Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

shika ulicho nacho asije muovu akakunyang'anya.
 

"Science without a religion is the lame, Religion without a science is the blind"- Albert Einstein
 

Ukishafikia hapo tu basi umefikia ukomo wa kufikirisha akili yako!
 
Ukishafikia hapo tu basi umefikia ukomo wa kufikirisha akili yako!

Hapa hakuna hoja uliyojenga nachoona hapa hauko huru kupokea hoja tofaut na kile unacho fikir hata kama huna hoja yyt ya maana

Mm mpaka SASA sjaona MTU yyt alieweza kutoa majibu ya kuthibitisha juu ya kutokuwepo kwa mungu

Ili hoja zenu ziwe na nguvu bas ni vema mukaleta majibu juu ya kauli hiz za mwenye mungu TENA kauli zenyewe zimetamkwa karne nying zilizopita wakat hakuna maendeleo ya elimu kama ilivyo sasa

Cha kushangaza mpaka SASA wamepita wataalamu mbalimbali wanasayans waliobobea maprofesor n.k lkn hakuna alieweza kuja na njia mbadala

Mfano mwenye mungu anasema ndan ya kur an (sikuwapa elimu binaadamu ispokua ni kidogo tu.) kwa kauli hii hapa mwenye mungu anatuonesha upeo wa ufahamu wetu ni mdogo hivyo mambo meng hatuyajui kauli hii bado inafanya kaz mpaka Leo mpaka sasa hatuna majibu ya mambo mengi

Kauli nyingine ya mwenyez mungu anasema (vyote vilivyomo mbingun na arizin yy ndio ameviumba) mpaka SASA hakuna aliepinga kaur hii kwa kuja na jibu mbadala kuja na chanzo kingine cha asli ya vitu vyote

Pia kauli nyingine mwenyez mungu amesema (kila kiumbe lazima kitakufa) mpaka SASA hakuna aliepinga kauli hii viumbe wote tunatii

hapa inaonyesha huyu alietamka kauli hiz yy ni mjuz zaid yetu isngewezekana MTU adanganye watu tokea karne hizo zilizopita alafu uwongo huo mpaka SASA ukose majibu

Pengine mulichotakiwa kusema ikiwa mnasema kauli hiz zilitungwa na watu lazim mukubar watu hao ni bora zaid kielim kuliko nyinyi kwan wamedanganya watu zama zao mpaka SASA zama hiz za sayans hawana majibu mbadala

SASA kutokana na hoja hiz wale wanao dai kuto kuwepo kwa mungu wanatakiwa kuja na majibu ya kauli hizo hapo juu

Mi naona mpaka SASA sijaona hoja yyt ya maana ya kuthibitisha ya kutokuepo kwa mungu mbadala YAKE mnakuja na hoja nyepes na bla blaa pengine hoja yenu kubwa ni mmoja tu munayo ng'ang'ania munasema je kama yy mungu ndio ameumba kila kitu kabla ya kuumba vitu hivyo yy alikua wap au yy katokea wap

Swali analijibu yy mwenye we mwenyez mungu pale aliposema (sikukupeni elimu ispokua ni kidogotu) hivyo ss pamoja na nyinyi tunakir kua kuna mambo meng hatuna elimu nayo ikiwa ni pamoja na chanzo cha mola wetu
 
Last edited:
Tumezichoka hizi ngonjera zenu! 🙂
 

How can you prove a negative?
Wewe unayesema yupo ndiyo unayetakiwa kunithibitishia mimi nayesema hayupo, unipe uthibitisho ili niamini kuwa yupo. You cant use the bible as a proof of god's existence, it is illogical, ukizingatia biblia kitabu hicho kiliandikwa na watu walioshindwa kujua hata umbo la dunia.
 

Big up Mkuu Rene Jr
 
Yakobo 5:16, yohana 20:22-23
 


Uislamu ni dini yachuki na kuua watu

Kama uislamu ingekuwa dini ya chuki na kuuwa,wewe using gekuwa hai mpaka mda huu,Nina hakika umecheza utotoni,umesoma,unaishi na majirani,unatibiwa,umefundishwa na waalimu,umepanda mabus na umeishi miji,ukiwa pamoja na waislamu.
 
Watu mnamaneno aisee
 
Mtu wa kwanza kumbashilia utume Mohammad ni kasisi wa kanisa katoliki na hili kila Mwislamu analijua.. khadija mke wa Muhammad alikuwa mkatoliki, alikuwa ni mjane ambaye alikuwa tajiri sana na alitoa mali zake kwa masista wa kikatoliki na akajitoa kuwatumikia ila walimuandaa na kumkabidhi kazi ya kumtengeneza Mohammad.
Wazo la kuwaletea waarabu mtume wao lilitoka na askofu wa kanisa katoliki aliyekuwa amewekwa kusambaza ukatoliki Afrika ya kaskazini kwa jina anajulikana kama Augustine.
Ni mada ndefu yahitaji muda kujadiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…