Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Maliza siku zako uridi tena,haitopendaza kuongea na ww ukiwa unajanaba TUNTEMEKE
 
MSIKIMBILIE KUSADIKI MAMBO,JIULIZIE HUYU KWELI NI KATIBU WA CHADEMA IRINGA?MUULIZENI MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA NI NANI?ALIPATIKANA KUPITIA MCHAKATO UPI.....?
NI MUHIMU KUCHUNGUZA KWANZA KABLA HATUJAAMINI MAMBO...watu wametumwa kupoza mambo hapa...kupoteza maana ya Great thinkers.
Mm nipo Huru sina chama..lakini tusisadiki mambo bila kujua ukweli wake.
we unamjua ama unalalama tu.sisi wana iringa cdm tunamjua haswa ndo katibu wetu .mwenyekiti wa mkoa cdm aliyechaguliwa alihamia ccm mwaka 2010 alikuwa anaitwa dr.kapwani.toka kipindi hicho hatukua na mwenyekiti mpaka mwaka huu mwezi wa pili tulipomkaimisha mh. Chiku abwao .huu ndo ukweli maana mi mwenyewe nilikuwepo kwenye kikao cha mashauriano kilichofanyika makambako ktk ukumbi wa rc.

We
 
Hivi Dr.slaa alijibu chochote kwenye ile thread ya Tuntemeke?Kwa sababu kuliuwa na hoja kama 3 hivi ya Uchaguzi wa Iringa<Ya mwigamba na Josephine na Uwepo wa lema kwenye kikap cha halmashauri kuu wakati hana sifa za kuwa mjumbe wa halamashauri kuu.(hoja zote zilijitokeza kwenye kikao cha kamati kuu) ndio maana nataka kujua kama Dr.slaa alijibu hapa
Au MODS wametuzuia hata kujadili hoja zilizobakia?????????
mwenye taarifa anijuze wana JF
 
Hivi chadema ni maksudi hamumjui huyu tuntemeke au nivipi,. Kaka tuntemeke kama slaa anakuboa c uhame ukanzisha chama chako,. Tuachie chadema yetu na tumempenda dk. Slaa wetu,. Hutaki pasuka,. Slaa ndo rais wetu kumbuka bahari haichafuki kwa tone la kinyesi,. Mchumia tumbo wewe tunte
 
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
 
Fomu ya chama ya Msigwa kuwa Mgombea nilimpa mimi, Mavuvuzela siku ya kufungua kampeni zake nilimpa mimi. mabango ya Dr. Slaa nilimpa mimi na mimi binafsi nimemfanyia sana kampeni wakati akigombea hata yeye analijua hilo. Mkoa wa Iringa hauishii Iringa Manispaa wakati wa Kampeni nilikuwa nasimamia sehemu kubwa sana tukiwa na rasirimali chache lakini na moyo mkuu wa mapambano.

Nimeshiriki Kampeni za Njombe Magharibi na Kaskazini na kwenye Kampeni za jimbo la Kalenga na Isimani kwa njia mbali mbali. Nadhani hizo ni kazi za kila mwana CHADEMA si lazima awe kiongozi. Hata sasa nashiriki kwenye kujenga mtandao imara vijijini kwa kushirikiana na viongozi wa chama wa Iringa vijijni,Kilolo na Mufindi. Hao ndiyo wakiulizwa wakisema kinyume nitastuka.

Halafu mimi sijiiti Katibu wa Mkoa bali ni Katibu wa MKoa wa Iringa na nilithibitishwa na Kamati kuu kuwa hivyo baada ya kushinda kwa kura kwenye uchaguzi wa Mwaka 2009.

Kwenye chama hakuna msemaji au kila mtu anaenda kwenye media na kuanza kuwa msemaji wa chama?Au viongozi wako wamekupa kibali cha kujibu hizo hoja hapa JF
 
Mods hongereni sana kwa kumpiga ban TUNTEMEKE. Mtu huyu anashusha hadhi ya jf. This is home of great thinkers and not home of great cheaters!
 
Katika huu uzi kuna sehemu yeyote ambayo TUNTEMEKE amejitokeza kujibu hoja ya huyu kamanda?maana hili Gamba likipewa amjibu linakula kona mpaka hali ya hewa itulie
 
Nilimfahamu Bw. TUNTEMEKE SANGA tulipokuwa Tabora High School miaka ya 1951/52 na alikuwa mtu mwema kweli kweli, mcha Mungu.

Inavyofahamika huyu Tuntemeke alikwenda America alipojizolea madegree na alirudi nyumbani mwanzo mwanzo wa utawala wa Mwalimu Julius Nyerere akatukuta tumeshapata nyadhifa za juu kidogo katika Serikali, na tumekwishaoa. Yeye alirudi na mke wa Kimerikani.

Tuntemeke aliingia katika siasa, nadhani; wakati huo wa TANU. Kwa bahati mbaya alifariki mapema (Mungu aiweke mahala pema roho yake).

Jina hili lililokuwa likiheshimika linatumiwa na huyu Mkinga muongo. Hata hajui taratibu zinazotumika ktk CHADEMA kupata viongozi wa muda.

Afadhali angeungana na huyu aliyetangulia kutumia jina "Tuntemeke" na kuwaacha wazalendo makini na jasiri kama Slaa, Msigwa na Chiku, kuongoza M4C kwa manufaa ya WaTz.
 
