli wana macho lakini hawataona,masikio hawatasikia, utakufa wewe na uislam unakua kila mwaka, na ndio dini inayokua sana duniani kwa sasa
Halafu hapo hapo unaamini vitabu vyake vinavyokuambia watakaoenda kwa mungu ni wachache na wale watakaoenda njia mbaya ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.

Hapo mwisho amemalizia vizuri
The kingdom of god is within n not without

Haya madini yana wainslave ndugu zetu na wamewanya mazombii..
 
Hahaha
Wameumba mungu kwenye akili zao, alafu wanasema mungu ndio kawaumba.

Ukiwauliza kuwa wana wazazi wao waliowazaa wanakujibu ndio huku wanasema wameumbwa na mungu. Dah! Hii sio BANGI ni nini?
 
Jamaa Walikuwa wanajua kabisa Dini zao ni za uongo
So wakajiwekea defense mechanism mapema ili andapo watatokea watu wakuzipinga Dini zao za uongo ---ionekane kwamba huyo Mungu wa bandia Alisha toa tahadhari mapema
ilinenwa zanma hizi watatokea watu wenye mqwazo km haya na huu ni ushahidi kuw nnaloliamini ni la kweli maana lilitabili hatq uwepo wa watu km ww mleta mada
 
Umesema vyema kabisa
We ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
 
Umesema vyema kabisa mkuu
Kifo si tishio kiasi ufikiriacho wewe, Kifo ni real destination ya kila mmoja aliyekubali kuianza safari ya uhai, Yeyote aliyepo duniani amekubali kufurahia kuishi, na kufa pia.
Ila kundi la watu wachache wametengeneza mazingira na hadithi za kuwapo na adhabu baada ya kufa, ndipo binadamu wa sasa wanakiogopa kifo, huku kiuhalisia hawaogopi kifo, bali imani potofu waliyonayo kuhusu nini knatokea baada ya kifo ndicho halisia wanachoogopa, hivyo usipoogopa kifo, hutakuwa na sababu ya kukizuia pindi natural laws zinapochukua nafasi yake, ni lazima mimi au wewe tufe ili wanaofuata wapate nafasi ya kuishi.
 
Haha
hapo umepinda mkuu, wanaoukataa uwepo wa kiumbe cha kufikirika (god), hawapo kwa sababu kiumbe hicho kipo, HAPANA.
Wapo ili kutengua uongo wa watu wachache waliokiumba kiumbe hicho akilini mwa wenzao kwa faida zao.

Kama gari ipo barabarani na iko physically au hata mentally approchable, who will deny it?
So we deny god only because he/she is not powerful, not able, not approchable and to be precise he/she is a myth.

Kingekuwa powerful and able (kiumbe god) KINGESIMAMA CHENYEWE KIJITETEE BILA KUSUBIRI MSAADA WAKO.

A POWERFUL GOD WITHOUT SELF APRROVAL IS A WASTAGE OF ENERGY AND TIME!
 
Hahahaaaa! Acha uoga mkuu. Hope hoja against Islam unahisi zinamashiko hapo kwa mada. tatizo linakuja kwenye hoja against ukiristo. hiyo haimanishi hapo kadanganya ila ni kwasababu tu wewe unaamini hapo na umeshaset mind yako kwamba unaamini kwenye kweli. unfortunately na Muslim wanaona hoja dhidi ya ukiristo zonaukweli na hoja dhidi ya uislamu ni za uongo.

Sio ukweli ndio unafanya mnakuwa hivyo (Watu wa Mungu) ni imani tu ya uoga mliyopandikizwa!!!!

Hahahahahahaaaaaa!
Exactly kabisa
 
Kwahiyo Ugaidi (Uislamu) ndio dini hapa ulimwenguni?

Uislamu ni zaidi ya Delta Rangers, ni zaidi ya Navy Seals Team Six.

Waislamu ndio snipers wazuri wasiokosa target za innocent civilians wanaowaita makafiri.

Waislamu ndio wajuzi na waelewa wazuri wa mabomu na milipuko yote duniani na namna inavyofanya kazi.

Misikiti ndio armouries kubwa kuwahi kutokea hapa duniani.

Kama hamjui, agenda yao kwa sasa (ni siri sana hii) ni kuwa angalau na AK-47 moja na ammo za kutosha katika kila msikiti hapa nchini.

Musione wanafuga tu yale mavuzi ya chini ya kidevu mukawachekea, ni watu hatari mno.

Waislamu ndio walioleta u-Amber Rutty hapa duniani kwa tamaa zao za kingono na kuoa wake wawiliwawili. **** Islam!

Popote duniani, Serikali za nchi zinawabeba na kuwabembeleza waislamu kwa sababu ni tabaka lisiloenda shule linaloongozwa na mihemko, hivyo kwa kuwalambalamba angalau panakuwa na amani, vinginevyo wanakinukisha muda wowote.

Mfano mzuri: jiulize kwanini Mufti wa nchi na Sheikh wa Mji huu wanatembelea STL na wanapewa Escort wakati Catholic Elites ambao wana influence kubwa duniani wameachwa tu? It is because the latter are wisest of all.

Halafu wamekaa tu kukashifu dini za wenzao wakati hata Mtume wao hakwenda shule, pumbavu. Alisomaje Maandiko? Hatujui, hahahah.

Bora kuwa Mchawi kuliko Uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
I believe that, there’s a power who puts us here in this planet and we are calling him GOD.
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa

Unachanganya kati ya Mungu na Imani.

Uislam sio Mungu wala ukiristu sio Mungu. Learn the difference
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom