jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
sasa wewe iyo ni issue ambayo kisayansi inaelezeka.... huwez kufananisha na binadam ..au nikuulize inawezekana huo msosi ukaoza ikatoke samaki???????? au ndege??????? why atokee funza tu? hiyo ni sayansi inayoelezeka bro.. but it is irrelevant to human creation
hujajibu swali, umejaribu ku generalize, chakula kina rutuba ya kuzalisha baadhi ya viumbe kama funza, minyoo hasa ikiwa tumboni nk, sasa ardhi kabla haijaharibiwa na binadamu ilikuwa na rutuba ya kutosha ya kuzalisha viumbe, mfano binadam, ndege, mimea, ng'ombe, nk mito, bahari, maziwa vivyo hvyo, huo ndio mwanzo wa viumbe vilivyopo, kadri miaka ilivyokuwa inaenda ule uwezo wa kuzalisha ukawa mdogo ndio maana pakaanza kuzaliwa watu wenye mapungufu km vilema nk, na chanzo cha hivi viumbe ni povu ambalo kisayansi ni kama tumbo, vumbi likiwa kama cover ya tumbo, nchi za tropics km africa sababu ya jua kali lile vumbi lilichomwa kuleta hali ya kuungua ndio maana waafrika ni weusi, nchi za ulaya sababj ya ubaridi na barafu wakawa weupe, hata ukichukua nyama ukaiweka kwenye freezer itakuwa nyeupeSent using Jamii Forums mobile app