Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

Ndugu CCM ni wavumilivu katika lipi? Au unamaanisha kuwa wanavumilia katika kuendelea kutuibia rasilimali zetu hata kama tunawasakama? Weka wazi basi ni uvumilivu gani mlionao ccm. Vinginevyo sisi hatulali mpaka kieleweke, kwani mmetunyonya vya kutosha, mmetuumiza vya kutosha, mmetudhalilisha vya kutosha katika nchi yetu sote, sasa imetosha.
 
TUNTEMEKE ana chuki binafsi na DR. Slaa lakini ukweli utabaki kuwa hakukuwa na fomu za kugombea kwa hiyo kusema kwamba Dr. Slaa alimshawishi Chiku Abwao kuchukua fomu ni uongo uliopindukia na wala si kweli kwamba Peter Msigwa amewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa. Huu nao ni uzushi unaotakiwa kupuuzwa kwa nguvu zote. Labda TUNTEMEKE anaweza kutuambia ni lini Msigwa alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa na kikao kilichomchagua kilifanyikia wapi na uchaguzi ulisimamiwa na nani?

Asante Katibu kwa kunyoosha maneno.

Taarifa yako hii inaendelea kuunganisha nukta zilizochora na wasemaji wengine, lakini kizuri zaidi taarifa yako imedadavua uhalisia wa msimamo wa TUNTEMEKE kwa Chadema, Dr Slaa na wapigania ukombozi wa pili wote. Kumbe ilivyosemwa ati "watu wema wasikae kimya maana nchi itaangamia" ni kweli. Vema basi ukweli uendelee kusemwa maana ndio njia pekee ya kuwanyoosha akina Tuntemeke & Co.

Pamoja sana kamanda
 
KAZI YA ZITTO KABWE NA WADOGO ZAKE KINA MCHANGE KATIKA HARAKATI ZA KUUA CHAMA. BEN ENDELEA KUWAUMBUA HAO MALIMUKENI, WAROHO wa MaDARAKA.
 
>>>Hili kundi limezoea kutunga uongo! kama waliweza kutunga hizi hadithi, kwa nini tuwaamini wanapokuja kutunga habari zao leo kuhusu mienendo yao?
 
Back
Top Bottom