we unamjua ama unalalama tu.sisi wana iringa cdm tunamjua haswa ndo katibu wetu .mwenyekiti wa mkoa cdm aliyechaguliwa alihamia ccm mwaka 2010 alikuwa anaitwa dr.kapwani.toka kipindi hicho hatukua na mwenyekiti mpaka mwaka huu mwezi wa pili tulipomkaimisha mh. Chiku abwao .huu ndo ukweli maana mi mwenyewe nilikuwepo kwenye kikao cha mashauriano kilichofanyika makambako ktk ukumbi wa rc.MSIKIMBILIE KUSADIKI MAMBO,JIULIZIE HUYU KWELI NI KATIBU WA CHADEMA IRINGA?MUULIZENI MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA NI NANI?ALIPATIKANA KUPITIA MCHAKATO UPI.....?
NI MUHIMU KUCHUNGUZA KWANZA KABLA HATUJAAMINI MAMBO...watu wametumwa kupoza mambo hapa...kupoteza maana ya Great thinkers.
Mm nipo Huru sina chama..lakini tusisadiki mambo bila kujua ukweli wake.
Fomu ya chama ya Msigwa kuwa Mgombea nilimpa mimi, Mavuvuzela siku ya kufungua kampeni zake nilimpa mimi. mabango ya Dr. Slaa nilimpa mimi na mimi binafsi nimemfanyia sana kampeni wakati akigombea hata yeye analijua hilo. Mkoa wa Iringa hauishii Iringa Manispaa wakati wa Kampeni nilikuwa nasimamia sehemu kubwa sana tukiwa na rasirimali chache lakini na moyo mkuu wa mapambano.
Nimeshiriki Kampeni za Njombe Magharibi na Kaskazini na kwenye Kampeni za jimbo la Kalenga na Isimani kwa njia mbali mbali. Nadhani hizo ni kazi za kila mwana CHADEMA si lazima awe kiongozi. Hata sasa nashiriki kwenye kujenga mtandao imara vijijini kwa kushirikiana na viongozi wa chama wa Iringa vijijni,Kilolo na Mufindi. Hao ndiyo wakiulizwa wakisema kinyume nitastuka.
Halafu mimi sijiiti Katibu wa Mkoa bali ni Katibu wa MKoa wa Iringa na nilithibitishwa na Kamati kuu kuwa hivyo baada ya kushinda kwa kura kwenye uchaguzi wa Mwaka 2009.
Huu ndio ukweli ambao hadi sasa nimesikia kamati kuu wakilaumiana juu ya uteuzi wa Chiku kwenye uchaguzi ule...Bila shaka Tuntemeke alikuwa na hoja...Ningependa sana tupate jibu toka upande wa pili.Naipenda nchi yangu,napenda mabadiriko ya kweliAllen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
Tutemeke tena,
Mgogoro huu hautadumu kitambo, kwa mkoa wa Iringa mpaka Juni mwaka huu utakuwa umejigawa na kuwa mikoa miwili. Iringa na Njombe.
Pia Katibu si uko kwenye baraza kuu naomba uyaongee huko.
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
Huu ndio ukweli ambao hadi sasa nimesikia kamati kuu wakilaumiana juu ya uteuzi wa Chiku kwenye uchaguzi ule...Bila shaka Tuntemeke alikuwa na hoja...Ningependa sana tupate jibu toka upande wa pili.Naipenda nchi yangu,napenda mabadiriko ya kweli
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
MSIKIMBILIE KUSADIKI MAMBO,JIULIZIE HUYU KWELI NI KATIBU WA CHADEMA IRINGA?MUULIZENI MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA NI NANI?ALIPATIKANA KUPITIA MCHAKATO UPI.....?
NI MUHIMU KUCHUNGUZA KWANZA KABLA HATUJAAMINI MAMBO...watu wametumwa kupoza mambo hapa...kupoteza maana ya Great thinkers.
Mm nipo Huru sina chama..lakini tusisadiki mambo bila kujua ukweli wake.
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
Tafadhali ukizaa mtoto usijemwita Tuno temeke ni balaa kwa uongo!!! Katika chromosomes zake nusu ziko 'fake' kwa hiyo atasema uongo tu, ndo maana ni GAMBA LA WAZI WAZITuntemeke ni jina la hovyo sana, ndio maana hata yule mwingine aliporudi toka ughaibuni akampa shida sana Mwl. Nyerere maana alikuwa hataki cheo chochote zaidi ya uraisi na mwishowe akapigwa detention. Ni jina la kipuuzi sana nadhani huyu ni wakufukuza tu hakuna haja ya kuhangaika nae yeyd ni nani kwani, fukuza huyo.