Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Mkuu nakuunga mkono. Japo kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, lakini unapokuwa na nafasi fulani ama ya moja kwa moja kwenye utendaji wa chama au isiyo ya moja kwa moja mfano mke, mume, mtoto au mwanafamilia wa kiongozi wa chama hasa ngazi ya kitaifa unapaswa kuwa extra careful kwa kauli zako.

Huyu Josephine (kama ndiye huyo ninayemfikiria) aelewe nafasi yake ni ipi na nini cha kusema na wakati gani. Hili suala ni la kiofisi na lijibiwe na viongozi wahusika kama Katibu wa Mkoa alivyofanya. Vinginevyo, pamoja na uhuru wa kutoa mawazo, kwa kauli zao watajikuta wamempa adui nafasi na hoja bila sababu.

Ndio yale yale ya Mzee Mtei wakati viongozi wetu wakijitahidi kusukuma gari limalize mlima yeye analivuta kwa nyuma - japo yalikuwa mawazo yake, alipaswa kusoma upepo wa kisiasa na impact za kauli yake kabla ya kutoa maoni husika.

Mambo ya koropoka ovyo ovyo watuachie sisi wengine; thats why we are here. Chadema chukueni hatua.

Well said mkuu!point taken!thumb up!!
 
Allen wewe ni katibu jina tu ,hebu wanairinga jiulizeni huyu bwana anafanya kazi za kujenga chama ,katika watu ambao wanaoharibu na kudumaza chama,anaongea maneno mengi lakini ni nadharia tu.katibu gani wanairinga ambaye haonekani katika ziara zozote kuanzia mwenyekiti na katibu ,huyu ni mnafiki mkubwa aliyehongwa
Katibu jina kivipi? Mimi mwenzio niko katika jina langu halisi ila wewe unatumia la bandia mimi na wewe nani mnafiki sasa. Katibu jina lakini ni chini ya Uongozi wangu ndiyo tumepata mbunge wa Iringa Mjini na mpaka sasa tumeongeza vijiji kadhaa kwenye wilaya za mkoa wetu.

Inawezekana hujui kwamba wewe mwenyewe ni tatizo kwa kufikiria wana Iringa ambao mpaka sasa wanaendelea kuniamini kama ni Katibu wao ila wewe mtu mmoja tu unakuja na porojo za kusema mimi ni katibu jina. Kama ni Katibu jina unataka kusema wale wajumbe wa Baraza la Mashauriano la Mkoa hawajui kama mimi ni Katibu jina wakanitoa ila wewe na wenzio ndiyo mnaona mimi ni katibu jina?

CHADEMA ni chama makini wala hakiendeshwi kwa majungu wala fitina. Nitaendelea kuwa Katibu kwa sababu wana CHADEMA wananiamini na tunajenga chama kwa pamoja. Tatizo lenu mnadhani kwamba maneno maneno yasiyo na ushahidi yanaweza kutuyumbisha. Ziara gani ambazo unazizungumzia?
 
Juzi nimewezesha kupatikana kwa wanachama 110 kwenye eneo la Magari mabovu na kuanzia kesho yatafunguliwa matawi matatu ya wanachama kwenye eneo hilo. Kuingiza wanachama si ndiyo kazi yenyewe ya kisiasa. wewe ulitaka nifanye nini nisiwe katibu jina. niwe nafagia barabara za mji wa Iringa?
 
Achana na huyo mwehu mkuu ni wa kupuuzwa!!
 
TunteMeke ni sawa na toilet pepa kwan magamba wanamtumia kuichafua cdm then wanamtupa.Thanks kamanda kwa kuleta ukweli halisi
 
Mengi yalisikika kwa wafuasi wa CDM pale Njombe kuwa Chiku Abwao alipita kwa rushwa, uchaguzi usingekuwa na Mizengwe Thomas Nyimbo kampita Chiku Abwao kwa kila sifa

ulisikia peke yako? Hii ni mental disorder kamuone dr
 
Ndani ya CDM kuna madaraja ya wanachama/viongozi

1. Class A: Northern Circuit: ndilo linatoa maamuzi kuhusu pesa, kugombea na kupata vyeo; 75% ruzuku inaliwa huku

2. Class B; Maeneo yaliyobaki; kazi yao ni kusikiliza kundi la kwanza wameamua nini, wao ni watekelezaji; 25% ruzuku huangukia hapa
Mod, nipige ban mkitaka..... lakini lazima niseme kuwa huyu ni ************!!!!
 
Allen anawezaje kuhoji maamzi ya kamati kuu huu ni utovu Wa nidhamu,Taratibuzi hazikufuatwa chiku badala ya kuwa msimazi Wa uchaguzi akageuka kushawishi wajumbe yeye awe mgombea aibu gani hii ,na allen baada ya kapwani shogaa yake Ameamua kuside na chiku ,Wanairinga msidanganywe na uhuni Wa Allen .Aleni urafiki wako na chiku umeanza lini?
 