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia
Huu ndio ukweli ambao hadi sasa nimesikia kamati kuu wakilaumiana juu ya uteuzi wa Chiku kwenye uchaguzi ule...Bila shaka Tuntemeke alikuwa na hoja...Ningependa sana tupate jibu toka upande wa pili.Naipenda nchi yangu,napenda mabadiriko ya kweli
 
MODs, tafahdhili tusaidieni kulinda heshma ya JF. Kama mtu analeta habari na hawezi kutibitisha basi toeni adhabu kama sheria/ethical codes za JF zinavyosema. Tusikubali kulishusha hili jamvi kwenye level ya mipasho na matusi. Kuna michango ya maana sana hapa lakini wapo wachache wanaotaka kuliharibu hili jukwaa. Tuntemeke ama atoe uthibitisho wa madai yake au afungiwe. Lakini msiruhusu mipasho.
 
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia

Haihitaji digrii au kusoma human saikoloj kujua kwamba huyu anayejiita kamandamakini ndie msigwa.. Kama huamini soma vizuri koments zake zote halaf konect tha dots.. Mkuu huo ni utoto na unafki.. Angalau Allen tumemjua kwa I'd halisi.. Why u hide ur tru id if u wanna pose allegations to the knwn one. If u spik facts and nt fictions disclose urself.. Athawaiz una lako jambo, na hufai hata kuwa baba wa familia huo unafki kwa kivuli cha kutojulikana
 
Tutemeke tena,

Mgogoro huu hautadumu kitambo, kwa mkoa wa Iringa mpaka Juni mwaka huu utakuwa umejigawa na kuwa mikoa miwili. Iringa na Njombe.

Pia Katibu si uko kwenye baraza kuu naomba uyaongee huko.

Josephine with all due respects maam, regarding you status, I would advice you otherwise.
 
Last edited by a moderator:
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia

Haihitaji digrii au kusoma human saikoloj kujua kwamba huyu anayejiita kamandamakini ndie msigwa.. Kama huamini soma vizuri koments zake zote halaf konect tha dots.. Mkuu huo ni utoto na unafki.. Angalau Allen tumemjua kwa I'd halisi.. Why u hide ur tru id if u wanna pose allegations to the knwn one. If u spik facts and nt fictions disclose urself.. Athawaiz una lako jambo, na hufai hata kuwa baba wa familia huo unafki kwa kivuli cha kutojulikana
 
Huu ndio ukweli ambao hadi sasa nimesikia kamati kuu wakilaumiana juu ya uteuzi wa Chiku kwenye uchaguzi ule...Bila shaka Tuntemeke alikuwa na hoja...Ningependa sana tupate jibu toka upande wa pili.Naipenda nchi yangu,napenda mabadiriko ya kweli

Hata ukija na ID nyengine lakini bado tunakutambua kwamba wewe ndiye mtuhumiwa mwenyewe, jibu hoja acha adabrakadabra!
 
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia

Haihitaji digrii au kusoma human saikoloj kujua kwamba huyu anayejiita kamandamakini ndie msigwa.. Kama huamini soma vizuri koments zake zote halaf konect tha dots.. Mkuu huo ni utoto na unafki.. Angalau Allen tumemjua kwa I'd halisi.. Why u hide ur tru id if u wanna pose allegations to the knwn one. If u spik facts and nt fictions disclose urself.. Athawaiz una lako jambo, na hufai hata kuwa baba wa familia huo unafki kwa kivuli cha kutojulikana
 
MSIKIMBILIE KUSADIKI MAMBO,JIULIZIE HUYU KWELI NI KATIBU WA CHADEMA IRINGA?MUULIZENI MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA NI NANI?ALIPATIKANA KUPITIA MCHAKATO UPI.....?
NI MUHIMU KUCHUNGUZA KWANZA KABLA HATUJAAMINI MAMBO...watu wametumwa kupoza mambo hapa...kupoteza maana ya Great thinkers.
Mm nipo Huru sina chama..lakini tusisadiki mambo bila kujua ukweli wake.

Mkuu soma mada kabla ya kuchangia, lengo la mada hii ni kujibu unachouliza-hivo majibu yapo tayari kwenye post ya mwanzo kabisa.
 
Allen alikimbia ccm baada ya kukosa cheo ,akawa na kapwani aliyeuza jumbo ismani na walikula hela wote na kapwani.nawaomba wanairinga msidanganywe na Allen .mnafiki mkubwa amekuwa kinyume na Msigwa kwa mda mrefu.kamati kuu imetoa maamzi kuwa taratibu zilokiukwa.chiku kama mjumbe Wa kamati kuu hakupaswa kuwa Kati ya wateuliwa.ikizingatiwa ni ngazi ya juu ndio inayosimia uteuzi au uchaguzi.Allen nikiwa na sifa kusimamia

Haihitaji digrii au kusoma human saikoloj kujua kwamba huyu anayejiita kamandamakini ndie msigwa.. Kama huamini soma vizuri koments zake zote halaf konect tha dots.. Mkuu huo ni utoto na unafki.. Angalau Allen tumemjua kwa I'd halisi.. Why u hide ur tru id if u wanna pose allegations to the knwn one. If u spik facts and nt fictions disclose urself.. Athawaiz una lako jambo, na hufai hata kuwa baba wa familia huo unafki kwa kivuli cha kutojulikana
 
Tuntemeke ni jina la hovyo sana, ndio maana hata yule mwingine aliporudi toka ughaibuni akampa shida sana Mwl. Nyerere maana alikuwa hataki cheo chochote zaidi ya uraisi na mwishowe akapigwa detention. Ni jina la kipuuzi sana nadhani huyu ni wakufukuza tu hakuna haja ya kuhangaika nae yeyd ni nani kwani, fukuza huyo.
Tafadhali ukizaa mtoto usijemwita Tuno temeke ni balaa kwa uongo!!! Katika chromosomes zake nusu ziko 'fake' kwa hiyo atasema uongo tu, ndo maana ni GAMBA LA WAZI WAZI
 
Back
Top Bottom