Juzi nimewezesha kupatikana kwa wanachama 110 kwenye eneo la Magari mabovu na kuanzia kesho yatafunguliwa matawi matatu ya wanachama kwenye eneo hilo. Kuingiza wanachama si ndiyo kazi yenyewe ya kisiasa. wewe ulitaka nifanye nini nisiwe katibu jina. niwe nafagia barabara za mji wa Iringa?
alitaka uwe unanyonga watu na kuwachinja!
 
Allen anawezaje kuhoji maamzi ya kamati kuu huu ni utovu Wa nidhamu,Taratibuzi hazikufuatwa chiku badala ya kuwa msimazi Wa uchaguzi akageuka kushawishi wajumbe yeye awe mgombea aibu gani hii ,na allen baada ya kapwani shogaa yake Ameamua kuside na chiku ,Wanairinga msidanganywe na uhuni Wa Allen .Aleni urafiki wako na chiku umeanza lini?

we ni gamba kuanzia ubongo mpaka miguu, hata uandish wako hauko makini
 
Allen anawezaje kuhoji maamzi ya kamati kuu huu ni utovu Wa nidhamu,Taratibuzi hazikufuatwa chiku badala ya kuwa msimazi Wa uchaguzi akageuka kushawishi wajumbe yeye awe mgombea aibu gani hii ,na allen baada ya kapwani shogaa yake Ameamua kuside na chiku ,Wanairinga msidanganywe na uhuni Wa Allen .Aleni urafiki wako na chiku umeanza lini?

Wapi nimehoji maamuzi ya Kamati Kuu? mimi nilichofanya ni kukanusha Uongo wa TUNTEMEKE na wala sijazungumzia maamuzi yoyote yale ya kamati Kuu. Halafu mimi na Chiku si marafiki nje ya CHADEMA bali urafiki wetu umejengwa juu misimamo inayofanana kwenye kuwakomboa wananchi wa Tanzania na pia ni kiongozi mwenzangu kwani yeye ni Mjumbe wa Kamati Kuu. Halafu mambo ya Kapwani yamekujaje hapa wakati hoja ni Dr. Slaa kuingilia uchaguzi wa Iringa iliyoletwa na TUNTEMEKE?
 
Last edited by a moderator:
hauhitaji nguvu kubwa kujua kuwa TUNTEMEKE ana chuki binafsi na Slaa, ukisoma thread zake utabaini hilo.....
 
Last edited by a moderator:
TUNTEMEKE ungekuwa unaleta hoja na habari zenye uthibitisho wa kweli ndani yake ningesema unatusaidia sisi wana CDM kuwa makini na viongozi wetu na kila kinachotendeka. Lakini habari zako ni zakinafiki, zimaejaa ubaguzi na chuki ndani yake. Shame on you TUNTEMEKE!
 
CDM ukweli ni mchungu kwenu???? Muige tabia ya wanaCCM kuwa wavumilivu
We kenge wacha uzushi wako, tangu lini wana CCM wakawa wavumilivu? labda ungesema wapenda rushwa na mafisadi ungeeleweka.
 
Kwa uthibitisho huu naomba wana JF wapendda maendeleo wa nchi hii tukiiona post yoyote ya Tunte tuwe tunamzomea HILOOOO LIMBUKENI LA VYEOOOOO
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu, maana uongo ukisemwa sana bila kukemewa huonekana kama ni ukweli. Ukinyoa kipara chawa aliyeko kichwani ataonekana tu! So tumemwona Tuntemeke, let us go forth to build up our party!!!!
 
Mkuu heshima mbele!!
Tunashukuru kwa ufafanuzi uliokamilika na kwa wakati, tunawahakikishia tu kwamba tuko macho na tunaelewa mchezo unaofanyika hapa..

Wengine kwenye post zao wamekiri kwamba 'watawaaminisha watu kuwa Slaa si yule watu wamdhaniaye'- Waberoya.

Huu upuuzi unaoletwa hapa sisi wenye macho tanauona, na hapa tunafahamu kuana watu wanajiita hawana chama ambao literally ni vuguvugu na sisi wengine tulishawatapika siku nyingi!!

Tunangoja taarifa rasm ya CC toka mamlaka husika!!
:yo:

Kamanda,
Umewasilisha vyema sana nilichokuwa nakifikiria.
Thread ya tuntemeke imerudishwa namsubiri ajibu changamoto niliyompa kule.
 
Asante kwa Taarifa na ufafanuzi. Daima Mungu hutuongoza kuitenda na kuisimamia haki.
 
Back
Top Bottom